JETM
JF-Expert Member
- Aug 13, 2016
- 435
- 378
Unadhani miaka 50 ijayo na wao watakua na mawazo hayo hayo?Mchina alijenga kwa mkopo na deni lilishaisha. Tanzania ndio nchi ya kwanza Afrika Mashariki na kati kujenga reli yake baada ya mkoloni kuondoka.
Unaonesha huna upeo mkubwa, sio nchi zote duniani zinatumia SGR. SGR ni 55% ya reli zote duniani. Wakati wa ubora wake TAZARA ilikuwa na ufanisi mkubwa kuliko sasa hivi. Hata baada ya miaka 50 SGR ya Kenya haitakuwa na ubora kama wa sasa.
Zambia : TAZARA reaps US$13 million profit
Sent using Jamii Forums mobile app