Corona na yaliyojificha nyuma ya pazia

Corona na yaliyojificha nyuma ya pazia

IQ yako ndogo Subiria Tangazo kutoka Serikali ya Saudia itakapotoka kuhusu kuhairisha ibada ya hijja mwaka huu na hapo taharuki itazuka duniani kote, na huku marekani ikiiunga mkono tamko hilo, niishie hapo utayakumbuka maandishi haya.
Kuna kitu kinatafutwa zaidi ya corona
Dini imeingiaje hapo??
Waroma papa wao kafunga makanisa na hijja za Italy..

Waarabu waliotuletea dini, wakiamua hayo, watakuwa wanachukua hatua za madhubuti kuhakikisha waumini, mahujaji hawateketei kizembe...

BAHADA ya kusema hivyo nazidi kuchelea kusema Bashite kakuzidi akili..

Everyday is Saturday..................... 😎
 
ficha ujinga wako wewe kwa kitu gani tunachowapa watuundie njama kubwa hivi hizi dini mkulupuko zinaharibu watu akili yaani mitaifa mikubwa km USA inaingia hasara ya matrilioni ya dola huko wewe unatuambia ni njama zidi yetu basi hata maelfu wanaokufa duniani huwaoni...chukua tahadhali korona ni balaa.
Marekani hana hasari blaza hile ni mikakati Yake ya kupambana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IQ yako ndogo Subiria Tangazo kutoka Serikali ya Saudia itakapotoka kuhusu kuhairisha ibada ya hijja mwaka huu na hapo taharuki itazuka duniani kote, na huku marekani ikiiunga mkono tamko hilo, niishie hapo utayakumbuka maandishi haya.
Kuna kitu kinatafutwa zaidi ya corona
Mleta mada nakuelewa halafu si kuelewi ,ila naamini kuna jambo mbele liko tayari hii ni test tu
 
Uwaue huko huko sitoki misasi mimi naliho kaya geteeee
 
Ni kawaida majanga kama haya kutokea duniani,Yapo,yalikuwepo na yataendelea kuwepo.Hata black death wakati huo uliua watu wengi sana mfano tu inasadikika ugonjwa huo uliua 1/3 ya watu wote ulaya na 2/3 ya watu wa uingereza!haya majanga yatakuwepo kila baada ya muda flani.Ila athali zake haziwezi kufanana kamwe.Ndio maana hata ulaya kwenyewe hwafananii kwa maafa yake.Ni kweli tutapata athali kiuchumi duniani ila nchi kama marekani nadhani inapaswa kuhofu zaidi sababu mahasimu wake hawapo sawa kimaambukizi na bila shaka majanga kama haya huwa yanaweza badilisha uimara wa uchumi wa nchi husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiiangalia kwa haraka haraka utaona kama ni ugonjwa mfano malaria au TB, kumbe ni zaidi ya tufikiliayo waafrika na haswa mataifa ya dunia ya 3

Huu ni zaidi ya ugonjwa tuufikiliavyo kuna watu washapanga yao tena kwa kuwatumia viongozi wakuu wa nchi zilizo maskini na ambazo bajeti zao kwa asilimia kubwa zinategemea misaada toka mataifa ya ulaya

Muda ukifika utaongea na maandishi uishi milele

Bahada ya corona kupita au ndio chanjo na tiba kupatikana nchi zetu zitakabiliwa na anguko kuu la uchumi, na kupelekea kuomba misaada/madeni kutoka huko huko mataifa makubwa.

Mipango ya kupiga marufuku mikusanyiko, itaingilia uhuru wa kuabudu kwa bahadhi ya dini, mfano ibada ya hijja inayofanyika kila mwaka na kukusanya waumini zaidi ya mamilioni kutoka ulimwenguni kote.

Propoganda za vyombo vya habari vya magharibi juu ya maambukizi zaidi kwa nchi za Afrika na kutaka kuwatia hofu zaidi raia wa nchi ambazo hawatoa katazo la kuzuhia raia wasitoke nje.

Kwa ujumla hii ni mipango mikakati na tunacheza ngoma tusiyoijua mwisho wake na ubaya wake.

Nikiangalia nchini Kenya wale wananchi wanaopigwa na polisi kisa wamechelewa kurudi nyumbani na saa moja imewakuta njiani inadhihirisha jinsi gani viongozi wetu wasivyojua wanachokisimamia.

Uganda raia kulazimishwa kutembea kwa miguu pasipo kuangalia umbali anapoenda bahada ya katozo la mabasi ya umma kubeba abiria.

Rwanda kuwapiga risasi raia wake bahada ya kukaidi amri ya kutoka nje.

Ni heri ufe kwa risasi kuliko kufa kwa njaa kwa mateso.

Sio kila jambo kuiga wazungu

Mh Magufuli baada ya kuwaruhusu raia wake wafanye kazi, wengi wameubeza uamuzi ule, lakini time will tell, anaejua maisha ya watanzania ni kiongozi wetu na si mtu mwingine.

Ndio maana wamejifanya kuachia zile pesa za msaada Tr 1.3 haraka ili kumuingiza kwenye target yao ya lock-down walau wiki moja tu watanzania tufie ndani.
Nonsense!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubaya wa huu ugonjwa,..unaanza Kama utani..moja..Mara wawili Mara wagonjwa nane Mara 20,.aisee mungu atuepushe..na hili janga..the spread is increasing day after day..

Nawaza tu kuwa itakuwaje kwa wanafunzi wa kidato Cha nne na Cha sita wanaotarajia kufanya mitihan mwaka huu..endapo shule hazitofunguliwa tar 20 mwez huu..[emoji26][emoji3578][emoji378]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom