Naweza ku free mind kwa meditation tu au kunakingine Mkuu?unapaswa kuamini kuwa kuna watu wanaicpntrol dunia na ulimwengu wote in all aspect of life..but kama utafree mind yako hakika hautakuwa katika mjumuisho huo....few people know the reality and are those who control others'mind....
open yout third eye..you will witness the truth hidden...
Unaweza kuelezea jambo hili mkuu?Dini ni chanzo kikuu cha kuvunjika kwa umoja wa binadam hapa duniani .Mtu mweusi hataki kusimama hata dakika tano just to think reality ya hivi vitu .
Kwanini unahusisha dini na utumwa?Watu weusi wanautumwa mkubwa wa akili,ajabu hata walioenda shule utakuta anaongea non sense kana Kwamba Elimu haijamsaidia kitu.
Tatizo kubwa la hii dhambi ya utumwa inaanzia kutoka kizazi kimoja kwenda kizazi cha pili,Mzazi anakufa Hana cha kumuhusia mwanae zaid ya kusema,wanangu sitotaka mtoke kwenye dini yenu ,hii Ndiyo dini sahihi(Sijui anatumia kigezo gani kusema ni dini sahihi)mtoto anabeba hiyo laana na kumpa mwanae pia ,mwanae na mwanae,Hawana cha kuhusia ,hawana wanachojua Katika maisha ya ulimwengu zaidi ya dini,mtu anakufa hali ya kuwa hajawahi kuishi maisha ,alikuwa kwenye animal realm katika umbo la binaadam.
Watu tunaoishu huku Afrika tuna matatizo mengi sana na hili ni mojawapo na nshindwa kuelewa haswa shida iko wapi...Mkuu sijui kwanini watu hasa waafrika mmekuwa mkikaririshana hivyo? Yani mmekuwa watu wa kutupia lawama dini kwa kushindwa kutatua matatizo yenu wenyewe?
Dini zipo karibu kila pembe ya dunia ila ajabu unakuta mtu anasema waafrika hatuna maendeleo kwa sababu ya dini,Yani unakuta mtu anaongea vitu ambavyo havina hata uhalisia.
Habari ya muda huu mkuu?—Emancipate Yourself From Mental Slavery,None But Ourselves Can Free Our Minds -Bob Marley,Redemption.
Unaweza kuelezea jambo hili mkuu?
Nakuomba uandike kwa lugha ya Kiswahili ili nikikujibu waweze kuelewa watu wengi zaidi....
Kwanini unahusisha dini na utumwa?
Kwanini unadhani utumwa ndiyo umetufikisha hapa tulipo?
Kwanini unadhani dini na utumwa ni vitu vinavyowenda sambamba?
Nakuomba tena,jibu kwa Kiswahili ili watakaosoma waelewe vizuri zaidi maana hunijibu mimi kama mimi,ingekuwa hivyo ningekuambia uandike hata Kigiriki na ningeelewa tu....

Habari ya muda huu mkuu?
Nadhani lengo lako ni kuwasaidia watu wengi iwezekanavyo ili waweze kuuona "ukweli" wako kwenye maandiko yako haya.Nikuambie tu kwamba idadi kubwa sana ya watu hapa hawaelewi lugha hii vizuri ili waweze kupata ujumbe ulioko kwenye maandiko yako haya....
Ninachokushauri badilisha lugha ya kuandika haya,andika Kiswahili na kwa namna ambayo ityamfanya msomaji aweze kuendelea kusoma.Ukiangalia thread zako wachangiaji na wasomaji siyo wengi sana kwasababu ya lugha.....
Naona unaweza kuandika Kiswahili kizuri tu,kwanini usiandike kwa Kiswahili mkuu? Hii ni lugha ambayo wengi hapa wanaielewa vizuri zaidi kuliko hii lugha unayoitumia mkuu....
Hebu jaribu kuandika kwa Kiswahili halafu uone itakavyokuwa.....
"The king kingdom of God is within you,whoever finds it ,shall get it"The Word, The philosopher's stone. how to crack the code mpaka kupata hiyo Knowledge? Hapa ndio pagumu ingawa njia zipo in plain sight ni wachache tu wameweza kupata maana halisi ya maisha wengine wengi tumebaki kuwa kondoo
Watu wamejaza vitu vingi sana kichwani ambavyo havina uhalisia katika maisha ya kawaida,nakumbuka hata mimi nishawahi kupitia jambo kama hili kwa kusoma mambo ambayo niliona ni ya ukweli. Ila sasa nikirudia kusoma hayo mambo naona ni jinsi gani ambavyo yalivyokosa uhalisia.
