Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

IMG_3248.jpeg
 
Ya Tanzania inaonekana imetumia garama ya kawaida na ya chini, ila ipo very effective.
 

Attachments

  • 1721903132130.png
    1721903132130.png
    4.7 MB · Views: 14
  • Screenshot_20240725-164656~2.png
    Screenshot_20240725-164656~2.png
    756 KB · Views: 13
  • Screenshot_20240725-050107~2.png
    Screenshot_20240725-050107~2.png
    818.4 KB · Views: 11
  • 1721903092041.png
    1721903092041.png
    5.5 MB · Views: 17
Kidete mpk kilosa ni km 59km.
Sasa train kama lina battery, kwa speed ya 160km/h linamaliza hizo km chini ya dkk 24 hivi.
Sasa battery linashidwa kutumza umeme wa dkk 23 kweli.
 
Power 🔋 backup nafikili ni kuweka watu kwenye mabehewa wasikae Giza, ila sio locomotive kuwa na nguvu ya kuvuta mabehewa.

Mimi nilijua tuu battery 🔋 gani lenye nguvu la kuvuta mabehewa ya treni
Power back up inatosha kufanya treni itembee kwa saa moja mpaka stesheni inayofuata sasa hapa sijui shida ilikuwa wapi?
 
Back
Top Bottom