Corona si moja ya magongwa hayo.This is according to WHO dogo jingaNini wewe kubwa jinga? Maginjwa yanayowezavkuambukizwa kupitia mfumo wa hewa ni nini?
Wengi walifikiria kama unavyofikiria. Ndiyo maana China iliamua kuiweka kama siri, wakidhania wangedhibiti bila Dunia kujua, lakini mpaka sasa imeshindikana.Huu ugonjwa unakuwa overrated sana ila kifupi ni kama flue tu ni gonjwa la mlipuko soon dunia itatulia
Sent from my iPhone using JamiiForums
Umefanya vema kumweleza. Airborn disease ni magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya hewa lakini jwa corona ni tofauti. Hii inaambukizwa kwa direct contacts. Contacts hizi inaweza kuwa kushikana na mgonjwa mwenye vijidudu mkononi, kushika sehemu iliyoshikwa na mtu ambaye mikono yake ilikuwa na virusi, au kwa kugusa droplets za mate ya mtu mgonjwa anapokohoa.Corona si moja ya magongwa hayo.This is according to WHO dogo jinga
Haya maroboti ya ccm yenyewe kwa kukabidhi akili kwa mwenyekiti basi yanamezeshwa kila kitu hata Kama ni uongo nayo yanameza tu.Umefanya vema kumweleza. Airborn disease ni magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya hewa lakini jwa corona ni tofauti. Hii inaambukizwa kwa direct contacts. Contacts hizi inaweza kuwa kushikana na mgonjwa mwenye vijidudu mkononi, kushika sehemu iliyoshikwa na mtu ambaye mikono yake ilikuwa na virusi, au kwa kugusa droplets za mate ya mtu mgonjwa anapokohoa.
Kama Corona ingekuwa uwezo wa kuteketeza wanaccm wote Tanzania. Nchi yetu ingekuwa Safi na sehemu salama kabisa ya kuishi hapa dunianiNini wewe kubwa jinga? Maginjwa yanayowezavkuambukizwa kupitia mfumo wa hewa ni nini?
Mkuu 'Bams',Wengi tumeambiwa kuhusiana na ugonjwa wa Corona. Na wengi tunaamini kuwa sasa tunauelewa.
Tunapojihadhari na ugonjwa huu, mategemeo yetu makubwa ni serikali na wataalam wa afya, ambao tunadhani kuwa wana ufahamu zaidi kuliko sisi tusio watu wa fani ya tiba.
Jambo moja tunalotakiwa kujua ni kuwa mpaka sasa, kwenye ugonjwa huu, wote ni layman. Na inawezekana, mtu asiye mtaalam wa tiba, kama anajishughulisha kuufahamu ugonjwa huu kwa kupitoa maandiko mbalimbali ya wataalam wa huko ambako upo, akawa na uelewa mkubwa zaidi kuwazidi wasemaji wa serikali au madaktari wetu.
Watu wasiitegemee sana serikali wala madaktari bali wajitahidi kuujua ukweli kuhusiana na ugonjwa huu. Mpaka sasa kuna madudu mengi tayari yamefanywa na serikali, ambayo kwa watu wanaouelewa ugonjwa huu, wasingefanya. Labda tu tumekingwa kwa neema ya Mungu tu lakini siyo kutokana na umakini wa Serikali.
1) Siku za karibuni serikali iliruhusu watalii toka China wakati nchi nyingine zimepiga marufuku ndege kutua nchini mwao kutokea China, achilia mbali kupokea watalii wa Kichina
2) Karibuni tena, pale JKN airport kuna watu wagonjwa ambao dalili zilionekana kushabihiana na zile za Corona, walipimwa na kuonekana negative, wakaruhusiwa kuingia mitaani. Ukweli ni kwamba siyo wagonjwa wote au watu wenye coronavirus, virusi hivyo huonekana kwenye vipimo. Inaonekana watu hawa wa serikali bado hawajaujua huu ugonjwa.
Tafiti za karibuni kabisa zinaonesha mambo yafuatayo:
1) Kirusi cha Corona kinaambukizwa zaidi kwa kushika sehemu aliyoishika mwathirika kuliko kwa njia ya kukohoa.
