Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,824
- 103,677
- Thread starter
- #15,701
Kesho watalia na kusaga meno😎😎Kawatumbue nyongo Wakunya kule thread ya Dar vs Nrb.! 😂😂😂
Mbona Huja-Post sasa?Kesho watalia na kusaga meno😎😎
Haikufika morogoro tu bali ilifika mpaka tunduma. Sasa umeridhika?😎Ilifika morogoro? Ama ilisimama msituni kula nyasi?
kwa mda gani??Haikufika morogoro tu bali ilifika mpaka tunduma. Sasa umeridhika?😎