Customs, spellin error bahat mbya jmn am a human being pia anywys asante kwa ushauriCostum assistant? Hiyo nafasi sijawahi kuisikia. Ushauri mdogo......jitahidi uwe makini Yaani inavyoonyesha kiukweli you are not serious. Ingekuwa ni interview kazi ulikuwa umekosa tayari.
Kila la heri mpendwa ....Tar 23
Wanapiga simu au ni wanatuma emailKila la heri mpendwa ....
kwani zimeanza interview tena si mkuu wa kitengo alisitisha mambo ya ajira au?Habari, kwa wenye uzoefu msaada wa maswali written interview custom assistant, thanx