2) Kirusi cha Corona siyo airbone bali ni huenea kwa droplets za mate. Wale wanaoongea mpaka wanatema mate, kama ameathirika, ni wasambazaji wazuri
3) Kirusi cha Corona, kwa mfano muathirika akishika kwenye meza au akakoholea kwenye meza kinaweza kuishi hapo kwa siku kadhaa, hakuna anayejua kina uwezo wa kukaa siku ngapi. Kwa hiyo kwenye milango, ngazi, viti, meza, hata simu zetu - vyote vinaweza kueneza kwa kasi zaidi kuliko kushikana na kukohoa
4) Kirusi cha corona, kimeonekana kina uwezo wa kujificha na kisionekane kwenye vipimo. Inaaminika ni katika hatua zake fulani tu, ndiyo huonekana kiurahisi. Baadhi ya wagonjwa waliotibiwa, na kupimwa na kuonekana negative, baadaye walionekana wana uwezo wa kuendelea kuambukiza, wengine baadaye walionekana tena positive, na wengine walikufa baada ya kuruhusiwa na kutajwa kuwa wamepona.
Hiki kirusi siyo cha mzaha, kama ambavyo serikali yetu imekuwa ikichukulia.
Kenya tayari, DRC tayari, Rwanda tayari, Botswana tayari - Hatupo salama kama tunavyofikiria. Chukua tahadhari binafsi kuliko kuitegemea sana Serikali.
Serikali yetu inafahamika. Ni nyepesi sana kushugulikia mambo yanayotishia kupokonywa utawala na madaraka lakini siyo kwenye mambo ya msingi yanayohusu uhai, usalama na maisha ya wananchi wote.
Ikitokea ugonjwa huu ukaingia nchini mwetu, mzazi chukua hatua zako binafsi kama vile kumzuia mwanao kwenda shule kuliko kusubiri mpaka Serikali itangaze.
Kama una uwezo wa kuepuka usafiri wa umma, epuka kuanzia sasa kuliko kusubiri siku Serikali itakapotangaza. Watatangaza pale ambao tayari hali imekwishakuwa mbaya. Kama siyo lazima sana kusafiri, acha kusafiri kuanzia sasa, hii ni pamoja na safari za ndani.
Can you get coronavirus twice?
LOoo, mkuu 'Sijjijui' ungesema "wanaccm" kama huyo unayemjibu ningekuunga mkono hapa. Lakini wana'CCM' wote?Kama Corona ingekuwa uwezo wa kuteketeza wanaccm wote Tanzania. Nchi yetu ingekuwa Safi na sehemu salama kabisa ya kuishi hapa duniani
Hakuna namna kondoo anaweza ishi kwenye zizi moja na fisi? Wote ni hovyo tu wanatofautiana viwango na nafasi,wewe uliwahi kuhisi Magufuli au makonda wangeweza kuwa hivi walivyo sasa?LOoo, mkuu 'Sijjijui' ungesema "wanaccm" kama huyo unayemjibu ningekuunga mkono hapa. Lakini wana'CCM' wote?
Hapana.
Kuna wengi wao ndani ya chama hicho ambao ni 'mateka' kama sisi wengine tulio nje ya chama hicho. Hao ni wa kuwaonea huruma tu, sio kuwatakia majanga kama hayo!
"Airborn" kwa maana mwenye ugonjwa akipiga chafya, zile 'droplets' zinazoruka na kumfikia mtu wa pili, naye ataambukizwa, kama hizo droplets zikiangukia mezani na mtu wa pili akigusa hapo..., bado itakuwa sio 'airbone'?Ni kweli Corona siyo airborn disease ingawa serikali yetu kupitia tangazo la wizara ya afya wanatunganya ni airborn
Nimesema ni 'MATEKA' mkuu!Hakuna namna kondoo anaweza ishi kwenye zizi moja na fisi? Wote ni hovyo tu wanatofautiana viwango na nafasi,wewe uliwahi kuhisi Magufuli au makonda wangeweza kuwa hivi walivyo sasa?
Airborn maana yake ni air transmitted,unavuta tu hewa unaipata.hii nyingine lazima kuwe na contact. Sasa kutokana na hizo contact ndo maana WHO imetoa guidence ya kunawa mikono Mara kwa Mara na kutumia stelirize zenye kiwango furani cha alcohol"Airborn" kwa maana mwenye ugonjwa akipiga chafya, zile 'droplets' zinazoruka na kumfikia mtu wa pili, naye ataambukizwa, kama hizo droplets zikiangukia mezani na mtu wa pili akigusa hapo..., bado itakuwa sio 'airbone'?
Hili ni swali mkuu!
Mkuu, Sijjijui,Airborn maana yake ni air transmitted,unavuta tu hewa unaipata.hii nyingine lazima kuwe na contact. Sasa kutokana na hizo contact ndo maana WHO imetoa guidence ya kunawa mikono Mara kwa Mara na kutumia stelirize zenye kiwango furani cha alcohol