Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Tatizo waTanzania wengi cant handle critism! Sijui ni malezi, ushamba, utoto au elim ndogo. Mtu anaacha kujadili point anaanza personal attack, Utaambiwa wewe sio mzalendo au sio mTanzania!
Napenda kutumia mfano wa BRT coz ni mfano ulio hai, walio hoji miaka hio waliambiwa maneno kama haya haya mara wasijifanye wanajua kuzidi ma-engineer, wao sio wazalendo, kambi la upinzani nkdk..
Lazima tutambue kua mtu anaweza akawa mzalendo na bado akahoji miradi ya kitaifa kufatana na analysis yake. WaTanzania tujitambue tuachane na hisia (emotions) sehem za kutumia logic.
Kuna msauzi mmoja anaeishi marekani anaitwa Trevor Noah, kwa wanaomfaham huyu jamaa, kwenye youtube channel yake ni critic mkubwa sana wa chama cha Republican, Donald Trump na serekali lakini ukisoma comments sijawai kukutana na inayomwambia aka critisize matatizo ya nyumbani kwao south Africa badala yake wana focus kwenye point aliyoiongea, wakukubaliana nae watakubaliana nae na wakumpinga watampinga based on alichokiongea sio utaifa wake. Huku ndo kukomaa kiakili.
Sitashangaa mtu kuja na mistari kama "hao wamarekani unaowasifia ndo wanafanya x, y, z!" Haya ndo maongezi typical ya wana vijiwe. Kukwepa mada kwa kuanzisha mada nyingine nyingi na emonji nyingi kama mtoto wa chekechea.
https://www.jamiiforums.com/members/lusematic.413388/
https://www.jamiiforums.com/members/geza-ulole.19620/ https://www.jamiiforums.com/members/simon.206493/ https://www.jamiiforums.com/members/ezz-chezz.41247/ https://www.jamiiforums.com/members/macos.10665/ https://www.jamiiforums.com/members/the-best-007.569706/ https://www.jamiiforums.com/members/babayao255.545870/
Kwahyo hapa tujue ww ni Macos au hydrogen
 
umesahau kubadilisha ID ndugu!
nilijua utajibu hivi ndo maana nikasema.
Tatizo waTanzania wengi cant handle critism! Sijui ni malezi, ushamba, utoto au elim ndogo............................ wakukubaliana nae watakubaliana nae na wakumpinga watampinga based on alichokiongea sio utaifa wake. Huku ndo kukomaa kiakili.
......................Haya ndo maongezi typical ya wana vijiwe. Kukwepa mada kwa kuanzisha mada nyingine
hujacheza mbali na nilichoongea
............ Kukwepa mada kwa kuanzisha mada nyingine nyingi na emonji nyingi kama mtoto wa chekechea.
Kwahyo hapa tujue ww ni Macos au hydrogen
Haya ndo maongezi typical ya wana vijiwe. Kukwepa mada kwa kuanzisha mada nyingine nyingi na emonji nyingi kama mtoto wa chekechea
Yani mule mule!!
 
A sight to behold.........

1598344040322.png
 
yeah, Magu anajielewa sana.. rwanda ni mteja wetu kwa zaid ya 70% hivyo kaona aipitishe kwanza mwanza.. wakenya watamchukia sana, ile route (na mizigo )yao ya kwenda malaba, Uganda waisahau
Pia maeneo hayo yana watu wengi sana kulinganisha na maeneo mengine ya nchi, hivyo kuna uchumi mkubwa.
 
We might see 2 deals with diffrent contractors being signed at once ....Makutupora -Isaka and Isaka -Rusumo so that they end alomst muda sawa ...i d still give it to 2022 to see any construction starting tho.
May be Mwanza-Isaka n Isaka-Rusumo as Mwanza-Isaka tender is already floated!
 
Back
Top Bottom