Corruption SCANDALS at TTCL

TTCL alieifisadi sana ni MWANDOSYA...huyu ndio aliiuza kifisadi mtoto wake akapewa offa ya kusoma afrika kusini...
Unataka kusema kua waziri hana uwezo wa kumsomesha mwanae SA hadi aingie mikataba ya kuuza shirika ili hao wezi wamsaidie kumfadhiri mwanae?? It doesn't make any sense, there is more than that!!
 
Unataka kusema kua waziri hana uwezo wa kumsomesha mwanae SA hadi aingie mikataba ya kuuza shirika ili hao wezi wamsaidie kumfadhiri mwanae?? It doesn't make any sense, there is more than that!!
mi naelewa ishu yote Mwandsya mtoto wake alisomeshwa na TTCL na wakati anasoma SA alikuwa anakaa hotelini muda wote tena hoteli ya gharama!
 
Kinachotakiwa hatua zichukuliwe, mali ya Watanzani irudishwe.
Kaburi limefukuliwa, asante
 
Unataka kusema kua waziri hana uwezo wa kumsomesha mwanae SA hadi aingie mikataba ya kuuza shirika ili hao wezi wamsaidie kumfadhiri mwanae?? It doesn't make any sense, there is more than that!!

That is what happened! Hence it’s the reality.
 
Nipo interested kuona kitachotokea huko ndani ya ccm, kwa sababu
Kinana na Mangula walikuwa ndani ya hio ccm kitambo sana kwa hio wao wanajua sana walikozipeleka mali za ccm.
Ngoja tuangalie bwana Albert atafanya nini?
 
Hiyo sentensi ya mwisho kuwa Zitto Kabwe alikuwa ana ushahidi lakini baada ya kupewa kitu kidogo akaamua kunyamaza ndio inanishitua kidogo Inawezekanaje kiongozi huyu machachari afanye hivyo?
baada ya kulaum utawala mnalaum mpinzani
 
I fully agree with you we have a long way to go and alot to do to clean all these mess
Waziri wa fedha katolewa chambo afanye uchunguzi yeye atakuja kushikwa na kigugumizi kama huyu waziri wa mali asili hajamaliza kusoma file kaanza kuhukumu kuja kumalizia mpaka mwisho wa file mhhh kazi ngumu fukia makaburi haraka. Hii kazi waachie wachina tu hawana mchezo you are corrupted ni kunyongwa tu na huko South Korea hawana mchezo na rushwa.
 
And so you post it here hopping that we'll believe it to be true? At what level of tranparenc? Chenge Who? Sumaye Who? Seems lyk u dont know the variety of Proffesionals available in here(JF)
I knew, pointing Sumaye and Lowassa will cause some damages on this discussion.
 
Zitto sasa hivi anajifanya active kweli kweli kwenye sheria mpya ya Pension kisa tu ajapata mgao,kuna mambo mengi sisi wadau tunamtazama tu kama hatumuoni maana mtu huyu ni very corrupt
 
ni kweli kabisa mtoa mada uyasemayo kuna ufisadi wa kupindukia mh zito alifika pale na kujionea mauzauza lakini nashangaa yupo kimyaa nlizani kwene bajeti ya wizara husika angeliongelea ilo lakini kimyaaaa
Zitto alikuwa anakaa Tabata lakini aliweza kununua nyumba ya 800million Masaki unadhani anaweza ongerea chochote hapo?
 
ni kweli kabisa mtoa mada uyasemayo kuna ufisadi wa kupindukia mh zito alifika pale na kujionea mauzauza lakini nashangaa yupo kimyaa nlizani kwene bajeti ya wizara husika angeliongelea ilo lakini kimyaaaa
Tangu 2012 kumbe alishajipigia zake
 
My only word from i is Leave bygone be a bygone,these things have Incorporated a lot of big potatoes.

Am sure the Minister will never win from that issue because some have immunity in the gvt.kuchimba makaburi kwa sasa ni kujisumbua tu sababu mengine hayachimbuki.

Cha msingi kwa JPM ni kwamba aanze hapo alipoanzia na kwenda kwenda mbele.Huko nyuma kuna mengi na ya TTCL ni madogo tu hivyo yatamfanya achanganyikiwe na atapata pressure za bure.

Nchi hii mwenye uchungu alikuwa mwalimu tu.from there nobody cares.

God Bless You.
 
Back
Top Bottom