Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

kila kitu kwenu ni mitungi,,,outdated version .......

ndiyo maana tunawaambia kuwa endeleeni kujidanganya mfumo wa kijeshi tunaouendesha tanzania ni tofauti kabisa na mfumo wenu....

yaani mnaakili cheap sana yaani kwaakili ya kujiongeza tu yaani tokea uhuru jeshi lishindwe kutenga pesa ya kununua hata ndege ama helicopter moja kila mwaka.... ?!!!!!

amka mzee onyango ungekuwa mkuu wa majeshi halafu upo kwenye uwanja wa vita ungechapika asubuhi tu na mapema


endelea kuishi na takwimu uchwara
 
Waache tu wapuuzi hao anakuja hapa anaonesha vitu cheap cheap anadhani cc tuta consider, watu tuna vifaa vya kisasa kabisa na bado tume Cool, cc mambo yetu yanayohusu military huwa ni siri mno hata kwenye hoja humu ni ngumu kukuta mtz akiweka siri za tpdf humu ni kwasababu ya ugumu wa kupata data za hao jamaa na co km hatupendi, ila huwa tunapata fununu ndogo ndogo ndiyo tunatamba nazo humu plus the attractive history ya jeshi letu adhimu.
 
waache tu mi huwaga naishia kicheka tu,,,maana unakuta mtu analeta hoja humu za kijeshi wakati hajui chochote hata kuhusu jeshi lao anaishia kupost data za weapon ambazo mara nyingi ni secret chember kwa taifa lolote lililo makini....

tuendelee kuwaenjoy mzew
 
Watanzania hua hamna hoja kabisa yani hata kujadiliana nanyi brain cells zinakufa... Jamaa wa ndege 34 nchi nzima anakuja kujikwatua eti wana mifumo tofauti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sasa naelewa kwanini CCM wamekua madarakani tangu mpate uhuru, Inaonekana ni rahisi sana kudanganya mtanzania, Mwananchi akiuliza serekali tuna ngege ngapi na za aina gani, CCM inajibu"Sisi tuko na mfumo tofauti sana na nchi zengine, kwahivyo usitie wasi wasi"
 
Unaanzaje kuisema nchi ambayo imesha prove ya kwmb ina jeshi imara, unaanzaje kulinganisha tpdf na kdf wkt hao watz wameshashinda vita zaidi ya moja huoni km hii ni unfair battle? Huoni km huu ni utoto?
 
Hakuna secret yeyote, unless wewe ndo uko na kiwanda cha kutengeneza ndege hapo Tanzania!!!! LAkini kama ni import lazima itajulikana tu.. Ndege zote zinazoingia Africa zinakua tracked na hata zile ambazo hua zinapenya kama drones hua baada ya miaka/miezi michache siri hio inatambulika... Alafu kama ni ndege kali, nchi inayo kuuzia itataka itangaze kwamba wao ndo wamekuuzia ili wapate sifa na wateja wapya.

Ni ulimbukeni na uzembe wa hali ya juu kuamini eti nchi yenu inaweza kua na ndege nyingi zaidi kuliko zile ambazo zinajulikana. Unaweza ukaficha uko na makombora mangapi au radar za aina gani lakini hauwezi kuficha uko na ndege ngapi au za aina gani.

Unajua ni mara ngapi tumepewa fununu kwamba Kenya imepokea ndege za F-15 na F-16 ??




---------------------------------------------------
Enhanced attack and surveillance capabilities

Ongoing talks between Kenya and the U.S. should result in the Kenya Air Force buying and fielding new F-16 fighters, which would make Kenya the first country in sub-Saharan Africa to own and operate the Lockheed Martin-made jet. Such an acquisition would cap a consistent military hardware and software upgrade that the KDF has undergone since 2013.

----------------------------------------
F-16 jet



Hadi mkuu wetu wa majeshi alishawai kuenda marekani 2014 na akaonyeshwa na akapeleka hio ndege ya F-16 kwahivyo inaonyesha kabisa kwamba Kenya ilikua inazungumza na marekani kuhusu hii ndege. Kwahivyo hautakua na wazimu kuamini hizi taarifa zinazosema Kenya ilipokea hizi ndege kisiri siri miaka michache baadae.









Kuna hii nayo
---------------------------------------------------
The KDF have acquired four attack helicopters from Russia, inlcuding Mi-28 Havoc attack helicopters. The Mi-28 is an all-weather, day-and-night attack helicopter that will serve the KDF in strategic military operations both in Somalia or elsewhere in the region. The Mi28 comes with an armored cockpit with air-to-air and air-to-ground attack capabilities.
-----------------------------------
Source: https://www.rotorandwing.com/2019/0...ilitary-might-acquisition-attack-helicopters/


Mi-28 Havoc attack helicopter




Kuna hata picha ambazo zinaonyesha Mi-28 tatu zikiwa na bendera/insignia ya Kenya Airforce


----------------------------------------------

Lakini hata baada ya hizo taarifa zote, hautawahi kuniona kwa forum hata siku moja nikidai eti niko na siri za Kenya na najua Kenya iko na zana kali kali za kivita kama F-15, F-16s, Mi-28......... Simply put, I'm not naive. Hizi taarifa zote ni za uongo, hauwezi ukaficha siri kama hio kwa miaka hii yote bila hata mtu mmoja kupiga picha zana hizi za kivita.

1. Kununua ndege kama hizi si pesa za madafu, kwanza unahitaji bajeti kubwa manake kumbuka kwa contract unanunua ndege na pia unalipia spare parts kwahivyo kama ndege moja ni $20 Million utakuta unalipia kama $50m ukiwa umejumlisha spare parts, training, weapon load ...etc So kwasababu ya hili, jeshi haliwezi kutumia pesa zake za ndani kununua vifaa hivi ki siri siri, wanahitaji special budget ya kununua hizi ndege... Hapa inabidi kuingiza wabunge kutenga pesa spesheli za ununuzi.... Na unajua vile wabunge wana midomo mirefu, watatoboa siri kwa wanahabari, muulize museveni pale alipokua anataka kununua Su-30 jets kutoka Russia.

2. Ni vigumu sana kuficha hizi ndege, kuna satelite ambazo kazi yake ni kuchunguza kambi za jeshi! Unafikiri akina USA, China, EU wanajuaje nchi kama Iran, North Korea wanajenga Nuclear weapons ilhali hawajakanyaga huko? Siku hizi kuna mpaka civilian radar ambazo zinafwatilia haya mambo, ukiongeza hata aircraft hanger moja tu, jamaa washapima inaweza kufunika ndege ngapi na za aina gani....


Angalia ripoti kama hii


Chinese Navy expanding base in Africa, satellite images confirm​

May 11, 2020 Staff Writer 0
The People’s Liberation Army Navy (PLAN) has stepped up its operations at a base in Africa, as evidenced by satellite imagery.
The images show a large increase in activity and construction in Djibouti, one of several African nations that have decided to take PLA expansion seriously in exchange for infrastructure projects.
The base, which was opened in 2017, is still being constructed, and several of the piers have been undergoing construction since that time. One pier, around 1,120-feet long, was finished sometime late last year, and matches the length requirements for the Liaoning aircraft carrier and several assault ships.
------------------------



3. Ndege zote ikiwemo za kivita zinahitaji kua na transponder na pia zinaonekana kwa Civilian Radar ili zisigongane na nyengine, not unless uko vitani ama ndege yako ni stealth aircraft. Kwahivyo hata kama umeficha siri ya ndege, bado zitaonekana transponder zake na zitajulikana tu! hata kama zitapeperuka usiku.
--------------------------


4. Kuna watu wamebobeoa wanajua sauti za ndege aina nyingi sana kama vile mwanajeshi anaweza kukwambia aina ya bunduki kwa kusikiza mlio wake tu... kwahivyo hata kama unaipeperusha hio ndege yako na usiku tu, bado kuna watu wakiskia tu mlio wa engine atakwambia hio ni ndege flani na ni model ya mwaka flani..



