Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,204
- 144,100
Hili gonjwa hata silielewi, sijiui liko overrated au underrated?
Atii huogopi hii ugonjwa ,hii ni ugonjwa hatari sana hasa kwa Africa. Labda ni kiki unatafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu rudi kwnza huku ikungulyababeshi ili mambo yakipoa urudi huko
Ngoja tuendelee kuona hali inavyoenda, ila kwa kuwa wapo wanaopeteza maisha pia ni muhimu kuchukua tahadhari.Asilimia kubwa ya wanaopata hayo mafua ya Corona wanapona.
Pia, unaweza kuwa na hayo mafua na wala usijue na yenyewe yakaisha hivyo hivyo.
Panic iliyopo haiendani kabisa na athari zake.
Nenda kamsome Betty Mkwasa Facebook na Insta,Kuna watu wameugua 3 weeks ugonjwa unaofanana na huo, Betty aliugua,Mkwasa kwenye kambi na wachezaji kadhaa,hiyo ilijuwa Desemba 2019, Hospital zilishindwa kujua wanaumwa nini?Atii huogopi hii ugonjwa ,hii ni ugonjwa hatari sana hasa kwa Africa. Labda ni kiki unatafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tuendelee kuona hali inavyoenda, ila kwa kuwa wapo wanaopeteza maisha pia ni muhimu kuchukua tahadhari.
Mimi Naandika Nikiwa Hapa Mulyabhibhi, Jirani Na Daraja La Kikwete KigomaHahaaaa mbona naandika nikiwa Nyangokolwa...
Hao sio wataalam wa afya ,duniani kote watu wanahangaika usiku na mchana kutafuta ufumbuzi ila bado,Nenda kamsome Betty Mkwasa Facebook na Insta,Kuna watu wameugua 3 weeks ugonjwa unaofanana na huo, Betty aliugua,Mkwasa kwenye kambi na wachezaji kadhaa,hiyo ilijuwa Desemba 2019, Hospital zilishindwa kujua wanaumwa nini?
Au Facebook kamsome Onni Sigala utapata majibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uzi niliwaambia watu hili jambo kuwa waathirika wengi wana recover jamaa wakanicheka kinyama.Asilimia kubwa ya wanaopata hayo mafua ya Corona wanapona.
Pia, unaweza kuwa na hayo mafua na wala usijue na yenyewe yakaisha hivyo hivyo.
Panic iliyopo haiendani kabisa na athari zake.
Na wanaopata pata corona katika nchi zetu izi wengi utaskia ni msafiri kutoka eidha ulaya,asia au amerca ndo amekuja na hiyo corona. Na uku kwetu usambaaji wake sio wa kasi kama zilivo nchi kama italy,markani na china. Nchi nyingi za Africa ukiskia mtu kasadikika ana corona basi ni huyohuyo nchi nzima.Hata mimi kwa upande wangu naona panick imekua kubwa mno naweza kusema kua panick iliyopo kwenye corona ni kubwa kuliko iliyokuwepo kwenye ebola wakati ebola ilikua karibu nasi zaid kuliko hiyo corona.
Nadhani mitandao ya kijamii inachangia zaidi katika hili hasa kwakua nchi waathirika zinajiweza kiuchumi na kipropaganda pia janga likiwa kubwa kwao basi na kwetu ni hivo hivo vivyo hivyo likiwa dogo kwao na kwetu tutaona ni janga dogo.
Sent using Jamii Forums mobile app