Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Mbali na garama ya kununua ardhi umesahau mambo mengine muhimu pia.

Ethiopia haina grade separation wakati Kenya iko na 100% grade separation, yani hakuna mahali ambapo watu au magari yanapatana na reli.
Reli ya Ethiopia ilijengwa kwa corridor ya reli ya kitambo kwahivyo asilimia kubwa ya ardhi haikununuliwa wakati kenya walinunua mashamba ya corridor yote ya reli kuanzia Mombasa hadi Nairobi.



Ethiopia iko na 19.7km ya madaraja wakati kenya iko na 30km
Kenya iko 33 train station, Ethiopia ni 18.
Mabehewa na vichwa vya teni ya Ethiopia ni 60% ya Kenya. Tena baadhi ya mabehewa walinunua kando ya ile garama ya $2.8B China Eximbank provides $220 million buyer’s credit loan for Addis Ababa–Djibouti Railway Rolling Stock Supply Project (Linked to Record ID#30171, #70085, #70086, #61941, #85163) | AidData Project
Reli ya Kenya imejengwa kwa embankment yenye iko 1.9meters above ground wakati ya Ethiopia ni 0.8m
Garama ya Kenya ina include ujenzi wa miundombinu bandarini Mombasa wakati ya Ethiopia hakuna.


Reli ya Uganda itajengwa na standards zile zile za kenya (Except for continuous wielding and electrification)
Ukiangalia kwa hii ripoti iliofanywa na waganda, kuna tofauti kubwa kwa designed carrying capacity na kuna kazi nyingi sana ya earthworks ili kufanya reli iwe juu ukilinganisha na Ethiopia hivi ni vitu ambayo vinaongeza garama ya ujenzi kwa kiasi kikubwa.

 
Tuweze kupata taswira kidogo ya mambo yatakavyokuwa hapo mbele πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…