Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Wenzako wamekwama porini usiku huu wanaliwa na mbu, ww uko hapa kuniletea hasira zako! 😁😁🤣
sasa umekimbia tena?
1782599811590.png

View: https://x.com/CJ_Haslett/status/2059303106140139918?s=20
 
Jikite kwenye mada, sio unaleta stesheni, mara meli, mara matatu mara barabara, mara picha za 1980... yaani uko kila pahali kama nzi.
but si ulianzisha mwenyewe 😂 arent you the one who started showing those vertical slums
 
Jikite kwenye mada, sio unaleta stesheni, mara meli, mara matatu mara barabara, mara picha za 1980... yaani uko kila pahali kama nzi.
sema na wewe unagive up mapema sana 😂 😂 hicho kichaka kilipewa city status na train driver anaendesha kwa mask hataki kuvuta moshi
 
Back
Top Bottom