Mara nyingi derailment na mara nyingi inatokea kwa sababu ya uzembe.Joka limeliwa shaba π€£
View attachment 3492272
Joka limeliwa shaba π€£
View attachment 3492272
Watu walishapiga hela kitambo kaka wakaleta treni la mtumba. Tulishawai sema hapa "ni swala la muda tu" π€£Mara nyingi derailment na mara nyingi inatokea kwa sababu ya uzembe.
Hapo lazima Kuna uzembe ulifanyika na baadhi ya watu.
Imagine hio TREN ni $20 million.
Kwani ulikua hujui?Duu kumbe ni mtumbaππ.
Kadogosa na kasimu wa chapwe viboko hadharani majizi haya
Mkuu wa Mkoa hakustaili kuingelea mambo ya TRC, mtendaji mkuu angefanya hivyo.
Raisi yupi huyo?Sasa Raisi amefeli Form 4 unatarajia maajabu gani?
Au sio??Moto huanza kwa cheche...
π€£π€£Watu waliwaheshimu na wao wakachukulia hiyo heshima kama ni woga. Kiko wapi sasa ππ