Corona ni dalili ya mwisho wa Dunia

Corona ni dalili ya mwisho wa Dunia

Wakuu ukisoma dalili za mwisho wa Dunia katika mathayo 24:7 tafsiri halisi angalia biblia ya king James vision, utakuta neno PESTILENCES >> ni magongwa ya milipuko ambayo inaambukiza wengi kwa muda mfupi na kuua wengi..

Matthew 24:7 For nation shall rise against nation, and kingdom against kingdom: and there shall be famines, and pestilences, and earthquakes, in divers places.

Tahadhari ndugu yangu tumrudie Muumba

Tahadhari namba two kwa wale wakaidi Enzi za Nuhu ilikuwa hivi hivi watu aah Nuhu nae mara manyunyu mara mvua kubwa mara mito kujaa mara barabara..

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibidishe na kusoma taarifa mbalimbali ili uwe up-to-date kabla ya kuweka bandiko linalotokana na imani na si uhalisia.

Hali halisi hadi muda huu ni hii hapa:

How about some good news?

-China has closed down its last coronavirus hospital. Not enough new cases to support them.

- Doctors in India have been successful in treating Coronavirus. Combination of drugs used: Lopinavir, Retonovir, Oseltamivir along with Chlorphenamine. They are going to suggest same medicine, globally.

- Researchers of the Erasmus Medical Center claim to have found an antibody against coronavirus.

- A 103-year-old Chinese grandmother has made a full recovery from COVID-19 after being treated for 6 days in Wuhan, China.

- Apple reopens all 42 china stores,

- Cleveland Clinic developed a COVID-19 test that gives results in hours, not days.

- Good news from South Korea, where the number of new cases is declining.

- Italy is hit hard, experts say, only because they have the oldest population in Europe.

- Scientists in Israel likely to announce the development of a coronavirus vaccine.

- 3 Maryland coronavirus patients fully recovered; able to return to everyday life.

- A network of Canadian scientists are making excellent progress in Covid-19 research.

- A San Diego biotech company is developing a Covid-19 vaccine in collaboration with Duke University and National University of Singapore.

- Tulsa County's first positive COVID-19 case has recovered. This individual has had two negative tests, which is the indicator of recovery.

- All 7 patients who were getting treated for at Safdarjung hospital in New Delhi have recovered.

- Plasma from newly recovered patients from Covid -19 can treat others infected by Covid-19.

So it's not all bad news. Let's care for each other and stay focused on safety of those most vulnerable."
 
Kwa kweli, Mungu anatuma ujumbe tutubu,la sivyo WOTE tunaangamia..hakuna cha Mmarekani wala Mchina na technology zao….
Haya ni mawazo ya mental typically, not a great thinker
 
Ukifa wewe ndio mwisho wa dunia, the world won't end ni mimi na wewe ndio tutaiacha dunia na wengine watakuja na kuondoka tu.
 
Wakuu ukisoma dalili za mwisho wa Dunia katika mathayo 24:7 tafsiri halisi angalia biblia ya king James vision, utakuta neno PESTILENCES >> ni magongwa ya milipuko ambayo inaambukiza wengi kwa muda mfupi na kuua wengi..

Matthew 24:7 For nation shall rise against nation, and kingdom against kingdom: and there shall be famines, and pestilences, and earthquakes, in divers places.

Tahadhari ndugu yangu tumrudie Muumba

Tahadhari namba two kwa wale wakaidi Enzi za Nuhu ilikuwa hivi hivi watu aah Nuhu nae mara manyunyu mara mvua kubwa mara mito kujaa mara barabara..

Sent using Jamii Forums mobile app
Endapo dunia haifiki mwisho, na gonjwa hili likapita, bado utakuwa na imani na hiyo mistari ya Biblia? Au ndio utasema ni mwanzo wa mlolongo wa magonjwa ya mlipuko? Au milipuko itakuwa kila baada ya muda mfupi?
 
Wakuu ukisoma dalili za mwisho wa Dunia katika mathayo 24:7 tafsiri halisi angalia biblia ya king James vision, utakuta neno PESTILENCES >> ni magongwa ya milipuko ambayo inaambukiza wengi kwa muda mfupi na kuua wengi..

Matthew 24:7 For nation shall rise against nation, and kingdom against kingdom: and there shall be famines, and pestilences, and earthquakes, in divers places.