----------------------------
Kwa kifupi isianze kunidanganya eti iko siri ambayo wewe ndo wajua au sijui information hi ni top secret... hizo ni blah blah za abunuasi
 
Unaanzaje kuisema nchi ambayo imesha prove ya kwmb ina jeshi imara, unaanzaje kulinganisha tpdf na kdf wkt hao watz wameshashinda vita zaidi ya moja huoni km hii ni unfair battle? Huoni km huu ni utoto?
Watanzania mnaishi kwa historia. Bado mnajiona kama wakomozi wa South Africa wakati SA inawadharau....
Uganda ile nchi mlio ishinda leo hii mkaenda nao one on one watawachapa vibaya sana... You still living in the past!
 
Hakuna nchi imeshinda vita vya kigaidi... Kama iko niletee hapa.. usichanganye vita vya wanamgambo na vita vya kigaidi.... Mozambique ni nchi ambayo imekua stable, wanamgambo ambao hawajawahi kutoka nje ya mozambique ndo wanajaribu kuanzisha kitu.... Unataka ulinganishe na Somalia ambayo haijakua na serekali kwa miaka zaidi ya 30, amabapo mbali na kupigana na magaidi lazima ushike doria na kukuza serekali from scratch, Ambapo magaidi wakutoka uarabuni wanawafundisha wasomalia jinsi ya kupigana vita na wanajeshi wa karne ya 21....

Hebu niambie ni wapi hawa wanamgambo wa Mozambique wana uwezo huu wa kupasua magari ya kivita mara mbili kwa kutega mabomu au kujilipua kwa kujitoa mhanga?









Usilinganishe vita vya kitoto na vita vya watu wazima..... Na BTW Tz iliambiwa ije Somalia, lakini serekali yenu ilikua na busara ya kujua kwamba hawatawezana ikaamua haitohusika hata kidogo, Hata ku train wanajeshi wa Somalia mlikataa kufanya baada ya mkuu wa Alshbaab kutoa onyo kali kwamba Tz isijihusishe na ku train wanajeshi wa Somalia kama mchango wake wa kuisaidia somalia.
 
wawe wanaume ata watoto the fact is fokker ni ndege outdated!
Fokker tulio nayo ilinunuliwa mpya 1995.. Bado haijafikisha miaka yake ya ku retire.... Unafikiri Rais wa nchi angekua anasafiri na ndege ambayo inaweza kuanguka wakati wowote? stop bieng childish!
 
Swali moja tu niambie ni vita gn mlishinda hilo tu.
 
Watanzania mnaishi kwa historia. Bado mnajiona kama wakomozi wa South Africa wakati SA inawadharau....
Uganda ile nchi mlio ishinda leo hii mkaenda nao one on one watawachapa vibaya sana... You still living in the past!
SA tunaingia km nyumbani unataka tupewe heshima gn, Uganda ni mdogo wetu hata raisi wao alipokuja alisema hilo na anajua nguvu ya tz kijeshi cz ni kiongozi yule co kapuku km ww anajua siri nyingi.
 
Mna ndege 40 za kijeshi sisi tuna 150. Sasa nenda kalilie chooni.
 
Mna ndege 40 za kijeshi sisi tuna 150. Sasa nenda kalilie chooni.
Nyie mna ndege 155555555555 co 150 pekee lkn hazina msaada wwte mnaharibu pesa za tax payers wanajeshi wenu hawako well trained but jeshi letu lina ndege less than 30 but tuna historia kubwa ya kushinda vita, so muwe na adabu mkishindwa adabu tutaichukua kwa nguvu pumbavu.
 
Mna F5 si F16! Tena most of those F5 mli-acquire Jordan zime-crash!
 
mbona unajiongelesha kizembe sana nani kazungumzia masuala ya CCM apa.....

karibu sana uje kudanganya watanzania utatoboa kimaisha na utatupata kama wote...

hicho kitu tunachokuambia ndiyo fact hauwezi kujua jeshi la Tanzania lipo vipi hata siku moja,utaishia kuvijua hivyo vichache only ila full details huwezi kujua uache ushamba,upo empty sana kwenye masuala ya usalama ...

na chakushangaza ulivyo boya ,,haujijui kama hata jeshi lenu lenyewe haulijui hata robo zaidi ya kuishia kuropoka mambo usiyoyajua na kuishia kusoma hivyo vitakwimu uchwara nakuona kuwa umemaliza kujua vitu vilivyo ndani ya jeshi....
pole sana unapoteza mda kwa vitu usivyovijua ...
 
Watanzania mnaishi kwa historia. Bado mnajiona kama wakomozi wa South Africa wakati SA inawadharau....
Uganda ile nchi mlio ishinda leo hii mkaenda nao one on one watawachapa vibaya sana... You still living in the past!
alisikika mlevi mmoja akiongea .....

no sense unaongea matope,upo rash sana mzee ojwani masuala ya history yalishapita ila lazima yabaki in a memory ,ndiyo maana huwa mnasheherekeaga kila mwaka masuala ya madaraka day kama mngekuwa hamthamini memory mngeanzisha tarehe mpya kila mwaka ya kusheherekea,,,,,tuachane na hayo,nilikuwa nakuonyesha vile kitu kilichopita kama kinathamani lazima kiheshimike baba atabaki kuwa baba na mtoto atabaki kuwa mtoto,hizo super power country zote unazoziona zinaheshimika kijeshi mpaka leo hii kulingana na record zao za nyuma kimapambano na hawajalala ,sasa wwwe endelea kujifurahisha eti kuna ndege sijui 70 sijui kuna ndege 30 wakati upo empty hujui masuala ya kijeshi yanaenda vipi....
 
Watanzania mnaishi kwa historia. Bado mnajiona kama wakomozi wa South Africa wakati SA inawadharau....
Uganda ile nchi mlio ishinda leo hii mkaenda nao one on one watawachapa vibaya sana... You still living in the past!
ni bora uendelee kupost gari moshi zenu kuliko kuzungumzia vitu usivyovijua mambo ya kijeshi hauyawezi mzee ojwani achana nayo

hebu jibu maswali hayo,kisha ndiyo uje na hoja zako za utumbo zakufikirika ,kutafuta link ruksa angaika kote kisha zicopy na upaste kama kawaida yakp jinsi ilivyo


1.Je ulishawahi kutembelea military base zilizopo tanzania na ukahesabu idadi ya vyombo au vifaa vyote vya kivita. vilivyopo..?..kama ni ndiyo je kwa ujumla vipo vingapi....?

2.Jeshi la Tanzania linamiliki ndege na helicopter ngapi..,?..,je ni aina gani za ndege na helicopter zinazomilikiwa na tanzania....?..je gharama zake kwa kila kimoja ni kiasi gani,,..? ndege zilinunuliwa mwaka gani,saa ngapi,na ilikuwa ni siku gani...pia zilichukua mda gani mpaka kukamilisha matengenezo na kufika tanzania...?

3.Jeshi la tanzania linamiliki vifaru na magari mangapi ya kijeshi..?...je ni brand gani ya magari yanayotumiwa na jeshi la tanzania na yametoka ama yamenunuliwa kiwanda gani na yalinunuliwa mwaka gani....?...

4.Jeshi la Tanzania linamiliki silaha ngapi za kivita..?..kisha nitajie aina ya silaha zinazomilikiwa na jeshi la tanzania na zilinunuliwa wapi mwaka gani saa ngapi mwezi gani...?...

,,,,,,,,,KARIBU SANA MZEE OJWANI UJIBU KWA EVIDENCE......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…