Corona... Corona... Corona kumbe wala....

Kila nchi inatoa maazimu ya kupima na kufungia madreva wa Tanzania kwa kutumia miongozo yake bila kushirikiana na Tanzania.
 
uongo ukimwi haukuletwa na madereva Tanzania uliletwa na wanajeshi wa Tanzania walioenda kupigana vita uganda
biashara ya malori miaka ile kati ya tanzania na uganda ilikuwa haipo sababu ya barabara mbaya madaraja kuharibiwa kivita na siasa mbovu za uganda hadi miaka hii ya juzi juzi tu ndipo magari ya tanzania yalianza kwenda uganda lakini kwa kupitia nairobi hadi karibuni zilipojengwa barabara nzuri acha kusingizia madereva hawahusiki kwa hilo

kundi la pili kuingiza ukimwi ni akina mama wa kihaya waliokuwa wakijiuza uganda miji ya masaka na kampala wakirudi kwao kwa wingi ndio waliuingiza kagera pia sio madereva
 
Awamu hii kila mtu,taasis au nchi wakitoa habari isiyoipendeza serikali yetu basi wanaonekana maadui zeru au wanatumiwa na mabeberu!
 
Washikaji zangu wengi wako kwenye kampuni binafsi na nikikupa details zote kesho tu watafuatwa na makachero na kuanza kusumbuliwa
kujua marehemu kunahitaji kachero? anyway mtu mzima kijijini akitaka kwenda kujisaidia haja kubwa porini hakosi kisingizio husingizia anaenda kuokota kuni.Umeeleweka kisingizio chako ila ukome kuleta uzushi .Sio vizuri
 
mkuu kuna watu wapuuzi sijapata kuona.
wao ni wa tanzania lakini bado wanaomba mabaya kwa tanzania ilhali na wao ni watanzania.
hapo unapata majibu ya haraka kwamba ni wapuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe hata wewe umemjua.huyu jamaa muongo sana.sijui aoni aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uandishi na matarajio ya saccos
 
kujua marehemu kunahitaji kachero? anyway mtu mzima kijijini akitaka kwenda kujisaidia haja kubwa porini hakosi kisingizio husingizia anaenda kuokota kuni.Umeeleweka kisingizio chako ila ukome kuleta uzushi .Sio vizuri
Nikiwapa details za gereji mutakuja kubambika unga 23gram kama mlivyomfanyia Mdude Chadema
 
Nikiwapa details za gereji mutakuja kubambika unga 23gram kama mlivyomfanyia Mdude Chadema
tumeshakuchoka na uongo wako na uzushi humu jamii forums tunakusihi tu kujijeengea heshima jamii forums acha uzushi ukija na hoja uje umekamilika usigeuze jamii forums kijiwe cha uzushi huo wa mdude pia uzushi kweli wewe umekubuhu uzushi
ushakuwa mahakama umeshathibitisha tayari kuwa tumembambika
 
Washikaji zangu wengi wako kwenye kampuni binafsi na nikikupa details zote kesho tu watafuatwa na makachero na kuanza kusumbuliwa
Kuhusu vifo vya madereva vilivyotokana na COVID-19 unapotosha, ila maambukizi ya huo ugonjwa kweli kabisa ugonjwa upo sana humu nchini, huku mitaani watu hawataki kwenda hospital wanaponea majumbani.

Stori za huko hospitalini nyingi hazi hamasishi mtu kujipeleka mwenyewe.
 
Jamaa wamegeuza twitter na JF uwanja wa kupambana na serikali au na CCM au kupambana na Mh. Magufuli huku wakificha utambulisho wao.

Habari nyingi ni za upotoshaji na za kimkakati wa kisiasa.
Watu wanaumwa wengi akini vifo siyo vingi kama inavyo kuzwa.
 
Kwakweli kama hiyo video ni ya kweli basi kuna tatizo kwenye system ya upimaji Zambia

Yaani hata hiyo video huamini mkuu? Mimi nifanye mipango ya kwenda kupanga njama ya video then niwashurutishe Zambia wafungue mpaka kwa haraka haraka. Dah! hiyo itakuwa noma kubwa sana. Hongera lakini wengine wenye msimamo kama wako wangeanza kutoa matusi.
 
Unaongea na dereva wa transit goods mstaafu bado nina contacts nyingi na wenzangu na wale niliowafunza kazi na ninaongea nao daily kila siku napata taarifa za vifo vya madereva tena wengine wamezikiwa njiani
 
Hawa wanaoficha ID tuachane nao hivi hadi aljezira nao wanaficha ID kama walisema uongo si tu2unge na Mdude
 

Wataua JF kifo cha mende maana kila watu wakiingia wanataka ushahidi, ambao hatukuwa na tabia hiyo huko nyuma.
 
Unaongea na mdau nawaonea huruma hao madereva najiona ni kama mimi hapo walipo mtu anaetukana ni mtu ambae hajapitia tasnia hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…