Logbook ntaandika either Lloyd Ferooz au Munroe Tesha aliskika Mlevi mmoja akisema hvoFisi hukosi kwenye Logbook siku hiyo.
Na wewe mshamba_hachekwi Fisi Jr.
Eeh Tesha Tena 😂Logbook ntaandika either Lloyd Ferooz au Munroe Tesha aliskika Mlevi mmoja akisema hvo
No comment.Fisi hukosi kwenye Logbook siku hiyo.
Na wewe mshamba_hachekwi Fisi Jr.
Kwani wanaenda kujamiiana na watu wasiowajua? Na je valentine day ni siku ya kujamiiana?valentine is overrated
vijana wanakwenda kuambukizana maradhi ya zinaa
kwa generation hii valentine wameifanya siku ya kudinyanaKwani wanaenda kujamiiana na watu wasiowajua? Na je valentine day ni siku ya kujamiiana?
Afu hii 'valendine' naona itakua jmos jumatatu pharmacy zitafurika sanaEeh Tesha Tena 😂
Naona wiki ya kushindia Mizizi Kama dudukwe imewadia.
Maisha ni haya haya!Father Valentine aje aone tulivyoiboresha hatoamini mtakatifu yule. 😌😌