Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

173km unajenga kwa miaka 4 kwani ni dhahabu inatumika kuweka mataaluma?

Funny thing few to no danganyikas actually ask the government why? Kwanini sgr za inchi zingine zimeisha na yetu bado?

Wanaona Kenya tukipiga kelele wanadhani sisi wajinga. Bila hizi kelele na expose za media sgr ya Kenya ingekwama Voi tuambiwe kuna Simba Tsavo but inabidi wajenge tuu.

Criticism ni muhimu sana kwa maendeleo.
Wakenya acheni utumbo wa kujilinganisha ,sema mmejengewa hamjui lolote wachina walipeleka kasi wakijua lile ni dili bila ya nyie kugundua mnapigwa vibaya na nyasi wakaagiza nje
 
hii habari pande hizi hazijafika
View attachment 1548798
Good move. Wajuvi wa mambo mtwambie tupate elimu hapa. Najitahidi kuelewa ni kwa nini tender imekuwa ya Mwanza - Isaka (lot 5) badala ya Makutopola - Tabora au Makutopola - Isaka.

Je, inaweza kuwa kwamba serikali imeamua kuunganisha lots 3 & 4 na kipande tarajiwa cha Isaka - Rusumo? Au kwamba imeamua kuanza na lot ndefu zaidi kuliko zingine zilizobaki!

Pia kwa hatua hiyo maana yake inaweza kuwa kwamba serikali itataka lot(s) za katikati zijengwe kwa muda mfupi kuliko hii ya Mwanza - Isaka?

Hapa ndipo huwa napenda viongozi jasiri kufanya maamuzi magumu.

Naomba elimu hapa.
 
Ni ushawishi tu kupitia strategies, anataka kum-distract Museveni! Hapa Museveni ana choice mbili kujenga SGR kwenda Malaba over 250 km ama kujenga less than 20 km of SGR btn Port Bell and Kampala!
 
Ni ushawishi tu kupitia strategies, anataka kum-distract Museveni! Hapa Museveni ana choice mbili kujenga SGR kwenda Malaba over 250 km ama kujega less than 20 km of SGR btn Port Bell and Kampala!
Dah...hii strategy konki sana...sikuiwaza kabisa
 
Good move. Wajuvi wa mambo mtwambie tupate elimu hapa. Najitahidi kuelewa ni kwa nini tender imekuwa ya Mwanza - Isaka (lot 5) badala ya Makutopola - Tabora au Makutopola - Isaka.

Je, inaweza kuwa kwamba serikali imeamua kuunganisha lots 3 & 4 na kipande tarajiwa cha Isaka - Rusumo? Au kwamba imeamua kuanza na lot ndefu zaidi kuliko zingine zilizobaki!

Pia kwa hatua hiyo maana yake inaweza kuwa kwamba serikali itataka lot(s) za katikati zijengwe kwa muda mfupi kuliko hii ya Mwanza - Isaka?

Hapa ndipo huwa napenda viongozi jasiri kufanya maamuzi magumu.

Naomba elimu hapa.
Namsikiliza bro Magu hapa naona katoa jibu mojawapo. Kwamba kifuatacho ni Isaka - Makutupola. Ngoja tusubiri. Inaonesha yajayo yanafurahisha.
 
Makutopora-Isaka ni 424km...tofauti ya 2km tu na Morogoro-Makutupora 422km...Yapi Wakimaliza Hii ya Moro-Makutupora watapewa hicho kipande..ht hiki cha Mwanza-Isaka nadhani wanasubiria wamalize cha Dar-Moro wapewe wao.
Screenshot_20200902-170259_YouTube.jpg
 
Makutopora-Isaka ni 424km...tofauti ya 2km tu na Morogoro-Makutupora 422km...Yapi Wakimaliza Hii ya Moro-Makutupora watapewa hicho kipande..ht hiki cha Mwanza-Isaka nadhani wanasubiria wamalize cha Dar-Moro wapewe wao.View attachment 1556531
According to JPM, kuna mpango wa hizi two lots yaani Mwanza-Isaka n Makutupora-Isaka kuwa zimeanza kabla ya 2nd half 2021! Makutupora-Tabora na Tabora-Isaka zitaunganisha kuwa lot moja!
 
Nadhani itakua ivo...Yapi wakimaliza Mwanza-Isaka wanalamba Isaka-Rusumo 371km...inategemea na how fast Yapi wanamaliza hizo projects...
Isaka-Kigali haitegemei kumaliza lots za central railway bali funds za AfDB! Inaweza kuanza wakati wowote!
 
Its true ila wasiwasi wangu ni uwezo wa Yapi wa kutekeleza miradi mitatu kwa wakati mmoja...ulivyoanza mradi wa Moro-Makutupora unaona kabisa Dar-Moro ulianza kusuasua...ss wakipewa mitatu si itakua balaa...otherwise tutafute mkandarasi mwingine.
 
Ni kweli kabisa mkuu Dar-moro imesua sua sn na kipande kikubwa bado mfano tu ukiangalia kipande kidogo tu kutoka pale Buguruni mpk unafika kipawa naona bado nadhani GoT ingempa mtu mwengine akimbizane na Yapi merkezi unless kuna siri zingine.
 
Back
Top Bottom