Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,875
- 103,732
Isaka-Mwanza, ujenzi umefikia 68%.Mnawapanga tu hao Wamakonde ila uwezo haupo kwa sasa, hii ambayo alianzisha Magufuli tu hadi leo mumeshindwa kuifikisha Mwanza, wacheni utapeli.
Has this Uhuru’s project not kickstarted?
Wakuu,,, kama kawaida, sisi hatuongei mengi, ati mara huyu kamkabidhi nani yule hichi sijui mpango mara kupokezana nani wapi nyef nyef nyef nywi nywi nywi.
Sisi tunaongea kwa vitendo, viswahili vingi tumewaachi wabongolala.
Nyoteni mnakaribishwa sherehe ya uzinduzi rasmi wiki ijayo tar. 20 Machi 2026 namna hii 👇
View attachment 3557943
View attachment 3557945