Correct timing to take water....very important

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,462
154,344
Correct timing to take water....very important

mail

Correct timing to take water will maximize its effectiveness to Human body.
Two (02) glasses of water - After waking up - Helps activate internal organs

One (01) glass of water - 30 minutes before meal - Help digestion
One (01) glass of water - Before taking a bath - Helps lower blood pressure
One (01) glass of water - Before sleep - To avoid stroke or heart attack

.......Hii mzee ni compliable.......! nyingine huwa ni utata, ila hapo ''before taking a bath''?
 
duh again water jamani mie na maji mwenzenu.....nahitaji msaada seriously. ni jana tu niliahidi kwenye thread iliyohusu maji huwezi amini toka asbh sijatia maji kinywani.....let me take one glass nw nw
 
.....he!he!heheeee cousin umeshachemsha? ukiangalia timing hapo juu, ukipata hako kaglass now, umeshakosea timetable au unaingia kuoga now? au unapata dinner saa 6.15pm?
 
.......Hii mzee ni compliable.......! nyingine huwa ni utata, ila hapo ''before taking a bath''?
kuna watu wanaanguka bafuni.. hii ni kutokana na kujimwagia maji ya baridi na husababisha mapigo ya mayo kushuka ghafla.
ukinywa maji kabla ya kwenda kuoga unakuwa umeyashusha taratibu tofauti na ile ya kujimwagia maji.
 
.....he!he!heheeee cousin umeshachemsha? ukiangalia timing hapo juu, ukipata hako kaglass now, umeshakosea timetable au unaingia kuoga now? au unapata dinner saa 6.15pm?

mpwa unaonaje nikianza randomly tu???..........sasa wewe siku nzima mpaka 6:15 sijatia maji mdomoni si hatari hiyo
 
.....he!he!he....bujibuji atakuwa hajakusaidia kiviiiile.....unatakiwa ufuate ratiba hiyo....siyo rondomly cousin!
 
kuna watu wanaanguka bafuni.. hii ni kutokana na kujimwagia maji ya baridi na husababisha mapigo ya mayo kushuka ghafla.
ukinywa maji kabla ya kwenda kuoga unakuwa umeyashusha taratibu tofauti na ile ya kujimwagia maji.

Mimi ninapata mkojo kila niingiapo kwenye shower/bathtub.Hii ni tatizo au kwaida?
 
.....he!he!he....bujibuji atakuwa hajakusaidia kiviiiile.....unatakiwa ufuate ratiba hiyo....siyo rondomly cousin!

nimeanza rasmi leo my dear cousin...this has to work no matter wat......lakini cousin kw asiku mtu unapaswa kunywa maji kiasi gani??
 
thanks mtoa mada hivi kukosa hamu ya kunywa maji ni ugonjwa ..
mie pia nina tatizo hilo mpaka DR huwa ananipa ushauri kila mala kunywa maji
 
hajakupa dawa?mm sinywi kabsa maji yani nikiwa na kiu nachanganya na juis ndo ninywe,so nimepewa dawa ya kuweka kwenye maji tam ivi ndo nakunywa kesho ntakuambia jina lake

hahahaha umenichekesha Pearl kanambia maji yenyewe ni dawa so nijitahidi kunywa hivo hivo
lakini wewe shost dawa ya kuweka kwenye maji hebu nipe hilo jina fasta
 
Ntakupa kesho,maji ni dawa ndio but mtu kama mm nisiekunywa kwa wiki nikiwa na kiu natakiwa niweke ile dawa ili tu get test instead of juic or soda
hahahaha umenichekesha pearl kanambia maji yenyewe ni dawa so nijitahidi kunywa hivo hivo
lakini wewe shost dawa ya kuweka kwenye maji hebu nipe hilo jina fasta
 
Maji ni muhimu sana katika mwili wa binadamu, isitoshe maji ni zaidi ya 70% ya mwili wa binadamu. Usijidai ooh mie mnene, hizo nyama zinaonekana kubwa kwa sababu ndani yake kuna maji.

Mfano : ukichukua kipande cha nyama ukabanika juu ya jiko la mkaa (Nyama Choma), ukilinganisha ilivyokuwa kabla na baada ya kuchomwa unaweza leta varangati.

Hivyo basi yakupasa kuelewa umuhimu wa maji katika mwili. Mtoa mada alichozungumzia ni kuwa at least kwa nyakati hizo mtu uweze kunywa maji. Ingawaje mtu unatakiwa kunywa lita 2 - 5 za maji kwa siku kwa afya njema zaidi. Maji ni uhai!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom