Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hii reli kama ya Ethiopia is not on an embankment, you get what you pay for
Hivi unajua kazi ya hiyo embankment! au unahisi inawekwa tu! ata reli yenu kuna sehemu haijawekwa. Kwa akili yako mnge ongeza pesa, mgeongezewa urefu wa tuta ungeona ndiyo ubora! Reli ya Tz kote ambapo hamna embankment kumechimbwa na kuwekwa udongo unao fit nakuwa compacted kwa kiwango kinachostahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wapuuzi wana-act kama reli imejengwa kwa mara ya kwanza nchini kwao duniani!
 
Ni sawa na jirani yako ambae amejenga bondeni ana kucheka msingi wako ni mdogo tofauti na wake wakati kiwanja chako kiko sehemu tambalale! Hii hoja mtu ambae anaelewa ujenzi hawezi itumia. Wakenya mnajiabisha na hii hoja, embankment ni kwa ajili ya gradient, maeneo yanatofautiana terrain msi force tufanane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Laying of the last T-Beam in Section 6 phase 2A which happens to be the last Section of the routte , whats left now is Track laying, fencing, drainage and embankment protection ..... the small stuff.

U2NjMn7.jpg
 
Alafu mafala wanataka kucompare hii infrastructure na cheap things hadi za wheelbarrows
Niliwaambia tupatiane miaka 10 hivi baada ya kila nchi imemaliza ujenzi, hapo ndo tutaanza kuona mbivu na mbichi kama rei ya nani ndo ilijengwa vizuri na inafanya kazi
 
Acheni mzungu aitwe mzungu na mchina abaki kua ni mchina👏👏👏👏

Kazi ya mturuki hahitaji ramli budaa
 
Now I see why Kenya SGR is expensive. Quality diffrence ni kubwa aisee, kama embarkment wanaweka nyasi tuu, inamaanisha fence haitawekwa. Hapo ndipo watajua shida Ethiopia wamepitia....
Hii bridge ya Dar haijaisha? 7km Nairobi national park took 6months to finish, 1 year na bado mbali.
 
Punguza maneno mingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hao wafugaji wa tz hawajui aina ya raisi wao mpaka waweke mifugo yao kwenye sgr
Now I see why Kenya SGR is expensive. Quality diffrence ni kubwa aisee, kama embarkment wanaweka nyasi tuu, inamaanisha fence haitawekwa. Hapo ndipo watajua shida Ethiopia wamepitia....
Hii bridge ya Dar haijaisha? 7km Nairobi national park took 6months to finish, 1 year na bado mbali.

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom