Atubela
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 749
- 854
Ukiiangalia kwa haraka haraka utaona kama ni ugonjwa mfano malaria au TB, kumbe ni zaidi ya tufikiliayo waafrika na haswa mataifa ya dunia ya 3
Huu ni zaidi ya ugonjwa tuufikiliavyo kuna watu washapanga yao tena kwa kuwatumia viongozi wakuu wa nchi zilizo maskini na ambazo bajeti zao kwa asilimia kubwa zinategemea misaada toka mataifa ya ulaya
Muda ukifika utaongea na maandishi uishi milele
Bahada ya corona kupita au ndio chanjo na tiba kupatikana nchi zetu zitakabiliwa na anguko kuu la uchumi, na kupelekea kuomba misaada/madeni kutoka huko huko mataifa makubwa.
Mipango ya kupiga marufuku mikusanyiko, itaingilia uhuru wa kuabudu kwa bahadhi ya dini, mfano ibada ya hijja inayofanyika kila mwaka na kukusanya waumini zaidi ya mamilioni kutoka ulimwenguni kote.
Propoganda za vyombo vya habari vya magharibi juu ya maambukizi zaidi kwa nchi za Afrika na kutaka kuwatia hofu zaidi raia wa nchi ambazo hawatoa katazo la kuzuhia raia wasitoke nje.
Kwa ujumla hii ni mipango mikakati na tunacheza ngoma tusiyoijua mwisho wake na ubaya wake.
Nikiangalia nchini Kenya wale wananchi wanaopigwa na polisi kisa wamechelewa kurudi nyumbani na saa moja imewakuta njiani inadhihirisha jinsi gani viongozi wetu wasivyojua wanachokisimamia.
Uganda raia kulazimishwa kutembea kwa miguu pasipo kuangalia umbali anapoenda bahada ya katozo la mabasi ya umma kubeba abiria.
Rwanda kuwapiga risasi raia wake bahada ya kukaidi amri ya kutoka nje.
Ni heri ufe kwa risasi kuliko kufa kwa njaa kwa mateso.
Sio kila jambo kuiga wazungu
Mh Magufuli baada ya kuwaruhusu raia wake wafanye kazi, wengi wameubeza uamuzi ule, lakini time will tell, anaejua maisha ya watanzania ni kiongozi wetu na si mtu mwingine.
Ndio maana wamejifanya kuachia zile pesa za msaada Tr 1.3 haraka ili kumuingiza kwenye target yao ya lock-down walau wiki moja tu watanzania tufie ndani.