Humu unakuta mtu anasema dini zinatia umasikini mara mwengine aseme dini zinawafanya watu kutokuwa huru ila ukimuuliza ni nani ambaye yupo huru hawezi kujibu.
Kaka mkubwa the bold...Hivi hamuwezagi kudiscuss mambo yenu bila kunitaja taja??
Bold bold bold.!!
Amewafanya nini??
Watoto wa kiume mnakuwa kama mabinti...
Fanya yako, wacha nifanye yangu... Sio lazima unikubali.! Akinikubali mama yangu, ndugu zangu, Cheupe wangu, marafiki zangu inatosha...
Acheni kunitaja taja kwenye mabishano yenu..
Nitaanza kuwatoza ushuru kwa kunitaja taja jina langu.!!
Mnaharibu uzi uzuri kwa kuleta mabishano yenu ya kike kike...
Stupid...
Well,Hello!
Well ," Dini Ni chanzo cha kuvunjika kwa umoja wa binaadamu"
Is that what you want me to elaborate?
Mbona Hii ipo clear kabisa Mkuu .Kuanzia kwenye post yangu mpaka kwenye comments zangu,that was a song I was singing all along.Suala la dini kugawanya watu haliitaji mjadala,lipo wazi unless kama wewe huyatizami haya maisha kwa jicho la umakini.
Umenishangaza sana kwakweli kwa kauli yako "ukweli ni kwamba USA ni devil lakini ana mazuri yake",ni nani hana mazuri hapa duniani? Kama "kuwa na mazuri yako" kunakufanya usiwe mbaya basi hoja yako yote ya kulaumu dini inajifia hapo hapo maana sidhani kama kuna chenye mabaya tu.....Ukweli ni Kwamba USA Gvt ni Red Devil,lakini wanamazuri yao,Hawataki kabisa hawa extremist wa dini kwenye gvt,kwasababu wanajua tatizo la dini likishaingia kwenye vichwa vya watu .
Ni kwa vipi Pope anaingilia masuala ya nchi kama Marekani?JFK was the first USA President happened to be Catholic ,Na ilimpa tabu sana kwenye kampeni zake ,as in how ataweka maslaha ya raia wa marekani mbele zaidi kuliko interest za Pope and Roman Catholic Church,na alitolea maelezo Kwenye kampeni huu mzozo.
Brother,naona tu unarusha shutuma bila hata kuonesha hiyo namna ambayo unataka tuione kwa macho yaliyo wazi bila nguo jinsi kanisa Katoliki lilivyoingilia serikali zetu...Leo hii tunaona Africa ,The Roman Catholic Church walivyo penetrate kwenye Gvt zetu ,the way walivyo gawanya watu ndani ya gvt,you can see by naked eyes .Kwenye nchi nyingi za Africa ikiwemo na Tanzania ,Gvt nyingi zinafanya kazi kwa kuweka maslaha ya Roman Catholic Church mbele kuliko interest za raia wake .
Ndiyo maana nakwambia Catholic Church ni criminal organization needs to be bankrupted at the first opportunity (as soon as possible),kwasababu ina create disunity among the same race.
True Religion Is Really Living —A.Einstein .
Hizo Nyingine ni institutions to make you Follow -Follow.
Mimi naona kila mtu anaweza kuona dini inagawanya vipi watu.
Uliyosema nayaelewa yote na ninayafahamu sana tu,lengo langu ni kwamba hata hao ambao huwa ni "wapuuzi" kuna wakati unaweza kuwasaidia kwa kuwaelewesha kwa lugha yao....Sometimes thread nyingine zina fika pages 100 ,ukifungua humo ,watu wanabishana kwa matusi from the beginning to end,kitu kidogo ,mtu analeta quotes za bible au Quran verses zaidi 50 ,I mean hakuna anachoweza kufikiria yeye kama yeye .
Well,
Ninayatizama kwa jicho la umakini sana tena sana tu labda tunatofautiana namna ya kuyatizama na hata maana ya huo umakini tunaweza kuwa tunatofautiana pia....
