Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Ushamba wa mambo tu, sasa hivi rail ina angaliwa speed kwanza. Halafu hizi station za yepi ni contemporary designs, na zinajengwa kutokana na mahitaji. Siyo mijengo inajengwa baada ya miaka mitano inakua kama majumba ya makumbusho. Halafu mchina naona amefanya ku copy na ku paste alichofanya TAZARA.

Ahahaha eti stesheni zenu ni what???

Ukiipaka rangi hii inaweza ikawa pugu station inayojengwa na Yepi
Kenya-mombasa-station.jpg
 
Mara zote mwogope mtu anaye Fanya jambo lake kwa nguvu zake tofauti na anayejisifia kwa fedha au mali za kupewa Na kuweka rehani maisha yake
Mara zote mwogope yule anaedai anatumia nguvu zake na fedha zake kumbe kwa benki bado madeni anadaiwa na mengine hata ameshindwa kulipa hadi anasamehewa na wengine na wengine wanashika ndege zake

Ahahaha, yani hizo stesheni mlizojengewa miaka ya 70s zinashinda zile mnazojengewa na Yepi!!!!! Lakini haziingii hizi za kwetu hata kidogo!! Duh, Mturuki anawatengeneza vizuri, how did you go from that to toilets???
kwa kuwa wewe ni bogaz endelea kujifariji...
ushaambiwa kama mara 100 hapa tutakuwa na station ndogo ndogo kulingana na maeneo pia tutakuwa na station kubwa so wait kwa hilo ....yaani umeona ndogo ushaanza kujinyea je zikija kubwa siutabakwa kwa nyuma mkuu
 
hiko ni kituo kidogo hatuna haja yakutengeneza mkituo mkubwa kila sehemu angali hiyo sehemu si ya mzunguko ....hatutaki matumizi mabaya ya kifedha ila wait main stations utaelewa .....how tuko bright n better kuliko nyie
Projects kubwa kama hizi haujengi kwa sababu za leo, Unajenga kwa sababu za Kesho.... Hio reli iko na life span ya miaka mia moja!!!!! Leo hii hizo stesheni zetu zinakaa kubwa, by 2030 kutakua na msongamano kwa hizo stesheni!!! ... Nyinyi hivyo vibanda mlivyojenga nje ya Dar ni kama hamtarajii hivyo vitongoji vitawai panuka na kuwa miji mikubwa hapo mbeleni...

Angalia miji mikubwa huku Kenya, Mombasa, Voi, Nairobi, Nakuru, Eldoret, Kisumu.... etc, reli ya mkoloni iliojengwa 1901 inapitia hio miji yote.... Tafakari!
 
kwa kuwa wewe ni bogaz endelea kujifariji...
ushaambiwa kama mara 100 hapa tutakuwa na station ndogo ndogo kulingana na maeneo pia tutakuwa na station kubwa so wait kwa hilo ....yaani umeona ndogo ushaanza kujinyea je zikija kubwa siutabakwa kwa nyuma mkuu
Eeh inakuwaje basi ulienda kuleta picha za stesheni ya Kibwezi ambayo ni mojawepo ya stesheni zetu ndogo huku Kenya??? (Ingawaje hata hio ndogo yetu huku Kenya ni kubwa huko Tz)
 
Projects kubwa kama hizi haujengi kwa sababu za leo, Unajenga kwa sababu za Kesho.... Hio reli iko na life span ya miaka mia moja!!!!! Leo hii hizo stesheni zetu zinakaa kubwa, by 2030 kutakua na msongamano kwa hizo stesheni!!! ... Nyinyi hivyo vibanda mlivyojenga nje ya Dar ni kama hamtarajii hivyo vitongoji vitawai panuka na kuwa miji mikubwa hapo mbeleni...

Angalia miji mikubwa huku Kenya, Mombasa, Voi, Nairobi, Nakuru, Eldoret, Kisumu.... etc, reli ya mkoloni iliojengwa 1901 inapitia hio miji yote.... Tafakari!
tatizo lako moja haulewi ni vip mazingira yanakuwa touched mzee hizo station si kila sehemu zipo hivyo ...
hivi unajua ni sehemu ngapi tutaweka mini stations......? na unajua ni kipi tulicho wazidi ..?.....je ni km ngapi toka city center mpaka pugu...na soga...? je nikilomita ngapi za kwenu kutoka city center mpala kwenye station zenu nyingine..?....ukipata majibu hayo kama akili yako ni timamu utajua umekwama wapi ila kama ni bogazi hauwezi elewa huu mchezo.....

com down dog..
 
kubwa kwa misingi ipi.....?...maisha ya vitu vinavyo expire huwa vinafanyika kwa wakati maalum........ivi umewahi kupiga bao kwa demu wako halafu ukawa unategemea upate mapacha watatu...?
 
