The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 37,883
- 82,573
Unategemea tujenge reli ya umeme alafu tuwenge mitungi? Kenya tumewafundisha vitu vingi sana na bado mtaendelea kuisoma.Haha, tuonyeshe treni lenu la umeme.
Unategemea tujenge reli ya umeme alafu tuwenge mitungi? Kenya tumewafundisha vitu vingi sana na bado mtaendelea kuisoma.Haha, tuonyeshe treni lenu la umeme.
Eti wanaita mchina ajenge charcoal SGR, ss c ni bora wangetuomba tuwape Suma JKT wangeokoa pesa nyingi.
Hakuna reli ya umeme (unless tunaongelea Maglev ambayo haipo Africa for now). Treni ndio ya umeme. Treni ya umeme inaweza wekwa Kwa reli yoyote including hiyo MGR yenu. Ni nini unatufundisha kama huelewi jambo la msingi kama hilo?Unategemea tujenge reli ya umeme alafu tuwenge mitungi? Kenya tumewafundisha vitu vingi sana na bado mtaendelea kuisoma.
Hiyo treni ya umeme inapita juu ya gogo au, by the way nyie ni washamba hamjawahi kuwa na electrified SGR ona hapaHakuna reli ya umeme (unless tunaongelea Maglev ambayo haipo Africa for now). Treni ndio ya umeme. Treni ya umeme inaweza wekwa Kwa reli yoyote including hiyo MGR yenu. Ni nini unatufundisha kama huelewi jambo la msingi kama hilo?
Nimekuelezea, hakuna reli ya stima. Hakuna kitu kama electrified SGR. Kuna SGR ambayo sisi tunayo, Ethiopia wanayo, nyinyi bado mnang'ang'ana kuijenga alafu Kuna electric trains ambazo Ethiopia pekee wanazo.Hiyo treni ya umeme inapita juu ya gogo au, by the way nyie ni washamba hamjawahi kuwa electrified SGR ona hapa View attachment 2028563
Unaweza kunipa maana ya "ku electrify SGR?"Nimekuelezea, hakuna reli ya stima. Hakuna kitu kama electrified SGR. Kuna SGR ambayo sisi tunayo, Ethiopia wanayo, nyinyi bado mnang'ang'ana kuijenga alafu Kuna electric trains ambazo Ethiopia pekee wanazo.
😂😂😂🙆🏾♂️🤷🏾♂️🤔😂
View attachment 2029250
Unaongea kwa uchungu sana tulia dawa iingie vizuri utakuja kupiga picha huku.Nimekuelezea, hakuna reli ya stima. Hakuna kitu kama electrified SGR. Kuna SGR ambayo sisi tunayo, Ethiopia wanayo, nyinyi bado mnang'ang'ana kuijenga alafu Kuna electric trains ambazo Ethiopia pekee wanazo.
Hawezi kukupa maana sababu hajawai kuona train ya umeme zaidi ya kuona kwenye Tv na movies tuu.Unaweza kunipa maana ya "ku electrify SGR?"
Hapo watatafutana humu na hii ndio itakuwa benchmark kwenye uchaguzi wao
Mbona mnaiba picha za watu?🤣🤣🤣Makenya hayapendi View attachment 2029779View attachment 2029780
Wanaomba hata meli itakayoleta huo mzigo izame jumlaMakenya hayapendi View attachment 2029779View attachment 2029780
habari imewafikia
Wanakumbuka shuka kumeshakuchahabari imewafikia
Reli haswa iwe ya umeme mzeeReli yetu ni ya umeme, hiyo SGR yenu mlipoteza pesa bure mngetuambia mapema tungewaletea Suma JKT wajenge, mngeokoa pesa nyingi.