zito anahusika na nini? aliwahi kuwa CEO wa TTCL?
- CAG has all these information but no action taken, no report provided
- Zitto KABWE was handling the evidence but decided to stay away from it after being corrupted
sitaki ushahidiJohn the baptist is here!
NO! Huyo jamaa ametajwa mara nyingi. Skandali alizitumia kama mtaji. Kila akijitikisa, watu walifika kumuona ili anyamaze.It is about time.
Sidhani kama kuna Shirika la Umma lisilonuka uvundo wa corruption.
Ila hiyo ya Zitto, kama imening'inizwa tu. Msije mkawa mnazidi kumpaisha na kuprove kuwa anachafuliwa kisiasa.
Pricilla chilipweli siyo mzunguKwanini CTO/CFO wanakua wazungu tu? Kwani tanzania hatuna wataalamu?
Ndugu yangu hii nchi wageni wameifanya shamba la bibi kuna kampuni inaitwa Mantrac Tanzania ltd nafasi zote za juu wameshikilia waarabu tena wengine hawana elimu ya kutosha ni kazi wanazoweza kuzifanya watanzania,uhamiaji wanatakiwa kuamka sasa na Lusaka watu kama hawaKwanini CTO/CFO wanakua wazungu tu? Kwani tanzania hatuna wataalamu?
Ujenzi Mbona haendi kwenye madudu zaidi?Duh madudu ya hali ya juu. Magu ana kazi kubwa kila anapogusa pana uozo nchi ilifikia pabaya sana lazima tumpongeze. Yaani madudu haya Mkapa na JK walikuwa hawawezi kuyakabili.
Ataenda tu mkuu arobaini zao bado hazijafika. Au kama wewe una data zozote ukiziamsha hata hapa JF atazifatilia.Ujenzi Mbona haendi kwenye madudu zaidi?
Hii TTCL toka mwanzo walishaiua kwani mitambo/ minara yote ya barabarani ya mawaqsiliano mfano njia ya kutoka Dsm kwenda mikoa ya Kaskazini kupitia Pwani Tanga, Kilimanjaro na Arusha walishainywa na wafanyakazi wake wote kwa kampuni hilo la Celtel ambalo kiongozi wake ni mtu mkuu sana na wakamuuzia mwarabu mwenzie leo kalichukua Mhindi tutapona kweli hapo, ni nani atakayekohoa.
Kweli TAA NZANIaa TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOOOTEE
Uyo jamaa wako hamna kituSubiri ngosha afanye mavituz yake.........!!
Watanyooka tu......chezea sukumaland wewe....!!
Uyo jamaa wako hamna kitu