Corruption SCANDALS at TTCL

Hi All

I am very skeptical with some articles trying to portray Completely the truth of the Matter as this of TTCL, Its actually a scandal but the figures are not right. The truth of the Matters in a nutshell are:

Actual Selling price: $ 120 mil.
Initial Pay: $60 Mil
Final Pay: $ 5 Mil
Total Amount Paid: $ 65 Mil

Reason for underpayment: Audited account revealed that TTCL was a loss making Company and hence a review of Account was to be made which adjusted the value to that final figure. Big short who were behing that: Chenge who was then Minister of Infrastructure(During the selling was the Attoney General who participated in drafting the selling Contract), Sumaye (PM Then), etc.(the buyer MSI-Detecon Consortium 65% Government 35%)

During selling TTCL had a mobile license which was transfered to Celtel(which become 100% owned by TTCL ) and became operational 2003 by using the money paid during purchase as the government had no capital to inject in the mobile roll out, 2005 MSI-DETECON Consortium split, became MSI International only as Manager and brought an Idea of Separating TTCL and Celtel without thinking of paying back the government capital. The Celtel Int. 60% Government 40 %.

Since then I am very sure whether the government has ever received its divident, the 60% as has been changing hand to new investors while the government remain with 40% at stake. It has moved from Celtel to ZAIN now AIRTEL.

Whoever has got different facts whether from TTCL, Government should come up to construe mine.

Thanks

wbr.
 
Michezo kama hii ipo mingi sana hapa Tanzania, and it will take a very good government under a very strong leadership to clean the mess and start over. But by then tutakuwa tushapata maumivu sana tu.
 
sasa zitto anahusikaje hapa, hivi yeye ndio rais, yeye ndio waziri mkuu, yeye ndi mkuu wa usalama wa taifa kila kitu zito jamani, hatumtendei haki mtu huyu.

PhD---- wewe ndio mwenyekiti, kwa hiyo uko hapo ni kwa ajili ya kulinda na kutetea mali za watanzania zisitawanywe. aliyekupendekeza na ukapata nafasi hiyo aliamini unafaa, sasa kukaa kimya hali ya kuwa kila jambo unalijua tunashindwa kukuelewa, aidha uko ktk chama makini, nakushangaa unapotoa lugha za kushindwa, ACHIA NGAZI kama maji ni mengi huko mbele itakukumba aibu, hakuna kisichojulikana juuu ya hizo tuhuma dhidi ya TTCL kama si leo, kesho itakuja. watu tuna uchungu na jinsi ilivyobinafsishwa hii kampuni na watu kujichotea na kujigawia mali zake naka kwamba ni mali za urithi. LINDA HESHIMA YAKO KWA KUIBUA UFUSADI HUO AMA ACHIA NGAZI.
 
sasa zitto anahusikaje hapa, hivi yeye ndio rais, yeye ndio waziri mkuu, yeye ndi mkuu wa usalama wa taifa kila kitu zito jamani, hatumtendei haki mtu huyu.

Ni mwenyekiti wa kamati flani ya bunge ambapo TTCL inaripoti kwenye kamati hiyo. Kwa hiyo details za takataka za TTCL anazijua vema. The same with Tanesco, ambako nako Zitto anasikika sana. Got the connections? PhD?
 
Last edited by a moderator:
sasa zitto anahusikaje hapa, hivi yeye ndio rais, yeye ndio waziri mkuu, yeye ndi mkuu wa usalama wa taifa kila kitu zito jamani, hatumtendei haki mtu huyu.

Ukiona hivi ni kwa,ba pale awali Watanzania (niliwemo hata mimi) walikuwa wanafarijika mno na jinsi Zitto alovyokuwa anapigania rasirimali za taifa kwa 'kuanika uovu' uliokuwa upo sehemu mbalimbali,sasa watu wakamuona yeye kama mwanga wa Mapambano na muongoza njia, sasa baada ya haya mambo yake ya juzikati na kujichanganya changanya kwingi watu sasa wanaanza kupoteza imani kuwa kumbe zile kelele za awali zilikuwa kwa sababu alikuwa na njaa,na si uzalendo na baada ya kupewa chakula kaamua kuyachunia yote alokuwa anayafichua awali.Kwa hiyo watu hawamuonei, ila alivyokuwa ameji-brand awali ni tofauti mno na alivyo sasa
 
Hi All

I am very skeptical with some articles trying to portray Completely the truth of the Matter as this of TTCL, Its actually a scandal but the figures are not right. The truth of the Matters in a nutshell are:

Actual Selling price: $ 120 mil.
Initial Pay: $60 Mil
Final Pay: $ 5 Mil
Total Amount Paid: $ 65 Mil

Reason for underpayment: Audited account revealed that TTCL was a loss making Company and hence a review of Account was to be made which adjusted the value to that final figure. Big short who were behing that: Chenge who was then Minister of Infrastructure(During the selling was the Attoney General who participated in drafting the selling Contract), Sumaye (PM Then), etc.(the buyer MSI-Detecon Consortium 65% Government 35%)

During selling TTCL had a mobile license which was transfered to Celtel(which become 100% owned by TTCL ) and became operational 2003 by using the money paid during purchase as the government had no capital to inject in the mobile roll out, 2005 MSI-DETECON Consortium split, became MSI International only as Manager and brought an Idea of Separating TTCL and Celtel without thinking of paying back the government capital. The Celtel Int. 60% Government 40 %.

Since then I am very sure whether the government has ever received its divident, the 60% as has been changing hand to new investors while the government remain with 40% at stake. It has moved from Celtel to ZAIN now AIRTEL.

Whoever has got different facts whether from TTCL, Government should come up to construe mine.

Thanks

wbr.

And so you post it here hopping that we'll believe it to be true? At what level of tranparenc? Chenge Who? Sumaye Who? Seems lyk u dont know the variety of Proffesionals available in here(JF)
 
Fakhi Jumaa

Note that it is not a matter of arguing without fact, if facts are there we need to use them to address the whole issue no matter what level of professionalism one has. It has become a tendency to some contributors to raise an issue without facts, and when you are told the facts you change the subject matter and question the professionalism of someone. Note that I am also a professional in various trades, Telecommunication, electrical as well as Management(just Google my name(Selestine L. Egongo) and you see who I am.

Wbr
 
ni kweli kabisa mtoa mada uyasemayo kuna ufisadi wa kupindukia mh zito alifika pale na kujionea mauzauza lakini nashangaa yupo kimyaa nlizani kwene bajeti ya wizara husika angeliongelea ilo lakini kimyaaaa

nasikia airtel wamejitoa humo....@ZITO KABWE mulika hili shirika please
 
Hii nchi watu wanapiga hela at the expenses of wananchi wa hali ya chini,ila maufisadi mengine ni kujitafutia laana tu.

Juzi ofisini alinijia mzee mmoja mstaafu wa jumuiya ya africa mashariki upande wa ttcl(alikuja kuniomba nauli),anasema hadi leo wanadai pensheni yao hawajalipwa.

Anasema serikali ilifanya uhuni wakalipwa pensheni kwa hesabu za mishahara ya zamani badala ya scale ya mshahara waliyostaafu nayo.

Wakapeleka kesi mahakamani,wakashinda,hivyo serikali ikaamriwa iwalipe.

Wakaambiwa watalipwa kwa awamu tatu(miaka mitatu) kuanzia last year.

Malipo ya mwaka jana wamelipwa mwaka huu robo tatu tu,hiyo robo iliyobaki hawajamaliziwa hadi leo.

Awamu ya pili ilikuwa walipwe mwezi uliopita,tena wameambiwa watapewa nusu tu(kumbuka ile robo ya mwaka jana bado hawajalipwa).

Juzi juzi hazina wamewaambia hakuna fedha za kuwalipa hadi liidhinishwe fungu lingine.

Pesa wanayodai haizidi bilioni 2!na hii ni halali yao kwa sababu ni jasho lao,wala haina mjadala.

Kilianzishwa kitengo kinaitwa "Simu 2000" ambacho kazi yake ilikuwa kuuza mali za ttcl ili kuwalipa wazee hawa.

Zikauzwa mali nyingi,sote tunajua,pale Ilala flats,hapa karibu na mawasiliano tower ,chuo kikuu,tena tunajua ambaye alichukua mali hizi nyingi ni mtu mmoja,na jamaa zake kutoka familia ya juu ya awamu iliyopita.

Walisema zimepatikana bilioni 15 kuwalipa hawa wazee,lakini watu wakachakachua mahesabu na kuwapunja wazee wa watu.

Wazee wakastuka,wametumia sheria kudai stahili zao,wameshinda.

Leo hii malipo wanalipwa nusu nusu,tena kwa kupigwa dana dana hivi.!

Wazee wa watu wamejichokea,hawana means za maisha,wanategemea hivyo vihela ambavyo hata wakivipata vitawasaidia kwa muda mfupi tu lakini bado wanavisotea hivi?!

Pesa za simu 2000 ziko wapi?
Kwa nini serikali iliua CHC wakati bado kuna issues hizi zilizokuwa zikienda vizuri chini ya kitengo hicho kuliko hazina?

Kuna mtu kapewa bilioni moja za escrow peke yake,tena zote kwa wakati mmoja,bila chenga,tena kama ziada tu,lakini wazee hawa wanadai 2 billioni iliyo jasho lao,wanasoteshwa kwa malipo nusu nusu yanayocheleweshwa hivi?

Wengine ni wagonjwa n.k
Mmewasumbua kudai haki mahakamani,wamesota miaka yote hadi mahakama imewatetea,halafu bado mnawasumbua hivi,MNATAKA WOTE WAFE,PESA ZAO MPELEKE WAPI?

Serikali acheni kutafuta laana,mmetuibia fedha escrow,bado na hawa wazee maskini wa Mungu mnawadhalilisha hivi?

Wana jf,hivi ukiwa kiongozi serikalini huwa roho ya kibinadamu inaondoka au?

Nauliza hivi manake kuna mambo nashindwa kuyaelewa jamani,dah!
 
Hii TTCL toka mwanzo walishaiua kwani mitambo/ minara yote ya barabarani ya mawaqsiliano mfano njia ya kutoka Dsm kwenda mikoa ya Kaskazini kupitia Pwani Tanga, Kilimanjaro na Arusha walishainywa na wafanyakazi wake wote kwa kampuni hilo la Celtel ambalo kiongozi wake ni mtu mkuu sana na wakamuuzia mwarabu mwenzie leo kalichukua Mhindi tutapona kweli hapo, ni nani atakayekohoa.

Kweli TAA NZANIaa TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOOOTEE

Halafu awa airtel hata wakiwa wanazindua ofc mpya waziri wa sayansi na tech lazima awepo,,,,,naamini TTCL kuna kitu sio bure na ndo hamtaki kuajiri vijana.
 
Back
Top Bottom