komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Mchina katafutwaView attachment 1678154
Hii ni ya 70s nyinyi mkajengewa miaka hii.
Gari moshi,
Katafutwa kwa standard ya karne hii sio ya 70s

Mchina katafutwaView attachment 1678154
Hii ni ya 70s nyinyi mkajengewa miaka hii.
Gari moshi,
Katafutwa kwa standard ya karne hii sio ya 70s

Kaja kasema anataka tender sio

Katafutwa aiseeView attachment 1678154
Hii ni ya 70s nyinyi mkajengewa miaka hii.
Gari moshi,
Katafutwa kwa standard ya karne hii sio ya 70s

🤣🤣🤣 gari moshi linaonekana hapoKaja kasema anataka tender sio
Mumeshachelewa
#mchinakatafutwaView attachment 1678239View attachment 1678240
Imekaa kama majengo ya kisoviet. No modernityKatafutwa aisee
Mturuki keshawapiga, sai kisha ndio hana haraka manake keshajua ashakula mpunga wa kutosha..
Shobo za kijinga kwa kumpa phases mbili jamaa wa "european standards"
Jamaa wameacha european standards kweliView attachment 1678243View attachment 1678246
Hiyo ni "intro-" tu mzee, bado "-duction". Ya Morogoro tushaiona. Ya Dom ndiyo itafunika hizi zote. Kisha itakuja ya Rock City ambayo kwa jinsi tulivyo wabishi tunaweza taka ifanane na Sangara au ule mwamba aka "Rock" unaoipa Mwanza nick name yake.Imekuingia hyo
Mumepigwa
Hoja ilikuwa garimoshi na si reli. Kwani kinachotoa moshi ni hayo matreni au reli? Wakenya buana.Si utakufa kw stress jamani, yani mpka umechanganyikiwa unasema mlikua na sgr 70s![]()
Niletee interior photos za station yoyote ya kwenu tufananishe na hiyo ya Moro, ya Dar tunaiweka kando ili kuwe na fair ground.Mbona ya kawaida tu hyo
Hiyo ni kama mall.Mall![]()
That looks like mall interior. In fact Kenyan mall are better. Look at the example belowNiletee interior photos za station yoyote ya kwenu tufananishe na hiyo ya Moro, ya Dar tunaiweka kando ili kuwe na fair ground.
Una dalili zote za kuumia!!!Pata tembe mbili zitakusaidiaThat looks like mall interior. In fact Kenyan mall are better. Look at the example below
View attachment 1678329
Kwahiyo walichoongea hapa ulikisikia au sioKaja kasema anataka tender sio
Mumeshachelewa
#mchinakatafutwaView attachment 1678239View attachment 1678240

Mbn hujiaminiKatafutwa aisee
Mturuki keshawapiga, sai kisha ndio hana haraka manake keshajua ashakula mpunga wa kutosha..
Shobo za kijinga kwa kumpa phases mbili jamaa wa "european standards"
Jamaa wameacha european standards kweliView attachment 1678243View attachment 1678246

Kwamba milango unatumia power au inafunguka yenyewe, tuanzie hapo kwanza ili tujue ipi inakaa airport na ipi inakaa workshopHiyo ni kama mall.
Railway station just like an airport should be spacious
Look at Nairobi Terminus in Nairobi
View attachment 1678321View attachment 1678323View attachment 1678324

Kwamba milango unatumia power au inafunguka yenyewe, tuanzie hapo kwanza ili tujue ipi inakaa airport na ipi inakaa workshop![]()
Katafutwa na mkopo juuMbn hujiamini
Km unapost picha kwa minajili ya kushindana we sema na cc tutupieView attachment 1678480

#mchinakatafutwa

We waruu nini!Huhu kwani ni coloho mall!!!