Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Govt to launch tender for the electric trains
ippmedia.com/en/news/govt-launchtender-electric-trains

July 13, 2018
In an interview with the Guardian, the Tanzania Railway Corporation executive director Masanja Kadogosa said so far more than forty local and international companies had shown interest for tender bidding.

He pointed out that the government has planned to spend $14.2 billion to build the 2,561km SGR running from Dar es Salaam to Mwanza on the shores of Lake Victoria and Kigoma on the shores of Lake Tanganyika in the next five years.

Upon completion, it is expected to connect the ports along the Indian Ocean to landlocked Rwanda, Burundi, Uganda and eastern Democratic Republic of Congo and Zambia.

The executive director said the process of reviewing them was over and anytime from now the tender will be opened to get the winner adding that procurement procedures were on the final stage too,” he said.

“I would like to assure all bidders that the process of getting the winner will be free and fair. We are finalizing the procurement procedures and when it is over the public will be informed,” he said.

“Our state -run railway firm – TRC is seeking the supply locomotives, 14 of which will be cargo trains or 19 electric trains to be used on the standard gauge railway (SGR) which is at present under construction,” he added.

Kadogosa explained that once the construction of the SGR was completed, Tanzania would become the first country in the region to use high speed electric cargo and passengers trains.

Construction of the SGR began April last year, with the first phase consisting of a 205kms electric railway line from the port city of Dar es Salaam to Morogoro in central Tanzania. The $1.2 billion line, which is being built by Turkish firm Yapi Merkezi and Portuguese firm Mota-Engil, is expected to be completed by November 1, next year.

On January 02, this year, it was reported that the government floated a tender for the supply of electric trains to be used on the standard gauge railway (SGR) which is currently in the early stages of construction

The tender notice further revealed that the former Reli-Asset Holding Company (RAHCO) was seeking the supply, testing and commissioning of 14 electric locomotives for freight trains and five electric multiple Units (EMU).

EMU is an electric passenger train that has self-propelled carriages which use electricity as the motive power. EMU requires no separate locomotives, as electric traction motors are incorporated within one or a number of the carriages.

It was also looking for the supply of three electric locomotives for departmental trains, 15 first class coaches and 45 economy class coaches.

According to the tender notice, the government, through Rahco, currently TRC had already set aside funds in the financial year 2017/18 for the purchase of the rolling stock.

“It is intended that part of the proceeds of the funds would be used to cover eligible payment under the contract for supply, testing, commissioning and training of rolling stock for SGR railway system to operate in the Tanzania central railway corridor,” reads part of the advertisement announcing the tender.

It was also seeking the supply of two diesel locomotives for freight trains, 600 flat wagons, 500 box wagons, 200 oil tankers, 50 bulk wagons, 70 gondola wagons, 50 ballast hoppers and 50 double stack container wagons.

According to the notice, the pre-qualification would be conducted through international competitive tendering procedures as set out in the Public Procurement Act No.7 of 2011 as amended in 2016, the public procurement regulation 2013 as amended in 2016.
 
Mngekuwa mnapata elimu nzuri huko kwenu mchina asingewaingiza mkenge, kuliko kupigwa pesa nyingi halafu unaletewa treni ya 1970's, eti china class 1. Labda ndio maana mmeamua kuweka pesa nyingi kwenye elimu baada ya kugundua kuwa hamna elimu nzuri.

wewe hata hujui nini unaongelea, startdard ya reli si treni lenyewe... startdard au technology ya reli ni kama vile kuna standards tofauti za kujenga barabara ya lami, lakini gari au ndege itakayotumia hio lami ni la aina yoyote liwe ni lory, pick up, boeing 787...... lolote lile lakini ilimradi umenunua gari lenye litatosheleza matumizi yako.... kwa mfano, Tz imepiga order ya treni 14 electric ambazo moja inabeba tani 10, 000 kwa mpigo, Kenya ilinunua treni 56 za diesel ambazo moja inabeba 4, 000 tonnes... kila mtu amepiga hesabu zake na anajua ni nini anahitaji.... Shida ni kwamba watz wengi ni washamba, wanaangalia sura ya treni badala ya kuangalia matumizi... hivi unajua hio treni tulionunua sisi ndo inatumika kwa ukubwa huko china? hivi ushawahi ona zile treni za GE kule marekani vile zina sura mbaya ? enda pia uangalie treni za mizigo kule UK .......

hio treni ni model ya 1970's lakini imekua refined over the years, hii iko fully automatic na inatumia computer control, tena generator yake ni tofauti ambayo iko more fuel efficient...zile za kitambo ilikua manually operated...... Hakuna nchi ambayo iko serious itanunua ndege au treni ambayo ni mpya kabisa imetengezezwa mwongo huu, kama huamini enda ukafanye research kidogo, akina boeing, GE, Airbus ndege zao zote version mpya ni ndege ya kitambo ambayo wame refine na ku modify.... yani wateja hua wanataka kitu ambacho kina zaidi ya 20 years of performance.. kitu ambacho kiko proven and tested... hata nyinyi hizo treni mtakazoletewa, ukichunguza utapata kuna treni inafanan na hio kabisa ambayo iliundwa 1970's lakini ya sasa itakua upgraded version...
kwa mfano model ya kenya inaitwa DF8B.....Kuna DF1, DF2, DF3, DF4.... Hadi DF8A alafu DF8B... hizo treni zote zimefanana kisura lakini ukiangalia ndani engine ni tofauti, axle ni tofauti..etc

