hahaha wait nkukuonyesha sgr yenu kuna nn 🤣 🤣
number plate ya zamani sanaBwana wee nmekaa kenya for 3 heavy years so just move on, nikiweka zile KBS apa ndo utalia kabisa ama nkiweka picha za SGR apa utalia
kwan hujui we dont use blue buses anymore, we use green buses CNG onesnumber plate ya zamani sana
huna picha mpya ama 🤣 🤣
kwahio apa tiketi unapataje
alafu najua unapenda kutumia za zamani ila zinazotumika saaahv ni hizi
kwahio wakina motsepe mmesema watakaa apa