Gwakagwaka
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 525
- 1,424
Hatari sana
Sioni milango ya kujifungua apo.
yeye ndiye kaomba tender na pia kaahidi kutupa mkopo alipompigia simu magufuli.sisi huaga hatupigi simu km donar kantri, mikopo pia tunapewa bila ya kuomba.View attachment 1678875
Sio nyie mnaojisifu na malls?sio nzuri tena? Wivu unakutesaKwn ni mall![]()
Kwn kilichoandikwa hapo ni uongoKweli una mda kuchezea mpk unapata mda wa ku edit comment za mtu, we kweli kiande.
Kwhyo km tunajisifu ndio vituo vya treni viwe km malls sioSio nyie mnaojisifu na malls?sio nzuri tena? Wivu unakutesa
Sasa wewe unajua nn kuhusu design ya railway stations?Kwhyo km tunajisifu ndio vituo vya treni viwe km malls sio
Ndio unijuzeSasa wewe unajua nn kuhusu design ya railway stations?
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Angalia kilichoandaliwa tu pita wimaNdio unijuze
Facilities +Accessibility,Hiyo ya kwenu kwenda juu halafu kushuka chini kupanda treni ni umatako.😄😄😄.Ndio unijuze
Tatizo unalalamika weyeFacilities +Accessibility,Hiyo ya kwenu kwenda juu halafu kushuka chini kupanda treni ni umatako..



Station yenu iko boring sana the only thing can entertain you ni simu yako 😆😆😆😆.Tatizo unalalamika weye
Wanaotalii hata hawalalamiki, kwhyo wewe endelea kuteseka hko tandale
Station yenu iko boring sana the only thing can entertain you ni simu yako 😆😆😆😆.
yaani wamejenga ngazi ya hii warehouse wakasahau kuweka facility ya those on wheels!