Coronavirus - Bado Mengi Hayajulikani

Huu ndio unaouita "upeo mkubwa" ?
Kwanza ulichoandika hapa, kinaonyesha kwamba hujui chochote katika eneo hilo la magonjwa ambukizi.

Hata namba unazoweka hapo hazina maana yoyote. Kiufupi ni kwamba huna msingi wowote katika eneo hili mbali ya kurukia taarifa zilizoandikwaambazo hata zenyewe huna uwezo wa kuzisoma, kuzielewa na kuzitolea uchambuzi.
 
Halafu kuna sehemu nimesoma kama ni mwanaume ukiugua na ukapona basi unaua na nguvu za kiume
Wewe umeua kabisa!!!

JF bhwanah! Ina kila aina ya viburudisho.

Haya sasa, ngoja na mimi nidandie kwenye hoja yako hii:

Gonjwa hili ni la kutengeneza. Limetengenezwa mahsusi kuwamaliza wachina, lakini kwa bahati mbaya, kwa sababu ya mwingiliano wa mawasiliano limeenea dunia nzima hata huko lilikotengenezwa!

Kwa hiyo hili gonjwa linayo manufaa yake. Moja likiwa kupunguza wingi wa watu duniani ili dunia iendelee kuhimili na kuwahudumia watakaoendelea kuishi katika dunia hiyo!

Mkuu 'The Transporter' mimi nipo tayari kushiriana nawe katika uandishi wa kitabu katika eneo hili, ili tuufahamishe ulimwengu.
Je, upo tayari?
 
When asked if hundreds of thousands of Americans could die from coronavirus, Dr. Anthony Fauci, the nation’s top infectious disease expert, said “it could happen, and it could be worse."

Fauci's comments were made this morning on CNN’s “State of the Union” where he also discussed how the challenge "is to try and make that not happen.”

 
Ata kivhaa nae anajijua ana akili timamu, ligi zinasimamishwa, watu wanakufa kama kuku, ligi zinasimamishwa, maraisi wanasema watu wamuombe Mungu wao, miji inafungwa, afu anatokea mru moja ulieshiba maandazi unasema ugonjwa sio serious unakuwa overated,
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha dah ngoja nikusanye info kwanza kutoka kwenye nyanzo vyangu narudi
 
Kama hujui, ugonjwa wowote ni serious; tofauti pekee ya huu ni kuwa ni mpya. Watu hawaujui na hawana dawa. Hiyo ndio seriousness pekee juu yake, lakini sio katika kasi ya maambukizi na maangamizi.

Kama hujui tofauti hizo huna lolote la kuandika hapa.
 
Juzi nilipata mafua aise nikajua corona nikaagiza centrizen nikapiga kimoja tu flue kwisha na niko njema kabisa
 

Hivi na wao wana taarifa yeyote kuhusu kila baada ya dakika ngapi watoto wa kiafrika wanakufa kwa njaa na malaria au sisi ndio rahisi kuona vifo vyao


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…