Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Too slow, first 200km should be complete by now....
otherwise good work Tanzania
Nafikiri unaelewa kuwa zege lina muda maalum kukauka, hivyo madaraja na kalvati lazima yacheleweshe kasi ya ujenzi. Baada ya haya kukamilika kwenye mwezi wa nane huko, ujenzi utakwenda kwa kasi zaidi.
 
Lies,
Kubali imechelewa,
One month inatosha kumaliza more than 1000 pillers if mko serious kama China CCCC
 
Lies,
Kubali imechelewa,
One month inatosha kumaliza more than 1000 if mko serious kama China CCCC

Screenshot_2019-06-15 DSM May 2019 Progress Video; Standard Gauge Railway Line From Dar Es Sal...png

Sasa wasi wasi wako wa nini wakati mwaka haujaisha, si ungojee mwaka uishe tuone kama watamaliza au la.
 
View attachment 1127946
Sasa wasi wasi wako wa nini wakati mwaka haujaisha, si ungojee mwaka uishe tuone kama watamaliza au la.
Mnajengewa madaraja miezi misaba sai hta hayajaisha....main station yenyewe ipo kwnye ground...alafu november eti mnazindua...magu hoye...

Naona labda mtatumia vituo vya brt hku mkingoja kituo cha dar kukamilika 2021...magu hoyeeee
 
Tulia wewee wanaume tupo kazinii

Hiyo ya Wachina mbona haijafika Naivasha pamoja na wachina lukuki waliojaa huko na mitambo yote toka China
 
CCCC ilimaliza Mombasa Nairobi 450km in 2.5yrs ikiwa na madaraja mengi. 2.5 yrs bado 200km haijamalizika kutoka Dar na hakuna stesheni hata moja imekaribia kumalizika... zege haichukui miaka mbili kukauka.

Lakini mtamaliza tuu, bora kazi iwe safi..
 
Hey warogi wa Tanzania, bado sijaona kile kibanda cha Dar. Kwani burret tireini itaanza kazi bila station?
 
Back
Top Bottom