Coup Attempt in S. Sudan Quashed

Coup Attempt in S. Sudan Quashed

South Sudan's President Salva Kiir says an attempted coup by disgruntled soldiers has been put down.

It comes after heavy gunfire overnight in the capital, Juba, reportedly between rival factions of the presidential guard.

Mr Kiir told reporters in the capital that the government was in full control and announced a night time curfew.

The UN has expressed concern and appealed for calm. It said it was in touch with the government.

Hilde Johnson, the special representative in the country, said she was "deeply concerned" and urged "all parties in the fighting to cease hostilities immediately and exercise restraint".

"I have been in touch regularly with the key leaders, including at the highest levels to call for calm," she said.

'Justice will prevail'

Tensions have been high in South Sudan - the world's youngest country - since President Kiir dismissed his entire cabinet, including his deputy Riek Machar, in July in an apparent power struggle.

Mr Machar had indicated he planned to contest the presidential elections in 2015.

Mr Kiir is from the Dinka community, which is the largest in South Sudan, while Mr Machar is from the Nuer, the second-largest. Some Nuer have complained about Dinka political domination.

The fighting in Juba broke out overnight, and intensified in the early morning.

There were reports of continuous gunfire and the sound of explosions. The city's airport has been closed and the state TV channel SSTV went off air.

Speaking to reporters in Juba - wearing military uniform rather than his usual civilian clothing - Mr Kiir said an attempted coup had been put down.

He said the fighting began when unidentified uniformed personnel opened fire at a meeting of the ruling party and former rebel group, the Sudan People's Liberation Movement (SPLM).

He said the government was pursuing the attackers and that justice would prevail.
--Standard Digital
 
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir,amesema kuwa jeshi limetibua njama ya mapinduzi dhidi ya serikali yake.

Rais Kiir amewalaumu wanajeshi wanaomuunga mkono aliyekuwa naibu wake Riek Machar ambaye alifutwa kazi, kwa mapigano yaliyozuka kati ya wanajeshi wake Jumapili usiku. Amesema kuwa serikali sasa imedhibiti hali.

Taarifa zinazohusiana
Kiongea na waandishi wa habari, Bwana Kiir alisema serikali imedhibiti hali huku ikitangaza sheria ya kutotoka nje nyakati za usiku.
Wanajeshi mahasimu, walipigana vikali kwa masaa kadhaa na inaarifiwa kuna majeruhi kadhaa huku mamia wakitoroka mji wa Juba..
Kwa sasa milio ya risasi imekwisha. Kumekuwa na hali ya taharuki nchini Sudan Kusini tangu mwezi Julai wakati Rais Kiir alipowafuta kazi mawaziri wake akiwemo bwana Machar.

Wito wa utulivu

Awali Umoja wa Mataifa ulitoa wito wa utulivu nchini Sudan Kusini baada ya kuzuka mapigano kati ya vikosi vya jeshi katika mji mkuu Juba.
Umoja huo pia ulisema kuwa ni jukumu la Viongozi nchini humo kuitisha utulivu.
Kwa mujibu wa mwakilishi maalum wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, Hilde Johnson, pande zinazozana zimetakiwa kusitisha mapigano haraka iwezekanavyo.
Alisema amekuwa akishauriana na viongozi wa taifa hilo wakiwemo viongozi mkuu kuhakikisha kuna utulivu.
Milio ya risasi ilisikika usiku kucha hadi asubuhi ya leo katika mji mkuu wa Sudan Kusini Juba kwa mujibu wa maafisa wa balozi na wengine waliohsuhudia tukio hilo.
Inaarifiwa mapigano hayo yametokea kati ya walinzi wa Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir.
Mapigano yanasemekana yalianza saa nne usiku wa kuamkia leo katika kambi kuu kuu za jeshi mjini Juba na kuendelea kuwa makali kwa karibu saa moja kabla ya kundi moja kufurushwa.

Milio ya risasi ilisikika usiku kucha na kusababisha hali ya taharuki huku wananchi wakizuiwa kutoka nje.

