Corona ni dalili ya mwisho wa Dunia

Corona ni dalili ya mwisho wa Dunia

Wakuu ukisoma dalili za mwisho wa Dunia katika mathayo 24:7 tafsiri halisi angalia biblia ya king James vision, utakuta neno PESTILENCES >> ni magongwa ya milipuko ambayo inaambukiza wengi kwa muda mfupi na kuua wengi..

Matthew 24:7 For nation shall rise against nation, and kingdom against kingdom: and there shall be famines, and pestilences, and earthquakes, in divers places.

Tahadhari ndugu yangu tumrudie Muumba

Tahadhari namba two kwa wale wakaidi Enzi za Nuhu ilikuwa hivi hivi watu aah Nuhu nae mara manyunyu mara mvua kubwa mara mito kujaa mara barabara..

Sent using Jamii Forums mobile app
dalili ni kiashiria tu ni kama mvua inaweza kuonyeha kunyesha alafu ghafla inapotea. pambania kome mambo yasonge mbele muda bado.
 
Hii ni njia tu ya asili ya dunia kujipunguzia idadi ya watu ili maisha yaweze kuendelea kwa wanaobaki.
 
Wewe mtoa maada naomba tu nikuambie wewe ni zwazwa.

Hizi pandemic huwa zinatokea kila baada ya miaka 100. 1920, 1820, 1720 hiyo miaka yote zilizuka pandemic ambazo ziliua watu wengi sana duniani.

Mfano mwaka 1920 Ilitokea Spanish flue ambayo iliua raia milioni 50. Hiyo ndio deadliest pandemic katika modern history.

Mwisho wa dunia ni wewe utakapokufa...

Idiot

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu umemkazia sana mtoa mada vipi kwani,? mpe elimu tu ujinga umtoke
 
Wakuu ukisoma dalili za mwisho wa Dunia katika mathayo 24:7 tafsiri halisi angalia biblia ya king James vision, utakuta neno PESTILENCES >> ni magongwa ya milipuko ambayo inaambukiza wengi kwa muda mfupi na kuua wengi..

Matthew 24:7 For nation shall rise against nation, and kingdom against kingdom: and there shall be famines, and pestilences, and earthquakes, in divers places.

Tahadhari ndugu yangu tumrudie Muumba

Tahadhari namba two kwa wale wakaidi Enzi za Nuhu ilikuwa hivi hivi watu aah Nuhu nae mara manyunyu mara mvua kubwa mara mito kujaa mara barabara..

Sent using Jamii Forums mobile app
Nina uhakika kuwa hata mwaka 1915 kuna mtu alikuwa na mawazo hayahaya.labda uniambie kipi ni kipya saaana hapo katika hivyo ulivyovitaja.
Hata hivyo tumrudie Mungu wetu sio kwa sababu tunaogopa mwisho wa dunia bali kwa kuwa yeye ni kweli,njia na UZIMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi bora parapanda ilie kbs tukaishi zetu na Yesu milele
 
Wafia Dini mmeanza hekaya zenu za mapepo... Jinga Nyie kumewahi kutokea maradhi zaidi ya corona na dunia ipo , kafuatilie Burbonic plague

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu ukisoma dalili za mwisho wa Dunia katika mathayo 24:7 tafsiri halisi angalia biblia ya king James vision, utakuta neno PESTILENCES >> ni magongwa ya milipuko ambayo inaambukiza wengi kwa muda mfupi na kuua wengi..

Matthew 24:7 For nation shall rise against nation, and kingdom against kingdom: and there shall be famines, and pestilences, and earthquakes, in divers places.

Tahadhari ndugu yangu tumrudie Muumba

Tahadhari namba two kwa wale wakaidi Enzi za Nuhu ilikuwa hivi hivi watu aah Nuhu nae mara manyunyu mara mvua kubwa mara mito kujaa mara barabara..

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahah bado bado bwana mwisho wa dunia labda kama ni mwisho wako hapo sawa
 
sasa kiongozi kuachana na kadi au simcard kuna tatizo gani?
si hao hao ndio walileta io mifumo sasa wanabadilisha au
kama watu walikuja na dini zao sasa ivi wanataka tuwe na moja utawabishia kweli? yani wewe ndio utakua unajua kuliko wao waliokuletea?
mi nadhani hakuna haja ya kuogopa, kama ni mwisho wa dunia uje tu tuache kutishana😎😎😎😎

ukiachana ni hivyo vitu ndio hutoweza nunua au uza maana sim card ndio inakuconnect na huduma zote za kifedha, ikienda nunua mafuta ya gari katika kituo walipa tu aidha kwa kuswapi kwa kadi ya benki au simupesa! hali kadharika na mernro mengine, waita taxi aka uber walipa tu kwa simu bila shika pesa so ukikosa acceaa ya hivyo vitu ndio utakosa huduma! na si kutishaa haya mambo yalishaonwa miaka kadhaa huko muda wa kutimia ndio huo unakuja.
 
mi naona hamna mtu ambaye angepinga uo mfumo wa cashless
ndo maana hata huduma za mpesa/tigopesa zilivyoingia hapa nchini watu wachache waliipokea lakin mda ulivyosogea waliongezeka kutokana na kuuona umuhimu wake
 
Mimi nafikiri dunia hii tumeichafua sana haswa binadamu
Tumeahindwa kuitunza kwa kuharibu tabianchi na sasa ili walau ipumue kidogo ndio sababu kubwa hii ya vitu kusimama kwa muda
Ndege zinazochafua hewa zipungue walau miezi kadhaa
Meli zimesitishwa na bado malori ya kubeba mizigo imepungua sana barabarani na magari yametulia mengi
Acha tupumue hewa Safi kwa muda
Nafikiri ni majanga ya kuisaidia dunia

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
mi naona hamna mtu ambaye angepinga uo mfumo wa cashless
ndo maana hata huduma za mpesa/tigopesa zilivyoingia hapa nchini watu wachache waliipokea lakin mda ulivyosogea waliongezeka kutokana na kuuona umuhimu wake

na hakuna ubaya ama uovu ujao kwa kitu kisicho muhimu!
vitu muhkmu hutumika ili kuwapata wengi, alijisemea osama ukitaka usijulikane ulipo usitumie simu.

ona sasa leo hata uzime data ila google map inatrack movement zako zoote!
ndio maana simu ikiibwa na wakibadilisha line inatafutwa na kupatikana.
simu ni muhimu lakini inatuexpose kwa kiasi gani na madhara yake je?
 
Back
Top Bottom