Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,852
- 103,706
- Thread starter
- #8,481
Turkey's locally produced electrical train
Alafu kuna watu wanafanisha na upgrade mgr






Hapa lazima waombe kusamehewa,vinginevyo, mchina anachukua govt parastatalsKwisha habari yao, c huwa wanasema hawajawahi shindwa kulipa deni? Kiko wapi ss![]()
Imagine walikuwa wanaendea loan nyingine! Aisee hawa majirani ni wendawazimu...Hapa lazima waombe kusamehewa,vinginevyo, mchina anachukua govt parastatals