Kwa mujibu wa shirika la habari la AFP, taarifa kutoka katika balozi za Marekani na Uingereza mjini Juba, zimetaka raia wa nchi zao kujizuia na kutoka nje.
Ubalozi wa Marekani umesema kuwa duru mbali mbali zinaarifu mapigano makali ya ufyatulinaji wa risasi yamesikika katika sehemu mbali mbali mjini Juba.

Mwandishi wa habari wa shirika la AFP amesema kuwa aliona wanajeshi waliokuwa wamejihami vikali wakishika doria katika barabara za Juba mapema asubuhi ya leo makabiliano makali yakiendelea katika kambi za jeshi.
Hata hivyo hakuna taarifa rasmi kutoka kwa jeshi kwani huduma za simu zimesemekana kutatizika.
Duru za kiijeshi zilisema kuwa makabiliano yalizuka kati ya kikosi cha jeshi cha Tiger, wakati moja ya kikosi ambacho kina wanajeshi wengi wa kabila la Nuer kushuku kuhusu muundo wa kikosi kingine cha jeshi ambacho wanajeshi wake wengi ni wa kabila la Dinka na hivyo kuanza kugombana kiasi cha kuanza kufyuatuliana risasi.

Inaarifiwa wanajeshi hao wa Nuer wamewafukuza wenzao wa Dinka ambao wengi wao walifuzu hivi karibuni na kuajiriwa katika serikali ya Rais Kiir.

Source: BBC Swahili
 
Mkuu, binafsi naona ni michezo ya kuigiza ya Rais Mwenyewe - anacho taka pale ni kutafuta njia ya kuwadhibiti viongozi wenzake walio kuwa wanamkosoa adhalani - hataki upinzani ndani ya uongozi wake. Kusema kweli Rais huyu anaonekana yuko weak sana katika nyanja za uongozi, uwezi kumlinganisha na Makamu wake aliye mtimua juzi juzi. Matukio ya usiku wa jana ni mbinu za kujenga mazingira za kutafuta kisingizio cha kuwatia mbaroni mahasimu wake ili awafungulie mashtaka ya kuchonga na ikiwezekana kuwanyonga kwa kusingizia uhaini - jamaa huyu hua ajiamini, ndio maana viongozi wajanja wa Africa Mashariki wanamwendesha kama puta!
 
Mkuu, binafsi naona ni michezo ya kuigiza ya Rais Mwenyewe - anacho taka pale ni kutafuta njia ya kuwadhibiti viongozi wenzake walio kuwa wanamkosoa adhalani - hataki upinzani ndani ya uongozi wake. Kusema kweli Rais huyu anaonekana yuko weak sana katika nyanja za uongozi, uwezi kumlinganisha na Makamu wake aliye mtimua juzi juzi. Matukio ya usiku wa jana ni mbinu za kujenga mazingira za kutafuta kisingizio cha kuwatia mbaroni mahasimu wake ili awafungulie mashtaka ya kuchonga na ikiwezekana kuwanyonga kwa kusingizia uhaini - jamaa huyu hua ajiamini, ndio maana viongozi wajanja wa Africa Mashariki wanamwendesha kama puta!
 
Wanajeshi 66 wauawa Sudan Kusini


17 Disemba, 2013 - Saa 13:09 GMT




Afisaa mkuu msimamizi wa hospitali ya kijeshi ya Juba, Brigedia Gen Dr Ajak Bullen,ameambia shirika la redio la Miraya mjini Juba kuwa wanajeshi 66 wameuawa katika mapigano ya siku mbili. Watafanyiwa mazishi ya pamoja.



Wakati huohuo afisaa mmoja wa serikali amesema kuwa watu 26 wameuawa katika mapigano ya siku mbili mjini Juba.
Zaidi ya watu miamoja wamejeruhiwa huku maafisa wakuu wakijaribu kudhibiti mji huo kufuatia kile ambacho serikali ilisema ni jaribio la mapinduzi mbalo liliweza kutibuliwa.
Waziri wa mambo ya nje wa Sudan Kusini Barnaba Marial Benjamin amesema kuwa vikosi vya usalama vinawasaka wanajeshi watiifu kwa Riek Machar aliyekuwa makamu wa Rais wa Salva Kiir anayedaiwa kupanga njama hiyo ya mapinduzi.
Taarifa zinasema kuwa milio ya risasi ingali inasikika mjini Juba.