Tahadhari ndugu yangu tumrudie Muumba

Tahadhari namba two kwa wale wakaidi Enzi za Nuhu ilikuwa hivi hivi watu aah Nuhu nae mara manyunyu mara mvua kubwa mara mito kujaa mara barabara..

Sent using Jamii Forums mobile app
toka nazaliwa 1967 naskia mwisho wa dunia until now napumua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna muda uwa natafakari sana, kwa nini hofu?
kuhusu corona na kuhusisha na mwisho wa dunia.
ukimwi ulipoingia ulileta hofu kweli na ulichukuliwa kama ugonjwa wa fedhea.
miaka ya ya 90's uliibuka ugonjwa wa uti wa mgongo, tulivaa majani ya migomba kuwa ndio kinga.
haya ebola ilivyoibuka ilitikisa sana. ule ugonjwa wa kimeta, ulitesa sana.

kimsingi Mungu daima anatupa jaribu tunaloweza kupambana nalo. Mwisho wa dunia sio kazi yetu kujua au kubashiri, tutulie. furahia maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Real point
Huwa najiuliza maswali mengi sana ukienda Mumbai muingiliano wa watu na uchafu ni mkubwa sana na kwa mila na desturi zao kwenye mavazi pia ingalikuwa ni kichocheo cha maambukizi ya halaiki.
Lakini mungu mkubwa mpaka sasa ni maambukizi machache sana yameripotiwa ilhali ni majirani wa Uchina,,,Mungu ni mwema tusiwasemee sana
ugonjwa wa corona unakuzwa na media mkuu acha KUPANIC.... Hiv umejiuliza is it practically possible nchi yenye watu 1.2billion, na inayoongoza kwa uchafu duniani na pia imepakana na china {india} inakua na case 60 then then nchi safi yenye watu mill 60 (itally) inakua na maelf ya wagonjwa??? Shida ya watu mnapenda sana kumissuse maandiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bado 666 haijawa dhahiri, dunia haiwezi kufika mwisho kizembe hivi, na yule mnyama hajaja

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujasajili namba yako kwa alama za kidole.
Kile kitambulisho ulichotumia kina ahadi ya kutokuuza wala kununua ukiwa huna.

Wewe endelea kuisubiri chapa ambayo umeshachapwa 😀
 
Jibidishe na kusoma taarifa mbalimbali ili uwe up-to-date kabla ya kuweka bandiko linalotokana na imani na si uhalisia.

Hali halisi hadi muda huu ni hii hapa:

How about some good news?

-China has closed down its last coronavirus hospital. Not enough new cases to support them.

- Doctors in India have been successful in treating Coronavirus. Combination of drugs used: Lopinavir, Retonovir, Oseltamivir along with Chlorphenamine. They are going to suggest same medicine, globally.

- Researchers of the Erasmus Medical Center claim to have found an antibody against coronavirus.

- A 103-year-old Chinese grandmother has made a full recovery from COVID-19 after being treated for 6 days in Wuhan, China.

- Apple reopens all 42 china stores,

- Cleveland Clinic developed a COVID-19 test that gives results in hours, not days.

- Good news from South Korea, where the number of new cases is declining.

- Italy is hit hard, experts say, only because they have the oldest population in Europe.

- Scientists in Israel likely to announce the development of a coronavirus vaccine.

- 3 Maryland coronavirus patients fully recovered; able to return to everyday life.

- A network of Canadian scientists are making excellent progress in Covid-19 research.

- A San Diego biotech company is developing a Covid-19 vaccine in collaboration with Duke University and National University of Singapore.

- Tulsa County's first positive COVID-19 case has recovered. This individual has had two negative tests, which is the indicator of recovery.

- All 7 patients who were getting treated for at Safdarjung hospital in New Delhi have recovered.

- Plasma from newly recovered patients from Covid -19 can treat others infected by Covid-19.

So it's not all bad news. Let's care for each other and stay focused on safety of those most vulnerable."
Mhhh Mhindi nomaaa na wao wanakomaa na detto hata huku utawasikia wanazisaka mno....ukikaa kijembe ugonjwa ni kawaida tu
 
Miaka 20 iliyopita Ethiopia walikaa miaka takriban mitatu bila kuiona mvua na watu walikufa kwa njaa! Je ww ungekuwa kule ungeiitaje? Lakini leo wameamsha wanaedelea kula bata!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom