Onyesha hiyo signage ya Braille version!hata vipofu hawajaachwa nyuma 👇
View attachment 3146071
usisahau Wi-Fi pia....Ulitakiwa uione bussiness class ya sgr kenya,
Ina hadi wireless charging pad kwa ajili ya simu
#Maakuli#
Mijadala ya hivi huwa inapendeza sana, hujatumia kelele wala mbwembwe kuelelewesha
Sasa unabishana na Mswahili? Haya baki na ujinga! Mtakuta mpumbavu kutoka kabila la Kikuyu ndiye katengeneza hiyo dictionary!
😂😂😂Wazo la kununua vichwa mtumba lilikuwa la kijinga sana, sijui tuliwaza nini. Mwendokasi inavotupeleka puta nahofia yasije kufikia kwenye mradi wa maana na mzuri kama huu