GE2025 Cosmas Makongo apinga matokeo Chato adai kulikuwa na Rushwa ya Chakula

GE2025 Cosmas Makongo apinga matokeo Chato adai kulikuwa na Rushwa ya Chakula

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
844
Reaction score
1,608
Mtiania wa nafasi ya Ubunge jimbo la Chato Kaskazini Cosmas Makongo apinga matokeo ya kura za maoni ndani ya CCM zilizofanyika siku ya Jana Agost 4 2025, katika jimbo la Chato Kaskazini, adai kulikuwa na vitendo vya Rushwa ya wazi kwa wajumbe.​

 
Waone na manguo yao ya CCM. sijui inawasaidia nini hawa watu!!
 
Back
Top Bottom