Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

When did you build that modern cruise terminal? I'll have to visit it someday
😂😂😂
Our Terminals r not that bad!

2664.jpg

2663.jpg

2666.jpg
 
Looool!!!😂😂😂
see what ur brother had to say!

Hio Video umeeka jameni si iko na mahali at 1:45 inaonyesha dutty free shop ikijazwa bidhaa???

View attachment 1324716

Anyway, lakini kusema ukweli hio $3m ni ilikua pesa nyingi, especially considering the whole of Mama Ngina waterfront ilijengwa na $4.5m na iko na majumba mengi, Mosque, Open Arena, bara bara , cabro pavement. Hio price ya hio terminal ilipanda baada ya project kukatishwa kama mara tatu hivi, ilikua kandarasi inatolewa, campuni inajenga inafika kati kati kesi inatoka ujenzi unaachwa, alafu baada ya miezi kadhaa ndo wanaendelea..etc
 
Si nilikwambia mimi usubiri mwishowe tutaona ukweli, ukabaki ukinitukana ukisema sijui kitu. Nikakwambia mimi nilitoa information kutoka kwa ripoti ya Yepi kwahivyo ukinipinga ulikua unapinga ripoti ya yepi markezi wenyewe!!!!

NIlikwambia kwamba 220kv dedicated transmission line ya SGR haiko ndani ya ile $1.9B garama ya ujenzi wa SGR yenu inayojengwa na Yepi, Yepi wenyewe walisema hio garama iko kando, ya kwamba ni TANESCO ndo watajenga na kugaramia ...

Sasa angalia hii video kutoka kwa TRC wenyewe From 3:24 wanaonngelea kuhusu hio transmission line inayojengwa na TANESCO kutoka Dar hadi Moro.. Kumbuka hii ni dedicated line kwahivyo itatumika exclusively kwa SGR operations.

MPYA-UJENZI WA RELI YA SGR KIPANDE CHA DAR-MORO WAFIKIA HATUA HII, UMEME WA TANESCO NI ZAIDI Y...jpg

Kutoka kwa ripoti ya Yepi

1579777250405.png

---------------
Kwahivyo ukipiga hesabu zenu za ujenzi wa reli, kumbuka kando na hio $1.9B ya ujenzi bado kuna

1. Garama ya 220kv transmission line from Dar to Kingolwira
2. Garama ya vichwa 16 vya treni
3. Garama ya mabehewa 1,400
etc

Ukijumlisha hivyo vyote ambavyo kwa sasa hatujaambiwa gharama yake ndo utapata garama halisi ya SGR yenu!
 
Si nilikwambia mimi usubiri mwishowe tutaona ukweli, ukabaki ukinitukana ukisema sijui kitu. Nikakwambia mimi nilitoa information kutoka kwa ripoti ya Yepi kwahivyo ukinipinga ulikua unapinga ripoti ya yepi markezi wenyewe!!!!

NIlikwambia kwamba 220kv dedicated transmission line ya SGR haiko ndani ya ile $1.9B garama ya ujenzi wa SGR yenu inayojengwa na Yepi, Yepi wenyewe walisema hio garama iko kando, ya kwamba ni TANESCO ndo watajenga na kugaramia ...

Sasa angalia hii video kutoka kwa TRC wenyewe From 3:24 wanaonngelea kuhusu hio transmission line inayojengwa na TANESCO kutoka Dar hadi Moro.. Kumbuka hii ni dedicated line kwahivyo itatumika exclusively kwa SGR operations.

View attachment 1331787

Kutoka kwa ripoti ya Yepi

View attachment 1331795

---------------
Kwahivyo ukipiga hesabu zenu za ujenzi wa reli, kumbuka kando na hio $1.9B ya ujenzi bado kuna

1. Garama ya 220kv transmission line from Dar to Kingolwira
2. Garama ya vichwa 16 vya treni
3. Garama ya mabehewa 1,400
etc

Ukijumlisha hivyo vyote ambavyo kwa sasa hatujaambiwa gharama yake ndo utapata garama halisi ya SGR yenu!

unaelewa Kiswahili wewe? Hajasema hiyo $150mln is separate from total cost! Only the cost of locomotives is separate!
 
What are you talking about? nimetaja vitu vitatu hapo

1. Garama ya 220kv transmission line from Dar to Kingolwira
2. Garama ya vichwa 16 vya treni
3. Garama ya mabehewa 1,400

Sasa sema ni nini ndo unapinga hapo? kwasababu ndani ya hio video hawajataja hio $150m unayo iongelea, wamesema tu kwamba hio transmission line inajengwa na TANESCO kama tu vile Yepi walivyosema kwa ile ripori.

