Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 97
North Koreas recent decision to detonate an underground Nuclear Bomb & also test a short Range missile leaves Washington with only one question: WWDCD?
Recently DC (Dick Cheney) ndiyo I guess amekuwa face or spokesperson of Republican Party,yaani he has gone on Tv by Tv station not only to denounce the BO (Barack Obama) administration for making America less safe but also to mock moderate republican like Colin Powell .ooh well (Alikwina) alikuwa wapi all that time alipokuwa yeye VO mbona tulikuwa hata hatumsikii?...now anakuja all greasing up on The BO Admin him and his fellow friend RL (Rush Limburg) and then DC calls RL the FACE OF NATION .Please!....i think they are all sick in head (Brain damage they need to consult a dr) .RL and DCD hawa watu wanapiga domo this time tomake Obama look but and they are instention ni kutafuta ticket ya ku-run for president 2012 ..and I doubt if they will even make it .
I mean what will dick cheney do different from what he did from Bush administration?...i think Republican ni cause ya economy kuwa katika this mess..and now cheney anaona matatizo tunatopata wananchi hayatoshi he want to destroy more .
Do you all think with this mess that Rush and Limbaugh wanayo create could keep The whole world safe?.....
NN is republic and Rush Limbaugh fun i knwo you will tetea this though unajua he is making a big mistake....he is so violent
alafu na wala sijasema kuwa Democrat wataongoza milele my point is where was dick cheney?....na anakuja sasa hivi na tantara zake plus Rush Limbaguh the thing waanvyofanya wao ni kujaribu kum-destroy Obama...let the guy do what he has to do so far i dont think kama ameshaharibu yet...he is doing great!....
Issue ya Korea ni kubwa kuliko wengi wetu tunavyoifikiria. Bush na mikwara yake alichemsha kwa hawa watu Obama naye atachemsha, kwa kifupi wakorea wanakiburi na wanabadirisha mawazo kila wanapojisikia.
Wow! Sijui hata nianzie wapi kuzibomoa hoja zako zilizo dhaifu kuliko hata mtoto mwenye kwashakoo!!
Kwa kifupi, yanayotokea sasa ni mambo ya mpito ktk siasa. Usikae ukabweteka na kudhani Democraps watatawala milele Marekani. Siasa za Marekani haziendi hivyo.
Kwenye miaka ya themanini Democraps walikuwa ktk hali waliyonayo Republicans sasa. Reagan alishinda kwa vishindo chaguzi zote mbili. Re-election akashinda majimbo 49 kati ya 50!! Sasa niambie Democraps walikuwa na matumaini gani baada ya kushindwa vibaya namna hiyo? Uchaguzi wa '88 Democraps wakashindwa vibaya tena. G.H.W. Bush alishinda majimbo 40 kati ya 50. A landslide! Kwa watu wenye roho nyepesi nyepesi wangekata tamaa kabisa.
Mwaka 92 waka bounce back kwa bahati..wamshukuru Ross Perot. 1996 wakashinda bila utatanishi. Mwaka 2000, licha ya uchumi kuwa mzuri, Al Gore akashindwa kushinda hata nyumbani kwao. What a shame. 2004 wakashindwa fair and square. Baadhi ya watu wakasema basi tena, Democraps are done.
2008 hao, wamerudi tena. Kilichopelekea kuchaguliwa kwa O'Bummer ni mambo mengi yakiwemo uchumi mbaya, rangi yake (yes, kwani wazungu walitaka wa make statement kwamba kwao rangi ya mtu haina umuhimu ans they did it).
Sasa jidanganyeni eti nyinyi Democraps ndio mna majibu ya kila kitu na ninadhani mmeyatafsiri vibaya matokeo ya uchaguzi. Mnadhani you are in power to stay. Go on ahead and think that coz only a semi retarded person would think that. It's not the end of the GOP and they will be back on top. Mark my words.
... they are instention ni kutafuta ticket ya ku-run for president 2012 ..and I doubt if they will even make it .I mean what will dick cheney do different from what he did from Bush administration?...
Uwiano,
Vacuum of leadership ni ombwe la uongozi. That's what the Republicans are suffering from now.