Yeah hawa wa kisasa pia wakali aga nawasikiliza wapo makin sana, Lakin naona dunia haiwapi sikio sana, unadhan kwanini?Unaonekana wa long sema kuna hii genre ya country-pop huwa naipenda sana ya vijana wapya
Kwa country zaman kuna hii ya John Denver- Take me home, country roads... nikiwa narudi nyumban mkoan huwa inanipa hisia kali sana...
Music [emoji445] una nguvu ya kubadili hisia kwa haraka, waliimba hata hawa band ya country
Lady Antebellum- what a song can do
Huo wimbo ni true story yake mwenyewe na aliwahi kuieleza kwenye tv interview moja miaka mingi kidogo nyuma.Dolly Parton ~Coat Of Many Colours My Mother Made For Me
Mambo Ya Nguo Kuweka Viraka Yalianza Kitambo
Charley Pride was the first black country music singer.Unafahamu nini kuhusu Country Music?
Ana Vocal Kali Sana Akiiimba Sambamba Na Kenny RogersHuo wimbo ni true story yake mwenyewe na aliwahi kuieleza kwenye tv interview moja miaka mingi kidogo nyuma.
Yeye ametoka kwenye familia masikini sana na wazazi hawakuwa hata na uwezo wa kuwanunulia nguo, kwa hivyo mama yake akipita kwa mafundi vyerehani na kuomba vipande vya vitambaa ndiyo akiwashonea makoti ya baridi.
Alipokuwa akilivaa basi watoto wenzake shule wakimcheka sana, na aliporudi nyumbani kumueleza mama yake ndiyo akamwambia kuwa Jesus aliwahi kuvaa a coat of many colours. Na yeye aliamini kabisa lakini alipokwenda shule kuwaambia wenzake bado walikuwa wanamcheka.
Alikuja kuelewa baada ya kuwa mtu mzima maana ya ile hadithi ya mama yake ilikuwa ni kumpa moyo kuliko kumwambia kuwa familia haikuwa na uwezo wa kuwanunulia nguo.
Hivi Lionel Richie tunamueka genre ipi ya Musik maana aga naona anaswagg za aina mbalimbali sanaCountry sio zilipendwa ni aina muziki ambayo had sasa bado ipo na kuna wanamziki wa kizazi hiki wanaimba country music kama Brett Young, Brad Paisley, Carrie Underwood, Kacey Musgraves, Keith Urban, Katie Armiger, Kelsea Ballerini, Gabby Barrett, Tucker Beathard nk
Duuuh, Anamaanisha wapo wakali zaid? Eb elezo kidogo juu ya hiyo Classical mkuuCountry ni mziki wa shamba. Ukiendelea kuusikiliza utakuwa hushiki pesa. .
Mziki wa matajiri unaujua [emoji2] unaitwa claasical music such as Opera
Hata mie namkubali sana sana Allan Jackson, Don Willium and Kenny Rogers my three favorite country musicians. Ila mdogo wangu anayenifuata yuko too deep ananiambiaga hao bado sana[emoji2]
[emoji2][emoji2]
Country ni muziki unaoimbwa na watu wa kusini mwa marekani,,Kwetu Tanzania tunazo Zilipendwa za akina Les Wanyika na Wengine wengi, lakini hao wote bado ni wa juzi tu
Marekan wanayo "Country Music" hii ni ya kitambo zaidi.
Ni tamu
Ina maadili pia
Ina hisia kali.
Na waimbaji wake ni watu wenye fikra pana na chanya katika Maisha
Binafsi nampenda sana Kenny Rogers aliyeimba The Gambler, Coward of the County, Lucille na nyingine nyiiingi.
Lakini naukubali zaidi wimbo wa Don Williams "I believe in you"
Upo Wimbo unaitwa "Remember when" uloimbwa na Alan Jackson, huu wimbo ni sehemu kubwa ya kumbukumbu za maisha yang ya utoto, ujana na nataman niishi uzee wangu katika njia hiyohiyo kwa maana ndiyo Furaha yangu.
Unafahamu nini kuhusu Country Music?
Unamfahamu nani kwa undani?
Umewahi kujifunza nini kupitia wimbo gan?
Nataman kujua zaidi kupitia ninyi ebu funguka.
View attachment 2275442View attachment 2275443View attachment 2275441View attachment 2275444
When it rain it pourskuna huyu Luke combs - Lovin' on you
Luke combs sio mzee,, hata Thomas rhettSiri ni nini naona country music inaimbwa na watu ambao umri umeenda hivi