hilo haliwezekani.TRC tunaomba huduma ya WiFi kwenye treni.
Makosa madogo madogo hayo. Haya sasa nenda kapozi kwenye kale kabehewa kama Atwoli aka 'shenzi sana alaa'😂hadi unaandika kigugumizi
Kwa nini haiwezekani? Ikuwa baadhi ya mabasi tu yana hiyo hudumahilo haliwezekani.
Wenzake wanaandamana yeye yupo mitandaoni anazurura kwenye mitandao ya kijamii inayoendeshwa na Watanzania. 😂😂😂
danganya toto
Hamna cha toto wala kubwa😁danganya toto
treni ya mizigo inachukua masaa 4 from dar to dodoma wakati garimoshi ya jirani inachukua 6 hours to cover the same distance 🤣🤣🤣
kapigwa na kitu kizito chenye ncha kali kichwani. Alikuwa anasema reli yetu ni ya abiria tuu 🤣🤣🤣Siku hizi kamanda Lewis254 amekuwa kimya sana sijui kwa nini?😂
Hii na kugawa chapati ipi bora 😁
Shipyards zetu ziko busy sana building new ships hence, slots za simple maintenance ni chache na lead times ni ndefu.ila hii ni aibu Bakhresa hashindwi ku-team up na Songoro marine akajenga hii facility Zanzibar/ Tanga/ Dar/ Mtwara! Especially uchumi wa gesi ya unavyokuja kupitia ujenzi wa LNG Lindi!
Atakaa hapo mpaka matako yaume 🤣🤣🤣Boss moves...
View attachment 3392556
Hii ndio rival ya Kenyan SGR.