Hivi ndo ripoti ya Yepi inavyosema

ASSOCIATED FACILITIES
2.8.1
Overview
In accordance with international ESIA practice, the Area of Influence of a project includes not only the core project components but also any Associated Facilities related to the project.Associated Facilities are defined by the IFC as “…facilities that are not funded as part of the project and that would not have been constructed or expanded if the project did not exist and without which the project would not be viable ”.
In the context of this SGR Project, the relevant Associated Facility per the above definition is considered to be the 220 kV transmission line from Dar es Salaam to Morogoro for the electrification of SGR line (the “TL Project”), which will be constructed and operated by TANESCO.
Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) is a parastatal organization under the Ministry of Energy in Tanzania, which owns most of the electricity Generating, Transmitting and Distributing facilities in Tanzania. In such cases where a third party is responsible for an Associated Facility, IFC PS1 states that the client should address E&S risks and impacts in a manner that is commensurate with the client’s degree of control and influence over the third party. In the case of the SGR Project, the Government of Tanzania (GoT) for Tanzania Railway Corporation (TRC) is the borrower. Since both TRC and TANESCO are both state owned companies, the GoT is in the position to control or dictate actions to TANESCO. Therefore, with the GoT support, TRC has requested TANESCO to formally confirm managing E&S risks or impacts for the 220 Kv Dar es Salaam- Morogoro TL in line with international standards such as IFC PS.
In line with information provided by TRC to date, TANESCO is receiving funding from WorldBank for the implementation of the TL Project ; therefore itis assumed that the project will be developed with consideration of the WorldBank Safeguards and related WB/IFC Guideline on Environmental, Health, and Safety Guidelines for Electric Power Transmission and Distribution.

additional info from the report
1579790169224.png

So connecting from the TRC video and the ESIA report by Yepi, you can see that the dedicated SGR transmission line is not part of the $1.9B contract funding. The transmission line has its own separate EISA and feasibility report, it will be funded separately, owned and operated by TANESCO for the exclusive use of the SGR with TANESCO assuming all the risks of maintain the transmission line for the operation of the SGR...

---------------------------------
 
..hivi kwani wewe unapotumia stima hapo kwako ni nani mwenye wajibu wa kuhakikisha kuwa the transmission infrastructure ipo ili upate hio stima?

The SGR electricity transmission line will be build, owned and operated by TANESCO in such a way that TRC will be paying the cost of using electricity....However, the cost of installing catenary poles along the line will be covered by the government as part of the overall SGR build cost.

View attachment 1332088

Bantugbro amekujibu endelea kujiaminisha SGR Tanzania haijazingatia value of money kama ule mtungi wa chang'aa wenu!
 
Maana ya "build" ndio hujui ama nini? Hapo juu wamesema vizuri ati transmission line will be build by TANESCO.
..hivi kwani wewe unapotumia stima hapo kwako ni nani mwenye wajibu wa kuhakikisha kuwa the transmission infrastructure ipo ili upate hio stima?

The SGR electricity transmission line will be build, owned and operated by TANESCO in such a way that TRC will be paying the cost of using electricity....However, the cost of installing catenary poles along the line will be covered by the government as part of the overall SGR build cost.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana ya "build" ndio hujui ama nini? Hapo juu wamesema vizuri ati transmission line will be build by TANESCO.

Sent using Jamii Forums mobile app
But why should transmission line cost be factored in the electrical SGR cost? Isn't transmission line the duty of an electrical company? Assuming we r factoring in the $150 mln for TL still the cost will be lower in comparison to ur diesel SGR! 1.2 bln + 1.9 bln=3.1+0.15= $3.25 bln! Then add says $400 mln for locomotives! then u get $3.65 bln for Dar-Makutupora (336+205) 541 km which less than the cost of $3.8 bln for Mombasa-Nrb diesel SGR of length 472 km!
Teargass Kafrican
 
Wee ndio hujaelewa, unaonekana ni mwanafunzi mbaya, ngoja niandike kwa swahili ya huko Kenyaland.

Kwenye ujenzi wa SGR kuna transmission line yenye kubeba stima ya msongo mkubwa wenye Kv 220 kutoka kwenye power generation plants hadi kwenye SGR substations. Halafu kuna overheard catenary power line ambayo inachukua stima iliyopoozwa na substations kutoka msongo mkubwa kua msongo mdogo wa Kv 25 suitable kwa matumizi ya treni. Hizi catenary lines ndio zile unazoziona pale pembeni na juu ya reli kwa ajili ya kulisha train.

Sasa TANESCO wao kwa pesa zao wanajenga, wanamiliki transmission line na watatoa huduma za stima kutoka kwenye generation plant zao kupitia hio transmission line yao.

Budget ya ujenzi wa SGR kwa serikali inahusisha gharamia ujenzi wa reli, stations, catenary power lines na vitu vingine lakini sio transmission line.

Baada ya ujenzi kukamiika na shughuli kuanza, TRC watakua wananunua stima ya kendesha trani kutokaTANESCO.

Back
Top Bottom