Coronavirus - Bado Mengi Hayajulikani

Unaweza kutoa mfano wa jambo gani Serikali ya Tanzania iliishawahi kulipuuzia na likaleta madhara nchini?
 
Ww ni mchochezi!!!
Haiwezekani utoe taarifa zinazokinzana na zile zilizotolewa na sirikali yetu tukufu ya awamu ya5!
Nia yako ni nn? Unataka kuleta taharuki kwa wananchi?
Sirikali ilishasema imejipanga vyema kupambana na covid 19 isiingie nchini, halafu ww unataka kutuambia nn? Tukuamini ww au sirikali yetu?
Hujaona hatua zilizochukuliwa na sirikali yetu kuhakikisha tunapambana na corona? Labda kama hujafahamu mpaka sasa nikufahamishe tu ni kama ifuatavyo:
1. Tumeruhusu ndege zilizobeba watalii kutoka China kutua hapa kwetu, hii ni kutokana na uhusiano mzuri tulionao na wachina. Hii itasaidia pato la taifa kukua, hivyo tutapata pesa nyingi zitakazotusaidia kupambana na corona.
2.Wale wazungu 6 waliotua KIA jana 13/03/2020 baadhi wakiwa na dalili za maambukizi tumegundua kuwa ni negative baada ya kuwafanyia vipimo na hvyo tumewaruhusu waendelee na mishe zao,tumeona siyo vyema kuwa karantini siku 14 maana tunaamini vipimo vyetu.

Hivyo ww mtoa post acha UCHOCHEZI!
 

Mkuu huu ugonjwa ni flue tu kumbuka flue ni moja kati ya magonjwa yanayowatesa sawa wazungu tofauti na sisi na wanakufa sana.....kwao ni habari kubwa kwa kuwa inawauwa

Lakini sisi waafrica tunakufa na malaria na njaa ila kwao si habari kubwa angalia statistic je corona inauwa watu wengi kuliko njaa na malaria jibu ni NO

Kumbuka corona ni “viral disease” every disease transimited by virus does not cured.....na hii ndio huwatesa wazungu

By the way ni ugonjwa hatari ila unakuwa ovarreted sana na media


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ufafanuzi mzuri.
 
Kubwa jinga wewe ugonjwa umeshaua watu zaidi ya 5000 unasema huoni Jipya?? WHO wameshautangaza Kama Global disease wewe uko huko kwenu Maramba-Mawili umejiegeza kwenye chumba chako na kisimu chako Cha Samsung unasema huoni Jipya ...


Kila nchi inayojielewa inachukua hatua stahiki ili kujizuia na hayo maambukizi wewe unaleta blablaaaaa zako hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha elimu elimu elimu .. Tangu lini Home ya Mapafu ikahusiana na Mafua...


Hii nchi elimu Ni tatizo Sana aiseeh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
serikali ya awamu ya 5 ni zero kwenye afya
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bams, mamlaka ya anga imechukua hatua kukabiliana na ugonjwa huu.

Kama kusingekuwa na hatua za kisasa za kupambana na janga hili leo hii tungekuwa na wagonjwa wengi sana lakini hakuna akiyeripotiwa mpaka jumapili hii.

Tatizo letu kila tunalolifanya tunaona kama tunakosea na kila analofanya mgeni tunaona lipo sahihi.
 

Vipi ukivuta hewa yenye hizo droplets zenye Corona virus (aeroso). ?!

Kama jibu litakua huwezi ambukizwa basi itakua sio airborne Ila Kama jibu ni kua unaweza ambukizwa basi itakua ni air borne disease.

Halafu mtoa mada anajaribu kuaminisha watu kua madaktari hawaujui ugonjwa huu!! Pathetic!

Kumbuka madaktari wamesoma Kwa kina kirusi Corona darasani Kama topic pamoja na virus vingine vingi tu ambavo wewe huna hata habari Kama vina exist Hadi ukiibuka ugonjwa.
Na niimani yangu kua wewe umesikia kirusi Corona baada ya ugonjwahuu kuibuka.
 
Mungu atusaidie
 
Bogus ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sawa na kusema Hakuna wizi kwasababu Hakuna mwiz aliekamatwa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu kuna sehemu nimesoma kama ni mwanaume ukiugua na ukapona basi unaua na nguvu za kiume
 
Hongera sana mkuu. Umeongea kile ninachokiwaza kila wakati. Ningefurahi hili andiko lifike mbali,lifike kwenye media zingine pia. Andiko limejitosheleza limejaa ukweli mtupu. Ni kweli kabisa serikali yetu nyepesi sana. Ni jambo la kushangaza sana kwamba nchi za dunia ya kwanza zimepiga marufuku ndege zote kutoka maeneo korofi. Eti sisi tunajifanya vidume. Roho imeniuma sana kwenye hili,basi tunaishia kusikitika tu,huwezi kufanya chochote cha kusaidia kwenye nchi kama hii. Hata kujaribu kusaidia kwa kuanzisha maandamano kupinga ruhusa kwa wageni watokao maeneo yaliyoathiliwa,utaishia jera kama sio kuuawa. Roho inaniuma sana kuona kwamba serikali imeuchukulia kama kitu cha kawaida,wakati nchi zilizoendelea watu wanaendelea kupukutika. Sijiamini bado kama kweli hatuna wagonjwa humu nchini kwa idadi ya wageni tuliopokea kuanzia kipindi ambacho wengine wamefunga njia. Inasikitisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sawa na kusema Hakuna wizi kwasababu Hakuna mwiz aliekamatwa.



Sent using Jamii Forums mobile app
Kunaweza kuwepo wagonjwa walioingia nchini kwa usafiri wa mabasi mfano kutoka Nairobi kuja Dar au kutoka Uganda kupitia mutukura mpaka Bukoba na wakaelekea Mwanza.

Lakini kingine ambacho ni cha faida kwetu Afrika ni hali ya hewa ya tropiki, kwa siku moja joto kufika nyuzi 29-32 ni jambo la kawaida sana, na kirusi cha corona hakina uwezo wa kuishi joto linapozidi nyuzi 25.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…