Kwanza nikukumbushe tu kuwa huwa sipo interested na mijadala ya lugha ambayo tutakachokuwa tunakijadili hkitawanufaisha wengi.Niko hivyo kwasababu lengo kuu la kuja hapa ni kubadilishana uzoefu na ufahamu wa mambo mengi hivyo kama tunachokijadili tutakuwa tunaelewana mimi na wewe tu au watu wachache huku namba kubwa ikiwa haielewi ni afadhali tukachat inbox maana huko ndiko kwaajili yetu....
Kwasababu hiyo,inawezekana umeelezea "sababu za kukufanya useme dini zimetugawanya" lakini umeelezea kwa lugha ambayo siyo rafiki ya wengi hapa hivyo ninavyokuuliza tena ninataka uelez ili wengi waelewe ili nikikujibu au mwingine akikujibu basi iwe faida kwa wengi pia,kwahiyo,naomba uelewe na suala la "Nimeshaimba sana hapa na kwenye post zangu zingine na mada" naomba liwe siyo la maana kwasababu hiyo hapo juu...
Baada ya hilo acha nikuulize,unaposema dini zimetugawa unakuwa unazungumzia kiujumla jumla sana.Duniani kuna dini zaidi ya 1000,unazungumzia dini zipi ambazo zimetugawa? Unazungumzia Bah'ai pia?
Suala la dini kutugawa siyo suala la watu wote duniani na halieleweki kwa namna moja kwa kila mtu hivyo usiseme "halihitaji mjadala",kusema hivyo unakuwa kama vile kila mtu anaweza kuingia kichwani mwako na akaelewa kile unachokisema kitu ambacho sicho kabisa....
Unahitajika mjadala sana tu...
Umenishangaza sana kwakweli kwa kauli yako "ukweli ni kwamba USA ni devil lakini ana mazuri yake",ni nani hana mazuri hapa duniani? Kama "kuwa na mazuri yako" kunakufanya usiwe mbaya basi hoja yako yote ya kulaumu dini inajifia hapo hapo maana sidhani kama kuna chenye mabaya tu.....
Lakini kama unataka tupime na kuangalia ni kipi kati ya mabaya na mazuri kinazidi kingine kisha tuamue cha kufuata,naomba uniambie mazuri ya Marekani ni yapi na mabaya yake ni yapi kisha tupime hapa wote kisha utueleze ni kwa kipi kimekufanya uone hao USA ni "afadhali" kuliko hata Nazism....
Ni kwa vipi Pope anaingilia masuala ya nchi kama Marekani?
Brother,naona tu unarusha shutuma bila hata kuonesha hiyo namna ambayo unataka tuione kwa macho yaliyo wazi bila nguo jinsi kanisa Katoliki lilivyoingilia serikali zetu...
Hebu tuoneshe kwa ushahidi kuwa kanisa katoliki limeingilia serikali zetu na ni uovu gani uliopo kwenye kanisa hili.Ukiendelea tu kusema kanisa limefanya hiki na kile mwingine atakuja kusema kuwa una chuki binafsi na ukatoliki na hadithi yenu itaishia hewani tu bila kuwepo kwa mjadala wenye tija kwetu sote....
Hebu weka huo ushahidi wa kanisa katoliki kuingilia serikali zetu hapa kisha mjadala uendelee ili tusije kuwa tunajadiliana tu hapa.....
Kimsingi mimi ni Mkristo na haya ndiyo yanayonihusu,hayo ya Quran nawaachia yanayowahusu watakujibu....Both in New and Old Testament as well as Quran ,slavery was never condemned.
Jesus himself was mute on the issue of slavery,he never said a word against the practice ,he could have started social movement to fight against the injustice of slavery protesting in the streets
"Slaves Lives Matter "
The truth is ,bible says a lot about slavery but nowhere in the Bible does condemn slavery ,neither in the Quran.The Bible and Quran discuss slavery as it was normal part of life.
Timothy 6:1
All who are under the yoke of slavery should consider their masters worthy of full respect,so that God's name and our teaching may not be slandered.
Colossians3:22
Slaves ,Obey your earthly masters in everything and do it ,not only when their eye is on you and To curry their favor ,but with sincerity of heart and reverence for the lord .
