Coronavirus - Bado Mengi Hayajulikani

Stupid question.
I know,maana mwisho wa siku taarifa rasmi lazima itolewe na meenye kuitoa ni huyo huyo anayezembea sasa atatoa taarifa ya aina gani wewe usie uliza stupid questions unajua
 
Kubwa jinga wewe ugonjwa umeshaua watu zaidi ya 5000 unasema huoni Jipya?? WHO wameshautangaza Kama Global disease wewe uko huko kwenu Maramba-Mawili umejiegeza kwenye chumba chako na kisimu chako Cha Samsung unasema huoni Jipya ...
Hapa umeongeza jipya lipi mkuu 'lunatic'?

Corona itaondoka kwa hili jipya uliloongeza hapa?

Nimekujibu kwa upole sana, kwa sababu najua huna unalojua.
 
Kama inasambaa kupitia dloplets ni airborn, maana kama mtu akikohoa au kuongea, lazima vijimajimaji vitoke navyo, na mtu akihema anavuta vijimajimaji, ko lazima iwe airborn pia
Ni kweli Corona siyo airborn disease ingawa serikali yetu kupitia tangazo la wizara ya afya wanatunganya ni airborn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni airborn mzee, fatilia kinauwezo wa kukaa masaa mangapi kwenye hewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magonjwa yote yanayo affect mfumo wa hewa ni airborn, fatilia mzee, nimefatilia huu ugonjwa tangu january10

Na hella pia wanasema inachangia kwa wingi kusambaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ugonjwa unakuwa overrated sana ila kifupi ni kama flue tu ni gonjwa la mlipuko soon dunia itatulia


Sent from my iPhone using JamiiForums
Nimeona watz wengi sana wanajiamini sana na huu ugonjwa, kuwa wana body immunity kubwa, kwamba wamezoea kuishi na wanyama kweny majumba yao. Rafiki zangu, huu ugonjwa ni halisi, watu wanakufa , wananchi wa Italia walidharau sasa madaktari wanachagua nani ahudumiwe nani wamuache afe, wanazika kila baada ya dakika 30. Mimi nipo china, tangu tarehe 22 january mpk sasa sijawahi kutoka ndani, wachina wamekufa wengi sana hasa kipindi cha january hapo mpk february mwanzoni, wapo waliofia ndani, wapo waliokuwa naanguka markets nk. Chukueni tahadhari
 
Ni either haufatilii, au hauna upeo mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongezea na hii kwenye utafiti wako
[emoji116][emoji116]

News24: Coronavirus 'god's punishment' of west: Zimbabwe defence minister.
Coronavirus 'god's punishment' of west: Zimbabwe defence minister

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inshort ni kuwa mafua yamepata almost watu wote duniani almost bilion 7, na kwa mwaka unaweza kupata mafua ata mara3, corona imepata watu almost 150000 mpaka sasa duniani kote na hii ni miezi 3 tu mpaka sasa na mahafa ni hayo, ikumbukwe wiki iliopita wagonjwa walikuwa elf70 na wiki3 zikilizopita walikuwa chini ya elf40
Wanaokufa wengi ni wale waliougua mwezi na zaid mpaka ikashindikana
Ukumbukwe apo bado kuna data zimepikwa ili kurinda uchumi wa nchi fulani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa hujui maana ya airborn mkuu
Hii pia ni airborn
Airborn maana yake ni air transmitted,unavuta tu hewa unaipata.hii nyingine lazima kuwe na contact. Sasa kutokana na hizo contact ndo maana WHO imetoa guidence ya kunawa mikono Mara kwa Mara na kutumia stelirize zenye kiwango furani cha alcohol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu yako ni duni sana then unakuja na mapovu yako ya kuwadharau Madaktari wetu ambao ndiyo wanakusaidia mpaka leo ili uendelee kutoa povu! Kunywa maji upunguze stress mkuu.
 
Kuna watu wanaover estimate uwezo wao wa kufikiri bila kujua kuwa hawajui sana kuhusu huu ugonjwa
Mpaka nchi nyingi zinauogopa ina maana ni hatari ila bado kuna watu wanajiaminisha ni wa kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm siku ikisemwa tu kuna mgonjwa 1 DSM mimi na make wangu ndo mwisho wa kwenda kazini hata watoto kwenda shule

Hapa nimejiandaa na vyakula vya miezi mitatu 3 ndani yaani hakuna kutoka... Masks na toilets za kutosha Jana nimeangamiza 1m kujiandaa.. Hakuna namna..

Maana naelewa fika mmoja wetu akiupata ukiupata huko nje kwa mazingira yetu haya lazima nyumba nzima iugue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa kwenye aorborn disease tusidanganye magonjwa mengi ya njia ya upumuaji huambukizwa kwa njia ya hewa hivyo covid ni airborne disease

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haijafanya lolote, ni either we're lucky, au wagen kuja tanzania ni wachache sana kias kwamba probability ya kufika uku ni ndogo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…