Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,916
unakaribishwanashukuru.
Correct timing to take water....very important
Correct timing to take water will maximize its effectiveness to Human body.
Two (02) glasses of water - After waking up - Helps activate internal organs
One (01) glass of water - 30 minutes before meal - Help digestion
One (01) glass of water - Before taking a bath - Helps lower blood pressure
One (01) glass of water - Before sleep - To avoid stroke or heart attack
duh again water jamani mie na maji mwenzenu.....nahitaji msaada seriously. ni jana tu niliahidi kwenye thread iliyohusu maji huwezi amini toka asbh sijatia maji kinywani.....let me take one glass nw nw
kuna watu wanaanguka bafuni.. hii ni kutokana na kujimwagia maji ya baridi na husababisha mapigo ya mayo kushuka ghafla........Hii mzee ni compliable.......! nyingine huwa ni utata, ila hapo ''before taking a bath''?
.....he!he!heheeee cousin umeshachemsha? ukiangalia timing hapo juu, ukipata hako kaglass now, umeshakosea timetable au unaingia kuoga now? au unapata dinner saa 6.15pm?
mpwa unaonaje nikianza randomly tu???..........sasa wewe siku nzima mpaka 6:15 sijatia maji mdomoni si hatari hiyo
kuna watu wanaanguka bafuni.. hii ni kutokana na kujimwagia maji ya baridi na husababisha mapigo ya mayo kushuka ghafla.
ukinywa maji kabla ya kwenda kuoga unakuwa umeyashusha taratibu tofauti na ile ya kujimwagia maji.
.....he!he!he....bujibuji atakuwa hajakusaidia kiviiiile.....unatakiwa ufuate ratiba hiyo....siyo rondomly cousin!
thanks mtoa mada hivi kukosa hamu ya kunywa maji ni ugonjwa ..
mie pia nina tatizo hilo mpaka DR huwa ananipa ushauri kila mala kunywa maji
hajakupa dawa?mm sinywi kabsa maji yani nikiwa na kiu nachanganya na juis ndo ninywe,so nimepewa dawa ya kuweka kwenye maji tam ivi ndo nakunywa kesho ntakuambia jina lake
hajakupa dawa?mm sinywi kabsa maji yani nikiwa na kiu nachanganya na juis ndo ninywe,so nimepewa dawa ya kuweka kwenye maji tam ivi ndo nakunywa kesho ntakuambia jina lake
hahahaha umenichekesha pearl kanambia maji yenyewe ni dawa so nijitahidi kunywa hivo hivo
lakini wewe shost dawa ya kuweka kwenye maji hebu nipe hilo jina fasta
pole mgonjwa, kumbe una ugonjwa mkubwa hivyo, loh..
Ntakupa kesho,maji ni dawa ndio but mtu kama mm nisiekunywa kwa wiki nikiwa na kiu natakiwa niweke ile dawa ili tu get test instead of juic or soda