Source: BBC Swahili
 
Wanajeshi 66 wauawa Sudan Kusini


17 Disemba, 2013 - Saa 13:09 GMT




Afisaa mkuu msimamizi wa hospitali ya kijeshi ya Juba, Brigedia Gen Dr Ajak Bullen,ameambia shirika la redio la Miraya mjini Juba kuwa wanajeshi 66 wameuawa katika mapigano ya siku mbili. Watafanyiwa mazishi ya pamoja.



Wakati huohuo afisaa mmoja wa serikali amesema kuwa watu 26 wameuawa katika mapigano ya siku mbili mjini Juba.
Zaidi ya watu miamoja wamejeruhiwa huku maafisa wakuu wakijaribu kudhibiti mji huo kufuatia kile ambacho serikali ilisema ni jaribio la mapinduzi mbalo liliweza kutibuliwa.
Waziri wa mambo ya nje wa Sudan Kusini Barnaba Marial Benjamin amesema kuwa vikosi vya usalama vinawasaka wanajeshi watiifu kwa Riek Machar aliyekuwa makamu wa Rais wa Salva Kiir anayedaiwa kupanga njama hiyo ya mapinduzi.
Taarifa zinasema kuwa milio ya risasi ingali inasikika mjini Juba.




Source: BBC Swahili

Kazi kweli kweli inaonesha mambo bado hayajawa settled in South Sudan.
 
Nasikia licha ya wanajeshi kupigana wao kwa wao, walikuwa vile vile wanawapiga risasi raia wa kutoka Uganda na Kenya. Habari kutoka CCTV idhaa ya kiswahili walisema Waganda wanauwawa kwa madai kwamba Serikali yao ndio ilihusika na kifo cha Galang miaka ya nyuma! Ila kwa raia wa Kenya sababu haijulikani vizuri, wanahisi labda ni mambo ya ajila i.e Wasudan kusini wanafikiri wageni wanawafanya wakose kazi.
 
UN puts death toll at 500, hundreds more wounded




home01pix.jpg

Civilians resting inside the UNMISS compound adjacent to Juba airport on Tuesday. Photo by AFP

By Amos Machel

Posted Thursday, December 19 2013 at 02:00


IN SUMMARY

The fighting has spread out of Juba, and much as calm has been restored in the Capital city, the UN is still hosting thousands of displaced people.

Juba- Fresh clashes broke out in the South Sudan capital Juba yesterday, and at least 66 soldiers have been killed as forces loyal to Riek Marchar took control of key military installations in Jonglei state.

The Wednesday morning clashes also saw hundreds of soldiers loyal to South Sudanese President Salva Kiir’s government flee or surrender to opposition forces.

An estimated 500 people were yesterday reported killed and 10 former ministers are being held for the failed Sunday night coup attempt. Mr Kiir blames the coup on his former deputy Riek Machar whose where-abouts were unknown by yesterday.

Reports indicate that forces loyal to Marchar took control of key military installations in Jonglei State’s Bor County when it came under heavy attack on Wednesday morning, forcing hundreds of soldiers loyal to South Sudanese president Salva Kiir’s government to flee.

The attack, which occurred between 1am and 3.30am (local time) in the Pan-pandiar army (SPLA) headquarters and Malual-chaat military camps around Bor, was reportedly launched by mutinying forces led by Gen Peter Gadet Yaak.

Though the UN estimates that 500 civilians have been killed, the South Sudan Government yesterday put the figure at about 450.
South Sudan military spokesman Col Philip Aguer said that hundreds more were wounded in the clashes.


But soldiers loyal to Riek seized three strategic military bases in Jonglei State on Wednesday, officials and eyewitnesses have said.

Peter Gatdet, the head of the military division in the country’s vast and populous state, switched his loyalty to Riek Machar on Wednesday, seizing control of Panpandiar and Malualchaat military bases in Bor.

A state government minister said Gatdet had taken control of Pakwaw, about 5km away from the Bor town center, the capital of Jonglei State.