I said here and gave a case study of Zimbabwe electric train. It is coming to pass that Ethiopian SGR electric train is in the same limbo. Tanzania, don't think you will be different. The truth will dawn on you, just 2 years after completion.
IMG_20190909_105443.jpg
 
Projects kubwa kama hizi haujengi kwa sababu za leo, Unajenga kwa sababu za Kesho.... Hio reli iko na life span ya miaka mia moja!!!!! Leo hii hizo stesheni zetu zinakaa kubwa, by 2030 kutakua na msongamano kwa hizo stesheni!!! ... Nyinyi hivyo vibanda mlivyojenga nje ya Dar ni kama hamtarajii hivyo vitongoji vitawai panuka na kuwa miji mikubwa hapo mbeleni...

Angalia miji mikubwa huku Kenya, Mombasa, Voi, Nairobi, Nakuru, Eldoret, Kisumu.... etc, reli ya mkoloni iliojengwa 1901 inapitia hio miji yote.... Tafakari!
Umeshindwa kuelewa braza, vituo vikubwa vipo katika kila mji wa mikoa ambapo reli inapita, ila katika vijiji ambavyo vipo mbali na mjin kunaekwa vituo vidgo vidgo kama hvyo ili kuepusha gharama za wanavijiji kupelekwa hadi mjini alafu wapande usafir mwingne kurudi, kwahyo katika miji kutakua na vitua vikubwa kama dar es salaam lakn kutakua na vituo vidog kwa wale wa vijiji ambavyo ni kama hvyo ili kuondoa ulazima wa wao kwenda hadi mjini kwenye vituo vikubwa, kitu ambacho kwenye hii comment ako inaonyesha kenya haijafanya hvyo
 
I said here and gave a case study of Zimbabwe electric train. It is coming to pass that Ethiopian SGR electric train is in the same limbo. Tanzania, don't think you will be different. The truth will dawn on you, just 2 years after completion.
View attachment 1202337
man of death..
kumbe bado unaishi janerose aliniambia kuwa umezamia south africa na wenye nchi yao washakupiga kibiriti hamhitajiki uko
 
Umeshindwa kuelewa braza, vituo vikubwa vipo katika kila mji wa mikoa ambapo reli inapita, ila katika vijiji ambavyo vipo mbali na mjin kunaekwa vituo vidgo vidgo kama hvyo ili kuepusha gharama za wanavijiji kupelekwa hadi mjini alafu wapande usafir mwingne kurudi, kwahyo katika miji kutakua na vitua vikubwa kama dar es salaam lakn kutakua na vituo vidog kwa wale wa vijiji ambavyo ni kama hvyo ili kuondoa ulazima wa wao kwenda hadi mjini kwenye vituo vikubwa, kitu ambacho kwenye hii comment ako inaonyesha kenya haijafanya hvyo
ni kweli hilo jamaa ni zuzu nimemtwanga maswali hadi sasa ivi kwashindwa kunijibu
 
I said here and gave a case study of Zimbabwe electric train. It is coming to pass that Ethiopian SGR electric train is in the same limbo. Tanzania, don't think you will be different. The truth will dawn on you, just 2 years after completion.
View attachment 1202337
Kwakua Ethiopia wame fail unahisi ni lazima Tz tu fail pia! Mbona Kenya jirani yetu ana njaa, ukabila, msongo wa madeni, ukosefu wa ajira ulio pitiliza, ugaidi n.k. ila Tz hakuna. Nenda kafanye utafiti wa miradi ya BRT Africa utaona tofauti na BRT tz. Ukae ukijua kila sehemu inachangamoto zake na upunguze uchawi.
 
tatizo lako moja haulewi ni vip mazingira yanakuwa touched mzee hizo station si kila sehemu zipo hivyo ...
hivi unajua ni sehemu ngapi tutaweka mini stations......? na unajua ni kipi tulicho wazidi ..?.....je ni km ngapi toka city center mpaka pugu...na soga...? je nikilomita ngapi za kwenu kutoka city center mpala kwenye station zenu nyingine..?....ukipata majibu hayo kama akili yako ni timamu utajua umekwama wapi ila kama ni bogazi hauwezi elewa huu mchezo.....

com down dog..
Tatizo la watanzania hua hadithi nyingi lakini watu wakianza kuongea techical utapotea hapa..... sasa vile umeanzisha, hebu lete hizo takwimu za stesheni zote zenu (both major and mini) na ulete pia average interval ya hizo stesheni kutoka Dar hadi makutopora..... Leta hizo takwimu zote nikuonyeshe vile hakuna kitu unaeza kuniambia ambacho sijui tayari....
 
Kwakua Ethiopia wame fail unahisi ni lazima Tz tu fail pia! Mbona Kenya jirani yetu ana njaa, ukabila, msongo wa madeni, ukosefu wa ajira ulio pitiliza, ugaidi n.k. ila Tz hakuna. Nenda kafanye utafiti wa miradi ya BRT Africa utaona tofauti na BRT tz. Ukae ukijua kila sehemu inachangamoto zake na upunguze uchawi.
Muone sasa. Hata tuyaache mengine, is BRT Dar anything you can brag about!?
 
Back
Top Bottom