PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,178
Labda urais wa watu wanaojinye na si urais wa nchi. Ikulu hawezi kwenda fisadi
Baada Ya oct 25 Hata Wewe Utakuwa HuRu Na Kutoka Kwenye Minyororo Ya Ccm. sinta Shangaa Ukianza Kumshangilia Lowassa Babu Lai. Maana ccm Upo Kimaslai Lakini Moyo Wako Upo UKAWA Kwa Lowassa.