Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 19,160
- 15,428
At least you have spoken sense unlike that grandfather, Geza UloleWee ndio hujaelewa, unaonekana ni mwanafunzi mbaya, ngoja niandike kwa swahili ya huko Kenyaland.
Kwenye ujenzi wa SGR kuna transmission line yenye kubeba stima ya msongo mkubwa wenye Kv 220 kutoka kwenye power generation plants hadi kwenye SGR substations. Halafu kuna overheard catenary power line ambayo inachukua stima iliyopoozwa na substations kutoka msongo mkubwa kua msongo mdogo wa Kv 25 suitable kwa matumizi ya treni. Hizi catenary lines ndio zile unazoziona pale pembeni na juu ya reli kwa ajili ya kulisha train.
Sasa TANESCO wao kwa pesa zao wanajenga, wanamiliki transmission line na watatoa huduma za stima kutoka kwenye generation plant zao kupitia hio transmission line yao.
Budget ya ujenzi wa SGR kwa serikali inahusisha gharamia ujenzi wa reli, stations, catenary power lines na vitu vingine lakini sio transmission line.
Baada ya ujenzi kukamiika na shughuli kuanza, TRC watakua wananunua stima ya kendesha trani kutokaTANESCO.
Sent using Jamii Forums mobile app