Thousands of civilians have been displaced to the north of the state capital, as Gatdet reportedly settled some of his soldiers in Kolnyang Payam in the east of the state capital.

South Sudan Red Cross Society (SSRS) has confirmed 19 people killed in the overnight gunfire.

“We have seen bodies of 19, but we cannot access areas controlled by Peter Gatdet,” said David Gai Deer, the SSRC director in Jonglei.
“The humanitarian situation is really bad because most of the displaced people have no shelter, food, and access to drinking water,” he said.


Civilians caught up in the attack described the harrowing scenes of the attack.

“They are shooting now, let me run,” one victim said on phone before he hang up. Sounds of gunfire could be heard in the background.

Gatdet has been a rebel fighter. He led a Khartoum-backed militia group during the liberation war. His group was integrated into the South Sudan army in 2006, after defecting again from Khartoum.

He defected from the army again in 2011 before rejoining months later in 2012.

In Juba, the situation is slowly returning to normalcy. The airport opened and at least two planes had managed to take off, an official who is not allowed to speak for the airport authorities said.
The United Nations’ mission camp in the state said it was already hosting more than 2,000 displaced civilians.


editorial@ug.nationmedia.com

 
99% ya wakazi wa huko ni cristian. sasa hivi dakika yoyote sudan ya kusini itasambaratika.mauji ya kuviziana kama ya somalia yanatokea.
ni wakati muafaka kuomba isijekutokea kama somalia.
kumbe Machafuko haya dini?na hayana kabila?
 
99% ya wakazi wa huko ni cristian. sasa hivi dakika yoyote sudan ya kusini itasambaratika. watu wanauana baraza lote la mawaziri ni wakiristo . bunge na jeshi lote. ni wakati muafaka kuomba yasije yakatokea kama yanavyotokea Somalia

Kwa hiyo ni bora wasingejitenga
 
Sio wakristo tu ndo waombe, bali ni kila mmoja wetu duniani kwa imani yake anapaswa kuiombea mema Sudani ya kusini!


merry christmas and haapy new year !!!!!!
 
99% ya wakazi wa huko ni cristian. sasa hivi dakika yoyote sudan ya kusini itasambaratika.mauji ya kuviziana kama ya somalia
ni wakati muafaka kuomba isijekutokea kama somalia


Mada yako imekaa kibaguzi!

Ni vema Kwa mwanadamu yeyote Mwenye hofu ya Mungu kuombea Amani popote pale duniani bila kujali Dini Au itikadi!
Kumekua na vita sehemu nyingi. Syria ni Zaidi ya miaka 2 na Africa ya Kati, Somali, DRC, Chad na sehemu nyingi tu!

Ni vema kumuomba Mungu pamoja na Kua ktk siku za mwisho moja ya dalili zake ni vita! Kwahiyo huu ni UTUNGU tu ule mwisho Bado!
 
wanadamu asili yetu ni kupenda sana madaraka bila kufikiri nini tunataka kuwafanyia wananchi. Sudan kusini walifurahia kujitenga bila kuwa na mipango dhabiti ya kujitawala.
 
mada yako imekaa kibaguzi!

Ni vema kwa mwanadamu yeyote mwenye hofu ya mungu kuombea amani popote pale duniani!
Kumekua na vita sehemu nyingi. Syria ni zaidi ya miaka 2 na africa ya kati, somali, drc, chad na sehemu nyingi tu!

Ni vema kumuomba mungu pamoja na kua ktk siku za mwisho moja ya dalili zake ni vita! Kwahiyo huu ni utungu tu ule mwisho bado!

jamaa anadhani sudan wanapigania kusimamishwa serikali ya kidini kama lra wa uganda wanaopigania amri kumi za mungu zitawale.
 
wanadamu asili yetu ni kupenda sana mia nini malengo yetu madaraka bila kufikiri nini tunataka kuwafanyia wananchi. Sudan kusini walifurahia kujitenga bila kuwa na mipango dhabiti ya kujitawala.

Chamviga rafiki Yangu!
Nimekupata Mkuu!
 
Nani kasema 99% ni wakristo acha uongoo

Somalia haijaangamiaa kenya na ethiopiia wanataka kuuangamiza somalia
 
Back
Top Bottom