Mdaiwa-Sugu
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 284
- 912
Kwa upande wake US anamlaumu china kwa kushindwa kuudhibiti huu ugonjwa mwanzoni kabisa mpaka kupelekea kusambaa duniani kote. marekani ameenda mbali zaidi kwa kumtuhumu china kuhusika na utengenezaji wa hivi virusi.Duh, mambo yanazidi kuchachamaa, Mungu atusaidie, na kama ni kweli US ndio alitengeneza hii virus, yatamkuta tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama alikua anania ya Msaada IRAN Wala hawataki Msaada Wanataka Kuondolewa Vikwazo Tu Kwamuda Huu Ambao Wanakabiliwa Nagonjwa Wapate kuagiza Vifaa Tiba Mbali MbaliHuyu Mzee ni masikini jeuri !! Msimamo wake unatesa raia wake, hizo propaganda za kirusi kutengenezwa Marekani angezipumzisha wakati huu wa dharura.
Anakataa msaada wakati raia wake wanataabika kwa ugonjwa na madaktari wameishiwa mpaka vifaa tiba huku wengi wakiambukizwa wakati wakitoa huduma.
Unahisi kama wasingetangaza Kupewa Msaada Wangeropoka US Kasema Yupo Tayari Kupeleka Msaada IRAN Halaf Wewe MYAHUDI Wa NAIROBI Unakataa Nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kama unajitekesnya mwenuewe, unakataa kupokea msaada wa mtu ambaye hajatangaza kukupa msaada, yaani hawa viongozi wanajiundia agenda ili wapate hoja kwa wananchi wao.
Mkuu uko sahihi kabisa, lakini hawa wamarekani hawatoagi misaada kwa nia njemaHuyu Mzee ni masikini jeuri !! Msimamo wake unatesa raia wake, hizo propaganda za kirusi kutengenezwa Marekani angezipumzisha wakati huu wa dharura.
Anakataa msaada wakati raia wake wanataabika kwa ugonjwa na madaktari wameishiwa mpaka vifaa tiba huku wengi wakiambukizwa wakati wakitoa huduma.
Mkuu uko sahihi kabisa, lakini hawa wamarekani hawatoagi misaada kwa nia njema
Nawaunga mkono Iran kwenye hili.
Trump alisema yuko tayari kusaidia wananchi wa Iran kuhusu hili janga mwezi huu mapema kabla hata ugonjwa hausambaa sana America ewe shia wa Kilosa.Unahisi kama wasingetangaza Kupewa Msaada Wangeropoka US Kasema Yupo Tayari Kupeleka Msaada IRAN Halaf Wewe MYAHUDI Wa NAIROBI Unakataa Nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using My COVID-19
Khamenei ana hofu kwamba anaweza kupewa drugs ambazo zitafanya the virus to remain in Iran permanently. Hawana imani na chochote US atakachotaka ku-offer. Wanahisi lazima ni mtego.Huyu Mzee ni masikini jeuri !! Msimamo wake unatesa raia wake, hizo propaganda za kirusi kutengenezwa Marekani angezipumzisha wakati huu wa dharura.
Anakataa msaada wakati raia wake wanataabika kwa ugonjwa na madaktari wameishiwa mpaka vifaa tiba huku wengi wakiambukizwa wakati wakitoa huduma.
Kwann asiwasaidie maswahiba zake mpaka wana kufa kama panya na anganganie kuisaidia Iran?Trump alisema yuko tayari kusaidia wananchi wa Iran kuhusu hili janga mwezi huu mapema kabla hata ugonjwa hausambaa sana America ewe shia wa Kilosa.
Upo sahihi, Mmarekani mjanja mjanja sana. Na Iran wana sababu nyingi za kutomwamini US lakini ni vizuri kuchukua msaada for the sake of your people.Mkuu uko sahihi kabisa, lakini hawa wamarekani hawatoagi misaada kwa nia njema
Nawaunga mkono Iran kwenye hili.
Mi naona ni sawa tu alivyokataa... Watu wanaomba waondolewe vikwazo vya kibiashara... Ili wanunue vifaa tiba, unakataa... Halafu leo hii eti uwaletee msaada, huo ni unafikiHuyu Mzee ni masikini jeuri !! Msimamo wake unatesa raia wake, hizo propaganda za kirusi kutengenezwa Marekani angezipumzisha wakati huu wa dharura.
Anakataa msaada wakati raia wake wanataabika kwa ugonjwa na madaktari wameishiwa mpaka vifaa tiba huku wengi wakiambukizwa wakati wakitoa huduma.
Mashia sijui mnaumwaga nini, embu rudia kusoma nilichoandika na usome ulichoandika wewe tena.Kwann asiwasaidie maswahiba zake mpaka wana kufa kama panya na anganganie kuisaidia Iran?
Eti kuwasaidia raia wa Iran angekuwa anawapenda angekuwa kila siku ana fanya kila mbinu kulidhoofisha taifa lao?
Trump alisema yuko tayari kusaidia wananchi wa Iran kuhusu hili janga mwezi huu mapema kabla hata ugonjwa hausambaa sana America ewe shia wa Kilosa.
Shida inayojitokeza hapa ni hofu kuu ya lran dhidi ya marekani anahisi hata huo msaada atakaopewa unaweza kuwa mtego wa kuwamaliza. Iran hana imani kabisa na USHuyu Mzee ni masikini jeuri !! Msimamo wake unatesa raia wake, hizo propaganda za kirusi kutengenezwa Marekani angezipumzisha wakati huu wa dharura.
Anakataa msaada wakati raia wake wanataabika kwa ugonjwa na madaktari wameishiwa mpaka vifaa tiba huku wengi wakiambukizwa wakati wakitoa huduma.
Ni kama unajitekesnya mwenuewe, unakataa kupokea msaada wa mtu ambaye hajatangaza kukupa msaada, yaani hawa viongozi wanajiundia agenda ili wapate hoja kwa wananchi wao.