Titus 2:9
Teach slaves to be subject to their masters in everything,to try to please them ,not to talk back to them .
Leviticus 25;44-46
Your male and female slaves are to come from the nations around you .from them you may buy slaves .45:You may also buy some of the temporary residents living among you and members of their clans born in your country and they will become your property.46:You can bequeath them to your children as inherited property and can make them slaves for life.But you must not rule over your fellow Israelites Ruthlessly.
Stop and Think right now!
The Bible makes it very clear ,that the non Hebrew slaves were property for life ,could be beaten as desired ,and slaves were passed on to male children just like any other property . Should I add more Verses from the Bible. ?...
He!!I am not ready to talk about government issues on social media ,please ,please me .
how could you even ask me such a question!!!!!!!
Sorry .
Sio lengo la hii Forum .
Ukitaka kuujua ukweli,just do some research.
Kuhusu Catholic,pia do some research in relation to government issues.
"Your self "
Because you need to be yourself,to know the truth .
Well,
Ninayatizama kwa jicho la umakini sana tena sana tu labda tunatofautiana namna ya kuyatizama na hata maana ya huo umakini tunaweza kuwa tunatofautiana pia....
Kwanza nikukumbushe tu kuwa huwa sipo interested na mijadala ya lugha ambayo tutakachokuwa tunakijadili hkitawanufaisha wengi.Niko hivyo kwasababu lengo kuu la kuja hapa ni kubadilishana uzoefu na ufahamu wa mambo mengi hivyo kama tunachokijadili tutakuwa tunaelewana mimi na wewe tu au watu wachache huku namba kubwa ikiwa haielewi ni afadhali tukachat inbox maana huko ndiko kwaajili yetu....
Kwasababu hiyo,inawezekana umeelezea "sababu za kukufanya useme dini zimetugawanya" lakini umeelezea kwa lugha ambayo siyo rafiki ya wengi hapa hivyo ninavyokuuliza tena ninataka uelez ili wengi waelewe ili nikikujibu au mwingine akikujibu basi iwe faida kwa wengi pia,kwahiyo,naomba uelewe na suala la "Nimeshaimba sana hapa na kwenye post zangu zingine na mada" naomba liwe siyo la maana kwasababu hiyo hapo juu...
Baada ya hilo acha nikuulize,unaposema dini zimetugawa unakuwa unazungumzia kiujumla jumla sana.Duniani kuna dini zaidi ya 1000,unazungumzia dini zipi ambazo zimetugawa? Unazungumzia Bah'ai pia?
Suala la dini kutugawa siyo suala la watu wote duniani na halieleweki kwa namna moja kwa kila mtu hivyo usiseme "halihitaji mjadala",kusema hivyo unakuwa kama vile kila mtu anaweza kuingia kichwani mwako na akaelewa kile unachokisema kitu ambacho sicho kabisa....
Unahitajika mjadala sana tu...
Umenishangaza sana kwakweli kwa kauli yako "ukweli ni kwamba USA ni devil lakini ana mazuri yake",ni nani hana mazuri hapa duniani? Kama "kuwa na mazuri yako" kunakufanya usiwe mbaya basi hoja yako yote ya kulaumu dini inajifia hapo hapo maana sidhani kama kuna chenye mabaya tu.....
Lakini kama unataka tupime na kuangalia ni kipi kati ya mabaya na mazuri kinazidi kingine kisha tuamue cha kufuata,naomba uniambie mazuri ya Marekani ni yapi na mabaya yake ni yapi kisha tupime hapa wote kisha utueleze ni kwa kipi kimekufanya uone hao USA ni "afadhali" kuliko hata Nazism....
Ni kwa vipi Pope anaingilia masuala ya nchi kama Marekani?
Brother,naona tu unarusha shutuma bila hata kuonesha hiyo namna ambayo unataka tuione kwa macho yaliyo wazi bila nguo jinsi kanisa Katoliki lilivyoingilia serikali zetu...
Hebu tuoneshe kwa ushahidi kuwa kanisa katoliki limeingilia serikali zetu na ni uovu gani uliopo kwenye kanisa hili.Ukiendelea tu kusema kanisa limefanya hiki na kile mwingine atakuja kusema kuwa una chuki binafsi na ukatoliki na hadithi yenu itaishia hewani tu bila kuwepo kwa mjadala wenye tija kwetu sote....
Hebu weka huo ushahidi wa kanisa katoliki kuingilia serikali zetu hapa kisha mjadala uendelee ili tusije kuwa tunajadiliana tu hapa.....
Kuwa huru kwenye mind yako haimaanishi uache imani yako ,not so easy mtu kuacha imani yake hata kama ni ya uongo .
Binadamu aliyekuwa huru kichwani Halafu akawa mtu wa dini ,hawezi kuwa sawa na binadamu asiye kuwa huru kichwani Halafu akawa mtu wa dini.
Kuwa huru kichwani ni kuiona dunia kama ilivyo ,siyo kama ulivyokaririshwa.
Kuna wengi hawakutaka kwenda shule kwa sababu wanaaamini elimu dunia haikufikishi popote mbele ya mungu ,kuna watu wapo tayari wasikusaidie kwa sababu mna imani tofauti,kuna watu wapo tayari kuua kwa sababu imani inasema kisasi ni haki,,kuna watu wanaamini mtu fulani amekufa kwa ajili ya dhambi zake .Kuna watu fulani wanaamini kumpa mwanamke uongozi ni kuidhalilisha dini na mambo kama hayo.
Hakuna kitu kigumu hapa duniani kama kuishi na mtu ambae ana imani thabiti ya dini yake hali ya kuwa hayupo huru kichwani,kwa Sababu imani yake itamwambia yeyote asiye kubaliana na imani yake basi hakika yupo katika njia potofu,mtu aliye huru kichwani hawezi kudhani hivyo wala kufikiri hivyo hata kama ni mtu wa dini.
Mtu aliye huru Akimtizama mtu ambae hayupo kwenye imani yake ,haoni huo upotofu ,anachoona yeye ni just life itself ,beauty,loving ,kindness etc etc ,haoni huo upotofu.
Leo watu wanakusanyana eti kwenda kwa padri au shekh na kuanza kuombewa ,na baadhi ya watu hawataki hata kwenda Hospital,kuwa bwana yesu ni mponyaji,huo ndiyo moja ya utumwa wa dini ha akili .
Una uwezo wa kuwa vile utakavyo wewe ,hulioni tu hilo,unaenda kumpa mtu hela kanisani ,unapoteza muda kuombewa na hakuna linalobadilika zaidi ya kuambiwa imani yako itakuponya,padri anakusanya sadaqa na kwenda kula na family yake .
Dini ni chanzo cha vurugu na umaskini kwa mtu ambae hayupo huru kichwani,Leo mtu ambae amefunzwa katika misingi ya kuvaa hijabu ,maadam hayupo huru kichwani,atamuona mtu ambae havai hiyo hijabu yupo katika upotofu mkubwa ,kuwa anatembea uchi hali ya kuwa kavaa nguo.hawezi kumtizama kwa jicho la life itself,atamtizama kwa jicho la imani yake ,na hilo ndiyo tatizo la dini zote hasa kwa watu wasio huru kichwani.
You need to define what is Mental free.
Mental free doesn't mean being demon possessed,or being evil or denying your faith .
It's called Freedom .
He!!
Sasa umekuja hapa na kulet huu mjadala ili iweje?
Unahubiri hapa watu wawe "free thinker" lakini hapo hapo umeleta mjadala ambao unatufanya tukuhoji uhalali wa madai yako unasema tusikuulize na hutaki kujadili,ulitaka tukubali tu bila kuhoji?
Huko ndiyo kuwa huru kifikra namna gani?
Hukujua aina ya mjadala unaouleta hapa au ilikuwaje?
Kama hutaki kujadili haya,ni kwanini umeleta mjadala huu hapa na kuanza kuwarushia Katoliki maneno ambayo huwezi kufafanua?
Sasa naanza kuona ni nani mwenye tatizo hapa...
Kila mtu anaweza kufanya hizo tafiti,lakini unapoleta mjadala kwa watu wengine huwa wanaandaa ushahidi pindi akihitajika kufanya hivyo,wewe hutaki,haya masuala si ungekaa nayo tu mwenyewe?
Nilidhani tutakuwa na mjadala unaoeleweka kumbe hakuna kitu...
Uwe na muda mwena na kwaheri....