DF8 series ya kwanza ilitengenezw 1997

DF8B
The second generation DF8, the DF8B, is powered by an updated 16V280ZJA engine with 3,680 kW (4,930 hp). Production started in 1997 and lasts until today. Qishuyan, Dalian and Ziyang manufacture 0, 3000, 5000, 7000 and 9000 series of DF8B respectively.
China Railways DF8 - Wikipedia
 
Acha kunijibu shallow mi sipo hapa for the sake ya kubisha nimekupa nondo leta zako kwanini SGR ya Kenya ina uwazi zaidi ya Tanzania? Je gharama za ya Tanzania hujui na zipo juu? Design pia hujui? Tendering process hazina uwazi? Nimetoa mfano wa project procurement na financing. Wewe unaendelea kuleta loose talk! Leta facts otherwise tafuta wa level yako wa kufanya nae loose discussion!

Sawa sawa Geza, atafute saizi yake wa kuongea nae Mashudu.
 
wewe hata hujui nini unaongelea, startdard ya reli si treni lenyewe... startdard au technology ya reli ni kama vile kuna standards tofauti za kujenga barabara ya lami, lakini gari au ndege itakayotumia hio lami ni la aina yoyote liwe ni lory, pick up, boeing 787...... lolote lile lakini ilimradi umenunua gari lenye litatosheleza matumizi yako.... kwa mfano, Tz imepiga order ya treni 14 electric ambazo moja inabeba tani 10, 000 kwa mpigo, Kenya ilinunua treni 56 za diesel ambazo moja inabeba 4, 000 tonnes... kila mtu amepiga hesabu zake na anajua ni nini anahitaji.... Shida ni kwamba watz wengi ni washamba, wanaangalia sura ya treni badala ya kuangalia matumizi... hivi unajua hio treni tulionunua sisi ndo inatumika kwa ukubwa huko china? hivi ushawahi ona zile treni za GE kule marekani vile zina sura mbaya ? enda pia uangalie treni za mizigo kule UK .......

hio treni ni model ya 1970's lakini imekua refined over the years, hii iko fully automatic na inatumia computer control, tena generator yake ni tofauti ambayo iko more fuel efficient...zile za kitambo ilikua manually operated...... Hakuna nchi ambayo iko serious itanunua ndege au treni ambayo ni mpya kabisa imetengezezwa mwongo huu, kama huamini enda ukafanye research kidogo, akina boeing, GE, Airbus ndege zao zote version mpya ni ndege ya kitambo ambayo wame refine na ku modify.... yani wateja hua wanataka kitu ambacho kina zaidi ya 20 years of performance.. kitu ambacho kiko proven and tested... hata nyinyi hizo treni mtakazoletewa, ukichunguza utapata kuna treni inafanan na hio kabisa ambayo iliundwa 1970's lakini ya sasa itakua upgraded version...
kwa mfano model ya kenya inaitwa DF8B.....Kuna DF1, DF2, DF3, DF4.... Hadi DF8A alafu DF8B... hizo treni zote zimefanana kisura lakini ukiangalia ndani engine ni tofauti, axle ni tofauti..etc

DF8 series ya kwanza ilitengenezw 1997

DF8B
The second generation DF8, the DF8B, is powered by an updated 16V280ZJA engine with 3,680 kW (4,930 hp). Production started in 1997 and lasts until today. Qishuyan, Dalian and Ziyang manufacture 0, 3000, 5000, 7000 and 9000 series of DF8B respectively.
China Railways DF8 - Wikipedia
Mkataba wenu wa China class 1 ulikuwa si wa kujenga reli tu, Bali ulijumuisha locomotives na kila kitu mpaka training, sasa Huwezi niambia kwamba ndani ya mkataba mmoja mnapata reli class 1 ambayo nayo siyo class 1 halafu treni zinakuwa za 1970,s.
 
nimeshakuonyesha model ya krnya ni ya 1997 wewe bado umengangana na 1970... hii ndo shida ya kujadiliana na internet trolls.
fanya hivi basi, nionyeshe treni kama nne tofauti za kubeba mizigo ambazo zimeundwa hivi majuzi (in the last 20) ... na iwe wametengeneza vichwa zaidi ya aeast 500
 
Kwa hiyo treni zote ni za mizigo?
 
Kwa hiyo treni zote ni za mizigo?
Treni ambayo inaongelewa kuwa ni ya 1970's ni hiyo DF8G, ambayo tulinunua kwa ajili ya kubeba mizigo... kazi kwako, nionyeshe treni kali kali za mizigo za mwongo huu ambazo zimeuzwa kwa wingi
 
SGR
IMG_20180718_075923.jpg
IMG_20180718_075921.jpg
IMG_20180718_075919.jpg
IMG_20180718_075917.jpg
 
Back
Top Bottom