Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
- Thread starter
- #41
Ni tofauti wako mabunge tofautiso Senators na congressmen ni tofauti ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni tofauti wako mabunge tofautiso Senators na congressmen ni tofauti ?
so senators wana uzito zaidi ya congressmen/women?
Soma huu utafiti wa Fox NewsKasome tafiti za Jana uone Trump anavyokubalika haswa namna alivyohandle ishu ya Corona
Lolote linalopitishwa na congressmen and women. Senators wakilipinga linaishia hapo..so senators wana uzito zaidi ya congressmen/women?
Samahani mkuu, wew ni mmarekani??Nah, come rain; come sun. This dude is done. We're ready to vote him out. [emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Tatatatataaaaaa......
Kama lilivyowatandika mara ya kwanza Clinton akiwa mgombea, Obama akiwa rais, Biden akiwa VP, na safari linawatandika Biden akiwa mgombea, Obama akiwa mpambe na Clinton akiwa mpenzi mtazamaji.Kumekuchaaaaaaa!
Obama kazinduka...
BREAKING NEWS: Barack Obama will endorse Joe Biden for president TODAYView attachment 1419055
Sent using Jamii Forums mobile app
Binadamu sijui tukoje,tunaamini sana kwa waongeaji/wapiga blabla. Wewe unaweza mchagua hata konda kisa anapiga keleleTrump atashinda, Biden siyo muongeaji mzuri bora hata Sanders anajua kushambulia sema tu hapendwi na wahafidhina wa Dems.
Trump kwa namna alivyo handle ishu ya Corona ambayo ilionekana mwanzoni kumyumbisha imemrudisha kwenye umaarufu, Biden anakibarua kigumu sana dhidi ya mbwatukaji