Coronavirus bad karma for one term Donald Trump presidency

Coronavirus bad karma for one term Donald Trump presidency

Acha kuongea upuuzi mkuu, ni huyuhuyi Obama aliesema kwamba trump anaweza kiurudisha uchumi kwa uchawi pekee na magic wand, Leo hii trump kapambana uchumi umekuwa mass fake media zimeanza kueneza huu uongo.

Kwa nataka haraka na wewe nimeona umetekwa akili na fake news
Sasa huo uchumi saivi uko wapi [emoji1787]

Covid 19 imefutwa kila kitu (data zake)

Anaanza upya election year hii

Mpaka Sasa anaonekana ashafeli kwenye nyanja ya afya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona imefuta Tambo zote za trump

Stocks katika makampuni makubwa na technology zime drop sana haijawahi tokea

Number za NFP zimeshuka tu abruptly [emoji3]

Dow Jones graph iko down

Jamaa alitamba vibaya mno na kumponda Obama kwamba hakufanya lolote kwenye uchumi kumbe alikuwa anatembelea foundation za Obama za uchumi juu kwa juu

Hasa Sasa tuone namba ziko down. Tuone atazipandisha vipi [emoji1787][emoji1787]

Japo Kati yake na Biden Bora yeye

Sent using Jamii Forums mobile app
Trump bado anaweza kutamba tu, kwani kinachouangusha Uchumi wa Marekani ni gharika la huu Ugonjwa kitu ambacho hana control nacho na hakuna mtu mwenye control nacho.

Gonjwa hili likiisha na kama litaisha mapema litamjenga sana kwani ni mara chache sana kwa Magharika kama haya kutokea na Raisi yeyote anaukutwa na mambo kama haya anakua Shujaa baada ya Gharika kupita.

Trump anafanya kazi nzuri sana kwa wamerikani ni kama Magufuli Tanzania Corona haiwezi mshusha hata iwe na madhara kiasi gani.
 
Trump bado anaweza kutamba tu, kwani kinachouangusha Uchumi wa Marekani ni gharika la huu Ugonjwa kitu ambacho hana control nacho na hakuna mtu mwenye control nacho.
Hivi wewe ulishafuatailia kuona jinsi interest rates zilivyokuwa zinashushawa kila siku tokea mwaka jana. Unaelewa maana ya benki kuu kushusha interest rates au unaongea tuu kwa hisia zako?
 
Mkuu
May you help me to differentiate a Senate from a Congress ?
Congress is a lower chamber of the Parliament and the Senate is an upper chamber to pass laws they must agree in majority votes but the Senate has powers to confirm certain presidential appoints like cabinet, ambassadorial, judges etc but members are MPs wabunge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu
Trump bado anaweza kutamba tu, kwani kinachouangusha Uchumi wa Marekani ni gharika la huu Ugonjwa kitu ambacho hana control nacho na hakuna mtu mwenye control nacho.

Gonjwa hili likiisha na kama litaisha mapema litamjenga sana kwani ni mara chache sana kwa Magharika kama haya kutokea na Raisi yeyote anaukutwa na mambo kama haya anakua Shujaa baada ya Gharika kupita.

Trump anafanya kazi nzuri sana kwa wamerikani ni kama Magufuli Tanzania Corona haiwezi mshusha hata iwe na madhara kiasi gani.
Mkuu soma nambaaaaaaa
Screenshot_2020-03-29-17-34-01.jpeg
Screenshot_2020-03-29-17-34-27.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu
May you help me to differentiate a Senate from a Congress ?

There are two senators from each state
So total members of the senate is 100
They are part of the Congress ..
But when they seat only senators that is when is called the senate...
 
Congress is a lower chamber of the Parliament and the Senate is an upper chamber to pass laws they must agree in majority votes but the Senate has powers to confirm certain presidential appoints like cabinet, ambassadorial, judges etc but members are MPs wabunge

Sent using Jamii Forums mobile app
so Senators na congressmen ni tofauti ?
 
There are two senators from each state
So total members of the senate is 100
They are part of the Congress ..
But when they seat only senators that is when is called the senate...
Bado sijaelewa mkuu ?
 
Trump atashinda, Biden siyo muongeaji mzuri bora hata Sanders anajua kushambulia sema tu hapendwi na wahafidhina wa Dems.
Trump kwa namna alivyo handle ishu ya Corona ambayo ilionekana mwanzoni kumyumbisha imemrudisha kwenye umaarufu, Biden anakibarua kigumu sana dhidi ya mbwatukaji
Mkuu kule hawachagua mtu kwasababu ni kasuku..
hilo la ukasuku lipo ndani ya Bara Giza tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
so Senators na congressmen ni tofauti ?
Kuna mabunge mawili yote yana hadhi sawa ila majukumu tofauti na wabunge la Congress wanachaguliwa na wapiga kura wachache ikilinganishwa na bunge kuu ambao huwa ni mmoja au wawili kwa kila jimbo wakati wa Kongress idadi yao ni kubwa zaidi.

Kwa pamoja huunda bunge kuu la Marekani.

Majukumu ni kutunga sheria na kuisimamia serikali

Bunge la chini Kongress pekee linaweza kumfungulia mashitaka Raisi kumchunguza na kumshitaki kwenye Bunge la juu la seneti

Seneta wako seneti na Congress wako congress

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom