Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
- Thread starter
- #441
We project Stacey Abrams will hold a senior position in the Biden-Harris WHITE HOUSE
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Kesi zote zitatupwaTimu ya donald trump imefungua kesi kwenye mahakama ya Las Vegas Nevada kuzuia uhesabuji wa kura zilizopigwa kwa njia ya posta.
Wanadai kuna watu waliokufa wamepiga kura, kuna idadi kubwa ya raia wa nevada hawana sifa za ukaazi lakini wamepiga kura.
Timu ya trump nevada imegoma kuulizwa maswali.
Things have already happened.Too early to call him that.. November is still far away... anything can happen between now and November..
Ni kazi yetu kuisoma kesho yetu kwa kuwezeshwa na Mwenyezi Mungu hata kabla haijatokea!Things have already happened.
Amen! We saw it coming after his mishandling of the coronavirus pandemicRutashubanyuma I Salute you,You saw it coming in a prophetic eye.
It has come to pass,finally Trump is one term president.